Ccm wenyewe wanaofurahia kauli hiyo hawana watu sa sijui vita ipi mnaiweza,leteni utani na kauli ya mzaifu wenu halafu mje muanze ndo mtajuta,viwatu vyenyewe eti ni msalani,the big show,nshoza na lusumo!mjusi msimuhesabie yule ni mwizi wa sufuria za wali kwenye nyumba za watu.