Wana chit chat dhaifu

Hebu cacico twende kwanza PM tukaweke mambo flani sawa kwanza. Afu umemwona mgeni wetu KARIA anavyochanganya na za mbayuwayu?

attachment.php
tobaaaaaaa babu Asprin na mie tena! haya twende nimevaa helmet kabisa kuepusha konkasheni kutokea lol!
 
Last edited by a moderator:
don't cheat in a relationship..if u r not happy then just leave CUTE, kila nikitafakari maneno haya nabaki na maswali mengi, hivi watu hu-cheat coz they arent happy in the relationships they are!?? sijapata jibu...
Mentor vipi tena? yepi tena yamekusibu?
 
Last edited by a moderator:
bahari ingekuwa supu je Kongosho, ungekunywa na chapati ngapi lol! mie nilikuwa tu natoa ma-warning ya kufa mtu, kwa hisani ya watu wa marekani, babu yangu kipenzi Asprin naomba uniwekee picha ya Kongosho hapa!
Maadam sasa umeniita kipenzi badala ya basha, haya mchungulie Kongosho hapo akiwa anaenda kujifunza kuogelea mwaka 1982...

2reirs1.jpg
 
Last edited by a moderator:
Maadam sasa umeniita kipenzi badala ya basha, haya mchungulie Kongosho hapo akiwa anaenda kujifunza kuogelea mwaka 1982...

2reirs1.jpg

Tena Babu, hii picha ya Konnie siku unamphotoa namie nilikua pembeni nakula Bisi, ilikua pale karibu na Msasani Police offecers mess, lakini kwa sasa kanenepa zaidi ya hapo.
 
Bishanga – sabb ananigwaya hata pesa zake hazmsaidii kwangu.
Erickb52 sabb hana msimamo na ni mwongo! Hakusema kaoa ili kieleweke
Amyner sabb haambiwi wala hapumui bila Eric
Black Bat sabb katoa swali bila yeye kutaja wadhaifu
Mamndenyi udhaifu wake uko kwenye kushindwa kujizuia kutoa likes
Boflo sabb najarib kufikira dhaifu lake silipati
Elizabeth Dominic
udhaifu wake yale macho yale. Kashindwa kabisa kuweka yasiwe na mvuto.
Mamods wote! Kila niliyemtokea ananitolea nje, eti sbb daktari haruhusiwi kutembea na
mgonjwa- nani aliwambieni nataka kutembea??!!
 
Erotica hata wewe ni dhaifu sana coz ulinipenda wakatii unajua niko na Amyner na ukang'ang'ania penzi hata baada ya kujua lol
Huna hata haya mtoto wa kike
BTW:Mambo yako sitayasahau kamwe
 
Last edited by a moderator:
Bishanga – sabb ananigwaya hata pesa zake hazmsaidii kwangu.
Erickb52 sabb hana msimamo na ni mwongo! Hakusema kaoa ili kieleweke
Amyner sabb haambiwi wala hapumui bila Eric
Black Bat sabb katoa swali bila yeye kutaja wadhaifu
Mamndenyi udhaifu wake uko kwenye kushindwa kujizuia kutoa likes
Boflo sabb najarib kufikira dhaifu lake silipati
Elizabeth Dominic
udhaifu wake yale macho yale. Kashindwa kabisa kuweka yasiwe na mvuto.
Mamods wote! Kila niliyemtokea ananitolea nje, eti sbb daktari haruhusiwi kutembea na
mgonjwa- nani aliwambieni nataka kutembea??!!

Mweh! dhaifuje?...............udhaifu mwingine ni wa kimaumbile
Erotica................for being too sexy, sex oriented.........
ebu imagine discussing Bajeti na Erotica lazima utaenda kusiko tu, huu ni udhaifu......lol
 
teh teh teh. cant help it mamito. wen i see u i see ur lips 1st, then ur eyes.

baada ya hapo naweza kukusikiliza nini wataka nisemesha..

ehee unasemaje Elizabeth Dominic a lady as real as u can get....:yo:
 
Last edited by a moderator:
hapo umeonesha dhaifu lengine. mie nilikufuatia SEX sip penzi.

sasa kama gemu unaliweza nifanyeje? mie Amy sio issue kabisa, isshu ni kunikosanisha nae.
Heheheheee msikosane@Erotica ila hakikisheni kila abiria anachunga mzigo wake ndio amani itakuwepo
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom