Wamisri wa kale walikuwa weusi(Africans)

Ni kweli mkuu inafikirisha sana tena sana tu.....

Lakini kikubwa na kibaya zaidi ni kwamba kuna watu weusi hasa kutoka mashariki mwa Afrika walipelekwa utumwani kule India na kuna kijiji kukubwa sana eneo moja kule Inadia wanaishi huko na wanajua kuwa walitoka huku mashariki mwa afrika,nimesahau eneo husika nikikumbuka nitalitaja hapa....

Watu wale walitoka hasa Kenya na sehemu za pwani ya Afrika ya mashariki.Ni masikini wa hatari kabisa kule na serikali ya India ni kama imewatupa hivi.Mkuu,sisi huku tunaishi maisha ya kishenzi lakini wale ni kama wapo shimoni,inasikitisha sana aisee....

Kwanini historia hizi zinafichwa?

Suala la mtu mweusi na uwepo wake duniani imekuwa kama ni laana.Haya ndiyo maana ninasema yana sababu maalum kabisa na siku siyo nyingi tutafutwa machozi haya ya damu siku itakayoutisha ulimwengu kwa namna ya kutisha kabisa.....

Acha tu waendelee kudanganya....

Hao weusi walioko India, hawakuenda huko kama Watumwa,
 
Nimejihisi wa thamani sana
Ndio maana huwa nawachukia sana hawa wazungu

Wametuletea tamaduni zao za kishenzi sana haswa hizi wanazodai iti mikataba

Wakati tulikuwa tunautamaduni wa kuaminiana kW Upendo bila shaka yoyote

Mikataba yao imetuletea maugomvi ya siyo na dawa hakuna tena kuaminiana
 
Wanaweza tena sana tu. Huwaoni zeruzeru?

Binadam wote asili yao si weusi wala weupe, ni brown. Ukipungukiwa "melanin" unakuwa mweupe, "melanin" zikizidi unakooza na kuelekea kwenye weusi.
Brown ndiyo rangi gani?
 
Km egyptians were black bs na israelites walikua black,km mmesoma kitabu cha Exodus,musa alivkua jangwani mabinti wa yule kuhani walipomwona walidhani musa ni egyptian,kwa maana hiyo musa alikua black,kwa sababu kwnn wadhani yeye. I mmisri km alikua white!?
Aisee umeongea jambo kubwa sana
Great
 
Walienda kama watumwa na hili lina ushahidi kabisa....

Sizungumzii Wahindi weusi hapa....

Nazungumzia Waafrika waliopelekwa utumwani India...

Kaka nadhani unawaongelea Siddi tribe ambayo ndio inakisiwa kuwa walifika India kwa njia hiyo ya Utumwa kutoka East Africa hasa Kenya na Uganda,

Mimi nazungumzia Jarawa Tribe ambao walifika India miaka 60,000 iliyopita, na walienda huko sio kwa njia ua Utumwa, na hawa ndio wanasemekana ndio walioenea hata maeneo ya Indonesia, Malaysia, mpaka Australia
Jarawa tribes, Jarawa tribes of India, People of Jarawa tribe
 
Kanisome mada zangu.

Haya ndiyo nnayasema kila siku.

Afrika ndiyo chanzo cha mataifa yote duniani.

Nnashangaa mnapodai Waarabu ni wa kuja.

Mtaelewa tu.
hujaelewa tu tunachobishana na wewe.Wamisri wa mwazo walikuwa weusi....Blacks..Africans...hao warabu wako peleka huko.
 
Mimi naona suala sio wao kukubali, suala ni kwa watu weusi kufahamu historia yao na njama zilizotumika kuficha ukweli au kuenendelea kupotosha ukweli na tujue malengo yao ni nini hasa. Ustaarabu ulianzia misri ya watu weusi kasha ukasambaa duniani kote. Kuhusu suala la 'architectural' nchi za ulaya na za asia wamekopi kutoka misiri.

