Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,361
- 11,517
Genta huwa unaandika utoto utoto sana. Yaani hata ukitumia ID nyingine akili inabakini chafu na kisodaYaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma?
Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na Kujisaidia Huduma zingine Muhimu za Kibinadamu ( kama za Kukojoa na Kunya njiani Safarini ) uwe ni dakika 30 au 45 mtapungukiwa nini?
Matokeo yake kwa hii Roho Mbaya yenu ya kutupa hizi dakika 20 njiani na Kutuwahishia Abiria kurudi katika Mabasi tuendelee na Safari wengine tunajikuta tunakula ndani ya Mabasi kwa Presha huku tunakunya na Kujinyea vile vile ila Siti zenu tu huwa zinatusaidia Kutusitiri mpaka tufikapo mwisho wa Kituo.
Na hakuna Kitendo ambacho KEROZENE nakichukia kama unakuta Abiria umemuomba Kondakta na Dereva unataka Kukojoa halafu unashuka na unaanza Kufungua Zipu ili uuchomoe 'Mkurudungu' wako ukojoe unasikia Dereva anakupigia Honi matokeo yake kwa Kitete ( Presha ) unajikuta unakojoa kidogo tu au unaacha na kujikuta ukianza Kukimbia kuwahi ndani ya Basi huku Ukijamba hovyo Porini hadi unawashtua Vicheche waliojipumzisha, Suruali umeishikilia ikiwa Magotini na kuja Kuvalia vizuri ndani ya Gari mlangoni huku Abiria Wenzako wakikukodolea tu Mubashara.
SUMATRA tafadhalini ongeeni na TABOA kuwa Abiria tunateseka na hizi dakika zao 20 tu wanazotupa tukiwa njiani na sasa tunataka tupewe ama dakika 30 au 45 ili tuweze Kujinafasi vizuri kwa Huduma zote Tatu muhimu za Kula, Kukojoa na Kunya ndipo tuwe tunaendelea na Safari zetu.
Hizi dakika zao 20 Kimahesabu tu hata kama ukiwa ni 'Mathematician' utazigawa vipi kwa Foleni ya Chakula unayoikuta? Kwa Foleni ya Watu Kukojoa katika Vyoo vichache achilia mbali wale ambao unawakuta nao wanataka Kunya ila wamekuta wameshawahiwa na wanaojua Kunya wakiwa Wanaguna tu Vyooni, kutoka haraka hawatoki na hata wakitoka utaambulia Msonyo na Bonge la Kimba linakukaribisha ili Kwanza ulione ndipo 'Uliflashi' likuage ndipo nawe uanze Kushughulikia na lako lililoko Tumboni na linataka kutoka?
Mwamba umeongea kwa uchungu sanaYaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma?
Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na Kujisaidia Huduma zingine Muhimu za Kibinadamu ( kama za Kukojoa na Kunya njiani Safarini ) uwe ni dakika 30 au 45 mtapungukiwa nini?
Matokeo yake kwa hii Roho Mbaya yenu ya kutupa hizi dakika 20 njiani na Kutuwahishia Abiria kurudi katika Mabasi tuendelee na Safari wengine tunajikuta tunakula ndani ya Mabasi kwa Presha huku tunakunya na Kujinyea vile vile ila Siti zenu tu huwa zinatusaidia Kutusitiri mpaka tufikapo mwisho wa Kituo.
Na hakuna Kitendo ambacho KEROZENE nakichukia kama unakuta Abiria umemuomba Kondakta na Dereva unataka Kukojoa halafu unashuka na unaanza Kufungua Zipu ili uuchomoe 'Mkurudungu' wako ukojoe unasikia Dereva anakupigia Honi matokeo yake kwa Kitete ( Presha ) unajikuta unakojoa kidogo tu au unaacha na kujikuta ukianza Kukimbia kuwahi ndani ya Basi huku Ukijamba hovyo Porini hadi unawashtua Vicheche waliojipumzisha, Suruali umeishikilia ikiwa Magotini na kuja Kuvalia vizuri ndani ya Gari mlangoni huku Abiria Wenzako wakikukodolea tu Mubashara.
SUMATRA tafadhalini ongeeni na TABOA kuwa Abiria tunateseka na hizi dakika zao 20 tu wanazotupa tukiwa njiani na sasa tunataka tupewe ama dakika 30 au 45 ili tuweze Kujinafasi vizuri kwa Huduma zote Tatu muhimu za Kula, Kukojoa na Kunya ndipo tuwe tunaendelea na Safari zetu.
Hizi dakika zao 20 Kimahesabu tu hata kama ukiwa ni 'Mathematician' utazigawa vipi kwa Foleni ya Chakula unayoikuta? Kwa Foleni ya Watu Kukojoa katika Vyoo vichache achilia mbali wale ambao unawakuta nao wanataka Kunya ila wamekuta wameshawahiwa na wanaojua Kunya wakiwa Wanaguna tu Vyooni, kutoka haraka hawatoki na hata wakitoka utaambulia Msonyo na Bonge la Kimba linakukaribisha ili Kwanza ulione ndipo 'Uliflashi' likuage ndipo nawe uanze Kushughulikia na lako lililoko Tumboni na linataka kutoka?
Mbona yapo, ila kuna abiria wanatumia mabunzi kujitawaza, hauwezi kuamini!Kuwe na mabasi ya Luxury yenye vyoo ndani kwenye ruti ndefu zote mfano Dar Mwanz, Dar Kahama, Dar Mbeya nk. Abiria achague mwenyewe apande Luxury au Semi Luxury
Bora nyie, siye root ya Dar to masasi tunapewa dk5 tuuBora nyie Mara nyingi root ya dar Arusha au songea dar n dk 10 TU tunapewa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unataka kuwapa watu kazi isiyokuwa na mshahara, kusafisha choo sii mchezo Bora kwenye treni kinaenda chini ya reliMabasi yote ya safari ndefu yawe na vyoo vya ndani, pia kisheria baada ya masaa manne matano kupumzika iwe lazima. Hiyo itamsaidia dereva kupumzika kidogo na kupunguza ajali zinazosababishwa na uchovu.
Dakika 30 unaziona nyingi eeeh, hizo ni dakika chache sana ukiwa na tatizo la tumbo, kama dakika 10 zinaisha hujamaliza haja ya kawaida, jiulize sasa ikiwa umeshikwa na tumbo zitakuwa ngapi. Omba sana usishikwe na tumbo unasafiri , safari utaiona chungu.Dk 30 unazijua kweli!
Hayo mavi yabane ukayanye kwa mkeo na Sumatra ndio nini kuna latra siku hiziYaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma?
Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na Kujisaidia Huduma zingine Muhimu za Kibinadamu ( kama za Kukojoa na Kunya njiani Safarini ) uwe ni dakika 30 au 45 mtapungukiwa nini?
Matokeo yake kwa hii Roho Mbaya yenu ya kutupa hizi dakika 20 njiani na Kutuwahishia Abiria kurudi katika Mabasi tuendelee na Safari wengine tunajikuta tunakula ndani ya Mabasi kwa Presha huku tunakunya na Kujinyea vile vile ila Siti zenu tu huwa zinatusaidia Kutusitiri mpaka tufikapo mwisho wa Kituo.
Na hakuna Kitendo ambacho KEROZENE nakichukia kama unakuta Abiria umemuomba Kondakta na Dereva unataka Kukojoa halafu unashuka na unaanza Kufungua Zipu ili uuchomoe 'Mkurudungu' wako ukojoe unasikia Dereva anakupigia Honi matokeo yake kwa Kitete ( Presha ) unajikuta unakojoa kidogo tu au unaacha na kujikuta ukianza Kukimbia kuwahi ndani ya Basi huku Ukijamba hovyo Porini hadi unawashtua Vicheche waliojipumzisha, Suruali umeishikilia ikiwa Magotini na kuja Kuvalia vizuri ndani ya Gari mlangoni huku Abiria Wenzako wakikukodolea tu Mubashara.
SUMATRA tafadhalini ongeeni na TABOA kuwa Abiria tunateseka na hizi dakika zao 20 tu wanazotupa tukiwa njiani na sasa tunataka tupewe ama dakika 30 au 45 ili tuweze Kujinafasi vizuri kwa Huduma zote Tatu muhimu za Kula, Kukojoa na Kunya ndipo tuwe tunaendelea na Safari zetu.
Hizi dakika zao 20 Kimahesabu tu hata kama ukiwa ni 'Mathematician' utazigawa vipi kwa Foleni ya Chakula unayoikuta? Kwa Foleni ya Watu Kukojoa katika Vyoo vichache achilia mbali wale ambao unawakuta nao wanataka Kunya ila wamekuta wameshawahiwa na wanaojua Kunya wakiwa Wanaguna tu Vyooni, kutoka haraka hawatoki na hata wakitoka utaambulia Msonyo na Bonge la Kimba linakukaribisha ili Kwanza ulione ndipo 'Uliflashi' likuage ndipo nawe uanze Kushughulikia na lako lililoko Tumboni na linataka kutoka?
Abiria wa Bongo wakati fulani huwa mnazingua sana! Yaani siku ya safari, njia nzima mnakula tu! Zikipita bagia mnanunua, Miwa ya kwenye pakiti, mnananua! sambusa za nyama, twende! Ndizi za kuiva, twende! Mahindi na mayai ya kuchemsha, twende!Kuna moja niliwakomoa natokea Dar es salaam kwenda Dodoma, nimemwambia kondakta asimamishe bus, alivyosimamisha nikashuka, kumbe na abiria wengine walikua hoi ni vile walikuwa hawawezi kusema, watu wote wamemaliza haja zao mimi bado, nakumbuka nilikaa zaidi ya dakika 30 hv, dereva alipiga honi wapi mimi ndiyo kwanza tumbo limeanza, walinisubiri hadi nikamaliza, wakati narudi kwenye bus watu wote wamenikodolea macho, konda analalamika eti nimewachelewesha , nikamuambia wakati mnachukua nauli mbona hamkusema nawachelewesha na rudisheni nauli nusu nipande gari nyingine, kama hamurudishi lazima msikilize shida yangu, tangia hapa maneno yakaisha na safari ikawa murua, abilia kadhaa walinishukuru walikuwa wamezidiwa kwelikweli.
Siku nyingine nasafiri,nilicheka sana, binti alitaka kujikojolea eti anaogopa kumuomba konda asimamishe gari, ikabidi niingilie kati nikamfuata konda na dereva nikawaambia simamisheni gari kuna mtu amebanwa mnataka akojoe humu, wakasimamisha.
Hawa watu wa mabus shida kweli, abilia inakubidi uwe mkali kama una shida ndiyo wanakusikiliza.
Kiukweli nikiwa nasafiri silagi chochote njiani kuepusha kadhia hizo, lakini siku ile sijuhi kitu gani kilisababisha ile hali.Abiria wa Bongo wakati fulani huwa mnazingua sana! Yaani siku ya safari, njia nzima mnakula tu! Zikipita bagia mnanunua, Miwa ya kwenye pakiti, mnananua! sambusa za nyama, twende! Ndizi za kuiva, twende! Mahindi na mayai ya kuchemsha, twende!
Masaa machache baadaye, shughuli inaanza tumboni.
Nimependa tafsida.Hapo kula hua wanasema mubebe.
Labda kisanga ni kwenda kupunguza uzito hasa kukiwa na foleni hazitoshi kabisa.
Kisayansi ni masaa 3 ndo kibofu cha6binadamu kinakuwa kimejaa. So waliweka baada ya masaa 4 siyo mbaya anagalau abiria achimbe dawa na hata anyooshe mwili hata kwa dk hizo 10 inatosha sana kwa afya.Mabasi yote ya safari ndefu yawe na vyoo vya ndani, pia kisheria baada ya masaa manne matano kupumzika iwe lazima. Hiyo itamsaidia dereva kupumzika kidogo na kupunguza ajali zinazosababishwa na uchovu.
na dk 10 haizifiki..Bora nyie Mara nyingi root ya dar Arusha au songea dar n dk 10 TU tunapewa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
ABC upper Class ya Dar-Dodoma yana vyoo ndani nauli 26,000 tuKuwe na mabasi ya Luxury yenye vyoo ndani kwenye ruti ndefu zote mfano Dar Mwanz, Dar Kahama, Dar Mbeya nk. Abiria achague mwenyewe apande Luxury au Semi Luxury
Yapo mfano ABC upper class sema abiria wenyewe hawajui au wanaona aibu kutumia hivyo vyoo.Mbona yapo, ila kuna abiria wanatumia mabunzi kujitawaza, hauwezi kuamini!
Hacha kupanda ya bei poa, panda ABC upper class (VIP) yana vyoo yaleKisayansi ni masaa 3 ndo kibofu cha6binadamu kinakuwa kimejaa. So waliweka baada ya masaa 4 siyo mbaya anagalau abiria achimbe dawa na hata anyooshe mwili hata kwa dk hizo 10 inatosha sana kwa afya.
Sasa basi siku moja nimepanda basi la ABC high class. Nilipanda saa 1.00 kutoka Mafinga. Kuchimba dawa ni Morogoro cate hotel. Umbali wa masaa 7 hadi nane wanatutesa sana aise
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app