Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Mkuu, kama 2015 tutakuwa na general election, basi kuna mawili,Kwa kauli kama hizi, tutarajie Tanzania kuingia kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe 2015.
1) Wananchi wakatane mapanga na kuchomeana nyumba na mali zao kwa vigezo vya itikadi
2) JWTZ iingilie kati kulinda vituo vya kura, wananchi wafukuzwe kabisa, wakae nyumbani, kuwe na siku mbili za mapunziko kupiga na kuhesabu kura....then CCM wafanye yao, wabadili masanduku na kuweka kura za maruhani. Then washinde kwa Kishindo...more than 80%.
Hakuna lililo jema kati ya hayo mawili, busara zikitumika hayatatokea, lakini tukiendelea Hivi, basi moja au yote mawili yatatokea.
Katiba mpya ikiendelea mrundika madaraka kwa mtu mmoja tu...Rais, tutajuta huko tuendako.