Utunzi wa sheria ya usafiri wa umma mijini unachelewesha DART kufikisha huduma ya mabasi ya mwendokasi mikoani hasa Mbeya, Mwanza na Arusha

Jul 30, 2013
96
36
Mwaka 2021, Dar es Salaam bus rapid transit - DART(Mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam) ilifanya tathmini ili kubaini hali halisi ya usafiri wa umma katika majiji mbalimbali nchini na takwimu zinaonesha kuwa uhitaji wa usafiri wa umma Mikoani kwa kila jiji ni kama ifuatavyo:- Arusha (70%), Dar es Salaam (85%), Dodoma (80%), Tanga (88%), Mbeya (95%), Mwanza (90%) na Pwani (86%). Tathmini hii inaonesha ni wazi kwamba kuna uhitaji mkubwa wa usafiri wa umma miongoni mwa wananchi wa kipato cha chini na hata wenye kipato cha kati na cha juu kwa wastani wa 85% ya wakazi mijini.
pic-mwendokasi.jpg

Hivyo, kwa takwimu hizi hali hii inadhihirisha uhitaji wa mfumo imara wa kuratibu, kupanga, kusimamia, kutekeleza na kufuatilia huduma ya usafiri wa umma mijini. Moja ya nguzo za ufanikishaji ni kuwa na sheria mahususi itakayoanzisha mfumo huo. Hivyo bila Sheria, ni ngumu DART kujitanua Nchini.

Akiongoea na Wanahabri Jiini Dodoma hivi Karibuni, Dr. Eliphas R. Mollel ambaye ni Mkurugenzi wa Usimamizi na Utawala wa Rasilimali Watu DART alisema "Lengo la utunzi wa sheria ya usimamizi wa usafiri wa umma mijini ni kuweka utaratibu utakaosaidia kuboresha usafiri wa umma mijini kutokana na changamoto mbalimbali zilizobainishwa katika utoaji wa huduma ya usafiri wa umma inayotolewa Jijini Dar es Salaam na miji mbalimbali nchini."

Dr. Mollel aliongeza kwamba "Kutokana na changamoto hizo na uhitaji wa utaratibu utakao saidia kuwepo kwa huduma ya usafiri mijini, Sheria itakayotungwa itaweka utaratibu kuhusu: kuratibu; kupanga; kusimamia; kutekeleza, na kufuatilia huduma ya usafiri fungamanishi (intergrated transport) wa umma na wa kisasa kwenye maeneo yote nchini"
mwendokasiipiiic.jpg

Sheria hii ikitungwa itaweka misingi na kanuni mbalimbali zitakazowezesha Mamlaka inayofanana na DART kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha. Sheria itasaidia Kuthibiti uvamizi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka, Kupeleka huduma za usafir wa umma ulio makini katika majiji mengine, Kuwezesha kuwepo kwa miundombinu bora ya usafiri wa umma mijini, Kuanzisha utaratibu wa kulinda miundombinu na mali zote za Mamlaka kwa kutumia polisi wasaidizi, Kuendeleza utoaji wa huduma wa usafiri wa umma mijini kupitia mfumo jumuishi ambao utachangia maendeleo endelevu ya kiuchumi, kijamii na kimazingira, kwa ujumla, Kutoa huduma bora za usafiri wa umma mijini zenye uhakika ,salama, endelevu na gharama nafuu na Kuboresha usafiri wa umma mijini ili kuwa chaguo la kwanza la abiria.

Hadi sasa, DART inatoa huduma za Mwendokasi katika Mikoa ya Dar Es Salaam na Pwani tu.
 
View attachment 2679052

View attachment 2679051

Kwanin DART ijitanue kweny mikoa mingine.Kwanin sio MWART,ART,MBART DORT?
 
Yaani dart ilivyo na huduma duni hivyo inataka ijitanue nje ya dar.Ni bora Barabara zitanuliwe kuliko kuwa na mradi wa hovyo kama hii takataka inayoitwa dart
 
Back
Top Bottom