Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Waliuawa kwa sababu gani? kama siyo vurugu walizoanzisha wao? usitegemee kuwa ukianzisha vurugu siyo lazima ufe wewe, jiwe likirushwa halichagui umeanzisha vurugu wewe au la. CHADEMA mjitathmini sana, ukiona mkuu wa nchi ametoa kauli kama hiyo ujue serikali imechoka, sasa mkiendekeza viroba vyenu na uchagaa hakika mtakwisha

sorry mkuu mbona kauli zako zimekaa kichokochoko sana au na wewe ni uchoko wako?!!
 
nasikia pale makao makuu ya chama ufipa kuna chumba kimejaa tindikali na vidumu vya sumu

Kama unasikia ina maana umeambiwa, kama umeambiwa na umeshindwa kuchukua hatua basi wewe ni dhaifu kuliko dhaifu!
 
Jk kweli mtambo.... dah..!! Pinda alisema wapigwe tu tukaona matokeo yake, leo amesema bosi wa Pinda na Amiri jeshi mkuu.. Mtaniambia.
 
Wapinzani hasa chadema huwa ni wapole sana, wanyenyekevu sana, wastaarabu sana, lakini siyo wanyonge.

Hii kauli ya Kikwete kusema ccm waache kuwa wanyonge ni unafiki uliopitiliza, ni kauli ya kichochezi, anastahili kupelekwa The Hague!

Ikifikia mahali rais anatoa maneno ya kipumbavu kiasi kile jua nchi hii amani ndo inatoweka hivyo!
 
angetoa mpinzani kauli hii angeambiwa ni mchochezi.je hii siyo kauli ya uchochezi?

Alikuwa anajibu kauli za kichochezi zilizowahi kutolewa na baadhi ya wapinzania, kama vile "Hakuna kulala mpaka kieleweke, nchi haitatawalika, jino kwa jino n.k" ana kosa gani hapo?
 
Kama unasikia ina maana umeambiwa, kama umeambiwa na umeshindwa kuchukua hatua basi wewe ni dhaifu kuliko dhaifu!

kutochukuliwa hatua siyo kwamba unaogopwa, bali unapuuzwa tu na ndiyo maana unaweweseka unaposikia kauli ya mkuu wa nchi.
 
Chadema and its counterpart are doing the same evil actions as CCM used to long back.

Thepart which was believed to bring the true image of democracy has fundamentally morally deteriorated and has lost legitimacy in Tanzania eyes.
People are asking, if these actions are happening and the top leaders are quiet, what will happen if the part come to power????
 
safi JK hata maandiko yanasema kinyonge hakitaingia ile inchi ya ahadi
 
Kikwete ataingia kwenye battle field au atakuwa amejifungia magogoni. Mzee wa kuangushwa na upepo nae anatangaza vita haya ni maajabu.
 
Jk kweli mtambo.... dah..!! Pinda alisema wapigwe tu tukaona matokeo yake, leo amesema bosi wa Pinda na Amiri jeshi mkuu.. Mtaniambia.

tutobolewe macho kwa nondo tucheke?

unyonge basi
 
Hii ndio kauli ya kiume kuliko zote zilizopata kutolewa kwenye uzi huu. Polisi watuache wenye tufundishane adabu.

pa pa pa pa, mimi nitaanza na wachagga, ambao sasa wametawala hata mahakama zetu na kushindwa kuwashughulia wahafidhina.
 
Chadema and its counterpart are doing the same evil actions as CCM used to long back.

Thepart which was believed to bring the true image of democracy has fundamentally morally deteriorated and has lost legitimacy in Tanzania eyes.
People are asking, if these actions are happening and the top leaders are quiet, what will happen if the part come to power????

Andika kiswahili acha kuendekeza utumwa we binti
 
Wapinzani hasa chadema huwa ni wapole sana, wanyenyekevu sana, wastaarabu sana, lakini siyo wanyonge.

Hii kauli ya Kikwete kusema ccm waache kuwa wanyonge ni unafiki uliopitiliza, ni kauli ya kichochezi, anastahili kupelekwa The Hague!

Ikifikia mahali rais anatoa maneno ya kipumbavu kiasi kile jua nchi hii amani ndo inatoweka hivyo!

Mjusi hapo Arusha aache unyonge

kavumilia ndugu zake kulipuliwa Bomu

kavumilia bavicha kukata watu mapanga

uvumilivu wake uwe na kikomo

unyonge wake sasa basi
 
Kikwete is an insane president

insanity-source.jpg
 
Back
Top Bottom