Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,503
- 42,575
Huyu mtu amefika kubaya na anataka kuondoka kwa shari
tumechoshwa na fujo zenu
unyonge basi
Huyu mtu amefika kubaya na anataka kuondoka kwa shari
Tanzania tunamajanga mengi ila janga kuu ni Kikwete.
tutobolewe macho kwa nondo tucheke?
unyonge basi
Furahieni sana kauli za kipumbavu za mwenyekiti wenu, yeye na familia yake hawataguswa, kazi kwenu uswahilini.
Wabunge wa chadema walivyopigwa nondo na wana ccm mlichekelea leo mmetandikwa leo mnajifanya nyie ni watu zaidi, we are ready for whatever and we got nothing to lose.
Furahieni sana kauli za kipumbavu za mwenyekiti wenu, yeye na familia yake hawataguswa, kazi kwenu uswahilini.
mtakwenda jela tu
Kikwete ataingia kwenye battle field au atakuwa amejifungia magogoni. Mzee wa kuangushwa na upepo nae anatangaza vita haya ni maajabu.
Tangu lini CCM tukawa wanyonge? Majeshi yote yetu, usalama wa taifa wetu. Inakuaje tuanze kupambana na hao tunaowaita wanatuonea kwa fujo zao? Kwanini tusipambane nao kwa kuwapa huduma bora wananchi ili kuwaziba midomo na kudhibiti fujo zao?tumechoshwa na fujo zenu
unyonge basi
Amen, maana yake "na iwe hivyo"
Wewe unatapatapa sana mkuu,katika mchango wangu ulionijibu hakuna sehemu nimesema CHADEMA ni chama cha kidini , nashangaa unajizogoa mwenyewe kwa vile unajua kabisa ninyi ni wadini. Halafu ujue kuwa Katiba Mpya na elimu bure hazikuwa agenda zilizoanzishwa na CHADEMA, wapo watu kama akina MTIKILA, chama cha CUF na hata wabunge wa CCM walikuwa na hoja hizo tangu hata kabla haijafahamika kama KUNA SIKU CHADEMA kitakuja kuoenakana kwenye ramani ya vyama vya siasa nchini.
Naomba na mimi nikupe mfano mmoja tu wa namna ambavyo CHADEMA wanapenda kujichomeka kwenye hoja za wengine.
Miaka yote CUF waliwatuhumu CHADEMA kuwa wanashrikiana na chama cha CONSERVATIVE cha kule uingireza, chama ambacho ni wazi kinaunga mkono USHOGA. Hoja hii ya CUF imewatesa sana CHADEMA mpaka WENJE alipokuwa na udaku wake kuwa CUF nao wanashirikiana na chama cha ushoga, basi wakalibebea bango ili mradi tu wajinasue kuwa MASHOGA, lakini ukweli utaendelea kubaki pale pale kuwa CHADEMA wanashirikiana na mashoga wa Uingereza na hata juzi JK aliulizwa kuhusu msimamo wake juu ya ushoga na jibu lake likawa ni la herufi mbili tu kubwa yaani "NO"
CHADEMA wadandiaji wa hoja na sera za vyama vingine, ndicho chama kichanga kabisa ukilinganisha na CCM, CUF na NCCR-Mageuzi, hawa ni wazuri sana wa ku-copy na ku-paste.
Naye itabidi aache unyonge, ajitee na wana CCM. Akiwa kama baba anatakiwa kuwa mstari wa mbele.
Mkuu ushindi si kila kitu ingawaje ndio lengo la kila chama.Lakini matokeo ya uchaguzi hayaonyeshivyo, labda tofauti ya takwimu ya idadi za kura.