Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Wana CCM acheni unyonge - Kikwete

Waliuawa kwa sababu gani? kama siyo vurugu walizoanzisha wao? usitegemee kuwa ukianzisha vurugu siyo lazima ufe wewe, jiwe likirushwa halichagui umeanzisha vurugu wewe au la. CHADEMA mjitathmini sana, ukiona mkuu wa nchi ametoa kauli kama hiyo ujue serikali imechoka, sasa mkiendekeza viroba vyenu na uchagaa hakika mtakwisha
wewe kweli mpuuzi wa mwisho unafikiri chadema watakufa tu sio subiri utaona, kama ukuu wa nchi ni upuuzi huu basi ndio maana nchi imejaa watu wajinga kama wewe unafikir huko kinakonuka kama jamhuri ya Afrika ya kati si ujinga ulianza hivihivi sasa subirini tuone kama wataumia chadema peke yao.
 
Sasa alianza na kusema kuna majangili wakubwa anawafahamu mmoja ni mfanyabiashara saizi kaja na hii ua uonevu kwa kweli taifa linaelekea kubaya under this guy
 
Waulize Wabunge wenu kule Kusini moto ulikuwaje? Jee kulikuwa na Red Brigade? Nchi ikichafuka hakuna cha CCM wala chma gani, wa kwanza kuathirika ni haohao viongozi. Muulize mbunge wa Masasi kama hakulala banda la kuku siku ile. Ccm ofisi zao zikoje? Kauli za kibabe zinafurahisha hivyo vikao vyao tuu ila field hali sio nzuri

Kwani REDBRIGADE mwisho wao ni wapi, Kaskazini? funguka mkuu.
 
Tunaomba polisi wakae pembeni watupe mwaka mmoja tuzipige . Mwenyekiti wao ni mnyonge huwa anaanguka mwenyewe, eti nae anatangaza battle, duniani kuna vituko.
 
Sasa alianza na kusema kuna majangili wakubwa anawafahamu mmoja ni mfanyabiashara saizi kaja na hii ua uonevu kwa kweli taifa linaelekea kubaya under this guy

Hii kauli ya JK inawashangaza wengi , kwa sababu tulizoea kufurahia pale tuliposikia REDBRIGADE wamewapiga CCM, sasa inapokuja kauli ya Mwenyekiti wa CCM lazima hofu ituingie wahafidhina wote.
 
angetoa mpinzani kauli hii angeambiwa ni mchochezi.je hii siyo kauli ya uchochezi?
 
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.

Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.

Source: News, TBC1

Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.

Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?

Nyinyi chadema wajinga sana. Hivi mnajua thamani ya jicho katoka mwili? Hivi yule anayetoa jicho la mtu anataka asifanye kazi? Halafu familia yake mtaihudimia nyinyi? Eti kauli siielewi! Ebo!
Kwa demokrasia sio kuheshimu maamuzi ya mtu kuamini na kufuata itikadi anayoipenda? Kosa liko wapi mpaka umtoe mwenzio jicho? Ipi nafasi ya kuvumilaiana katika siasa???

Acheni ubarakala. Kibao kimewageukia na sasa fimbo ya kuwaua kisiasa mtaiona.

Kaeni chonjo wakereketwa....
 
Ameyasema hayo wakati wa kikao cha NEC alipokuwa anazungumzia machafuko yanayotokea kwenye chaguzi ndogo especially ile ya kahama.

Amewataka wana CCM kuacha unyonge. Amejihami kwa kusema kwamba hata kama alichokisema kitakuwa ndio habari nzito kwenye vyombo ya habari sawa tu.

Source: News, TBC1

Sijaielewa hii kauli ya kikwete alikuwa anamaanisha nini.

Hapa nimeshindwa kumuelewa; anataka wana CCM wareact vipi? Kwa kuua au?

Kiwa na kiwatengu nyie ni ndugu?
 
Last edited by a moderator:
Wapinzani acheni unyonge! Polisi, mahakama, TISS na vyombo vingine vya usalama tunaomba mkae mbali.

Rais wa nchi amechoka na amani, anataka kujaribu njia ya shortcut kuongoza nchi. Wapinzani wanalalamika, CCM wanalalamika. Rais ananukuu unyonge wa CCM kwa yaliyotokea Kahama na Igunga, anasahau maafa yaliyotokea Arusha kwenye mkutano wa CDM. Kwa nionavyo mimi, Rais anaona waliojeruhiwa kahama na Igunga ni binadamu lakini waliokufa Arusha na kujeruhiwa si lolote na si chochote.

Kwa lugha nyingine ni kwamba Rais anafurahishwa sana na maafa yanayowapata wapinzani na kuchukizwa sana na majeraha wanayopata CCM.

Ombi kwa Rais:- Tunaomba uweke mazingira neutral, wananchi wajitawale bila vyombo vyovyote vya kiusalama, halafu Wapinzani waache kulalamika waache Unyonge na CCM nao waache unyonge, ZIPIGWE kama wiki moja.

Wapinzani acheni unyonge, Raisi wa JMT na Mwenyekiti wa CCM na Amiri Jeshi Mkuu ametoa Ruksa kwa wana CCM kuwafanya lolote maadamu wanaonewa, Sijui wapinzani mtakimbilia wapi kama si kuacha unyonge.
 
wewe kweli mpuuzi wa mwisho unafikiri chadema watakufa tu sio subiri utaona, kama ukuu wa nchi ni upuuzi huu basi ndio maana nchi imejaa watu wajinga kama wewe unafikir huko kinakonuka kama jamhuri ya Afrika ya kati si ujinga ulianza hivihivi sasa subirini tuone kama wataumia chadema peke yao.

utanitukana sana lakini huo ndiyo ukweli, mimi siongei kama CCM wala chama chochote cha siasa, wewe sikushangai kwa vile matusi yenyewe yanakuelezea wewe ni CHADEMA. Najua vita haichagui, lakini siamini kuwa itachagua CCM tu ndo wafe, tunajidanganya sana, madamu mlishalianzisha na REDBRIGADE yenu hamna budi kuikubali hali halisi kwa vile CCM nao wanaonekana kuchoka.
 
Kwa kauli hii ya mkuu wa nchi,sitathubutu tena kwenda kwenye mkutano wowote wa hadhara wenye malengo ya kisiasa.hii ni dhahiri mh.Jakaya Kikwete alikua anajaribu kuwa rais wa Tanzania na si kuwa rais kwa nia ya kuongoza TAIFA.
 
Msemaji wa jk haya toa tafsiri yake buku 7 wewe

Hakuna haja ya kuomba poo hapa, hakuna fumbo hapo, ni lazima CHADEMA mle kichapo ili anayewapa kiburi kama ni CDU, CONSERVATIVE au nani ajitokeze hadharani naye ale kichapo.
 
Kwa kauli hii ya mkuu wa nchi,sitathubutu tena kwenda kwenye mkutano wowote wa hadhara wenye malengo ya kisiasa.hii ni dhahiri mh.Jakaya Kikwete alikua anajaribu kuwa rais wa Tanzania na si kuwa rais kwa nia ya kuongoza TAIFA.

waache wale wanaofuta mkumbo wa SLAA na MBOWE wale kichapo.
 
Wapigwe tu!Kesi hii haijaisha wamekuja na msemo mwingine.

RIH-Madabida
 
Back
Top Bottom