Kuna swali dunia inajiuliza ni kwa nini mtu mweusi anachukiwa sana na makabila (Races) yote duniani??????? Ukweli ni kwmba ndani ya historia ya mtu mweusi kuna siri kubwa sana imefichika ambayo watu weupe hawapendi iwekwe hadharani kwani itabadaili kabisa upepo wa dunia kama sio kuchafua. Tukumbuke Biblia imesema nini kuhusu wana wa Israel walioko utumwani watarudi kwa utaratibu upi kwenye nchi yao ya ahadi. Israel ya sasa ilianzishwa kwa Declaration ya UN May 14, 1948 ambapo ni kinyume kabisa na jinsi biblia inavyosema. Sasa kama ndivyo hivyo, wana wa Issrael kumbe bado wako utumwani. Natanyahu na washikaji wenzake ni wa Israel fake tena fake kuliko. Dunia isubiri na itashuhudia muda si mrefu ujio wa wana wa Israel katika nchi yao ya ahadi. Anwal Saadat Rais wa zamani wa Misri alisema hata siku moja haitatolea akapatana na wayahudi kwa sababu 'Walitoka Misri wakiwa weusi na wamerudi wakiwa weupe'. Kwa maana nyingine wamisri wa sasa wanajua fika wamaisri asili ni akina nani.
Wana wa Israel walikombolewa utumwani na Musa kwa msaada wa Mungu...wakavuka bahari ya mediteranean ....sasa labda tujiulize walipovuka hiyo bahari walielekea wp....japo tunafahamu ya kwamba waliahidiwa kupelekwa nnchi ya ahadi ni wp hapo?....lkn pia hakuna ushahidi kama kuna baadhi ya waisrael walibaki utumwani Misri .....ama walisambaa kuelekea kusini...all in all we need to reason out properly tujue hawa wana wa Israel walikwenda wp...ama ndio kusema ni akina sisi!
 
Bahari ya sham mkuu,Mediterranean wangekua Italy sahiv
 
Kanisome mada zangu.

Haya ndiyo nnayasema kila siku.

Afrika ndiyo chanzo cha mataifa yote duniani.

Nnashangaa mnapodai Waarabu ni wa kuja.

Mtaelewa tu.
Sasa Afrika na Waarabu inaingiaje?Au Waarabu ndiyo hao waafrika unaowataja wewe?
 
Naona baadhi ya wachangiaji wanasema Israel ilikuwa ya watu weusi jambo ambalo sio kweli pia Yesu kuwa mweusi. Yote haya ni kutokana na fikra finyu, kukosa vitu vya kujivunia hususan maendeleo ya dunia kwa hivyo watafiti wanajaribu na wameweza kwa kiasi fulani naweza sema kuaminisha watu kwamba historia iliyopo ni ya uongo.
Kwa kipindi kirefu sasa duniani katika uvumbuzi au ugunduzi watu weusi wamekuwa nyuma au wachache katika maswala mbalimbali ya sayansi na maendeleo kwa ujumla. Na moja ya sababu kubwa ya kuwa hivyo "wamekuwa" wakidai ni kutokana na ukoloni na kwa namna moja au nyingine waweza kubaliana nao lakini ukweli ni kwamba historia ya Israel,Egypt sio ya mtu mweusi. Uwepo wao (weusi) sio kigezo cha kudai na kusema wao ndio walikuwa watawala na kwamba wameporwa historia yao.
 
Sijakubaliana au kukataa suala la weusi wa Yesu,Ila kusema ni kuk0sa kitu cha kujivunia unaonesha unategemea na kuiamini Historia iliyoandikwa na "mshindi".
 
Hizi story nyingine kumeza inakuwa ngumu, kama kufukuza watu katika eneo lao ni rahisi kiasi hicho, makaburu kule south Africa wangeweza lakini mpaka leo bado wanapumuliana na watu weusi.
 
Hizi story nyingine kumeza inakuwa ngumu, kama kufukuza watu katika eneo lao ni rahisi kiasi hicho, makaburu kule south Africa wangeweza lakini mpaka leo bado wanapumuliana na watu weusi.
Makaburu hawana hata miaka 700 sauzi.wajuzi juzi tu.kitendo cha kufukuza watu hakifanyiki kama unavofukuza mbwa mwizi.ni gradual process.
 
Back
Top Bottom