Checheto
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 915
- 744
FanyakaziNjia ipi mkuu
FanyakaziNjia ipi mkuu
Utumie njia yoyote kupata hela mpumbavu nn siyo kila supu unatyipu hapa kausha tu na siyo kunidhalilisha Kia's hiki kwa hyo ukiambiwa utembee na. Mam ako uko tayari upate pesaKwa kweli Mimi nimepanga kwenda kumuuliza tajiri mmoja yani yeye alifanyaje hadi akaweza kumiliki kuanzia Milioni 500.
Nimeamua nitumie njia yoyote ile kupata hela kwa kweli.
Huwa nachangia harusi kimkakati sana. Sehemu ambayo sina maslahi nayo sichangii hata senti tano. Niliacha kuchangia kwa watu wasiojielewa baada ya siku moja kutoa mchango kwa jamaa yangu alikuwa anaoa... jamaa nampa hela akauliza ni Tsh ngapi? Nikamjibu ni 450k. Jamaa akaanza kuzihesabu mbele yangu kama ziko sawa wakati ni kama msaada tu.. nilichukia kimoyomoyo nikasema sintakaa nichangie sehemu nisiyopata maslahi yoyote. Siku hizi nachangia mambo ya elimu tu. Na mara chache wagonjwa.Kwny michango ya harus hapo ukenena, ukipata kaz ya mshahara wa laki 5 kadi znakuja km.8 hv na ukiwanyima wananuna
Kajamaa kameongea kimuemuko Sana hajui na ajasema hyo ploti kaipataje siyo sahih mtu kuongea vitu vya msingi kimuemkoHiyo plot Kkoo kaipataje?
HaswaaaHasa mirungi
Acha uongo mkuu hcho kigorofa kilicho kosa parking ndio unasema Ana Jenga gorofa refuhuyu BM ndo anaitoa kimasomaso morogoro, anajenga ghorofa refu kuliko yote moro pale masika
Urithi toka KWA Wazazi wao. Mfano wakinga wengi utajiri wao ni matokeo ya kampeni ya miaka ya 80 kupanda miti toka KWA Wazazi waoJe hizo real estate wamezipataje je wotw tunazo sasa wao walipata wapi pesa za kumiliki hizo estate ndio swali la mtoa mada lipo hapo
Watoane makafara wenyewe waache tozo zetuMengine ni kodi zetu, mengine ni wazee wa makafara, mengine ni wazee wa madini mfano sauli, mining nice, ya kaskazin mengi ni kodi zetu na ya kurithi toka KWA wazazi wao waliokuwa wapigaji na wezi wakubwa. East Africa.
Hizo jamii za kihindi wana discipline ya maisha, kuanzia kuoa na kuzaa, ni ngumu kukuta mtu ana watoto 10,Kwangu Mimi ndio aina ya utajiri ninaoukubali.
Kule ule wa kusema ukaanza ku hustle mwenyewe.
Na mwanao nae aka hustle mwenyewe.
Na msjukuu wako na aka hustle mwenyewe
Ku break generational chain of poverty hapo haitowezekana kamwe asilini abadani.
Huwezi Kuta wahindi au waarabu masikini wa kutupwa sababu wanajua nini maana ya pesa na Ni vipi wawaweke watoto kwenye ctclyya pesa zao wazalishe zaidi na zaidi kizazi na kizazi.
Sisi waafrika akifa baba tu kwakuwa alikuwa hataki kushikirikisha wanae kwenye mali zake(ubinafsi) Kila kitu kinarudi ground zero. Mali kupotea au kukwapuliwa sababu watoto hawakuandaliwa kuziemdeleza na kuzalisha zaidi.
Mfano mzuri wa generational wealth mcheki yule RATAN TATA na Ile TATA EMPIRE sio yeye mwanzilishi wa ule ukwasi na Babu zake.
Je hao wazazi wao wamezipataje bado swali la mtoa mada still lipo hapaUrithi toka KWA Wazazi wao. Mfano wakinga wengi utajiri wao ni matokeo ya kampeni ya miaka ya 80 kupanda miti toka KWA Wazazi wao
Kafara, ufisadi serikalini,madini,wizi hii kwa kaskazin,Je hao wazazi wao wamezipataje bado swali la mtoa mada still lipo hapa
Sawa mkuu, iko siku hutoamini lakini shukuru Mungu kama haya mambo hayajaingia kwenye maisha yakoDuniania hapa hapa kama wewe, sijawahi kuona ushirikina kama wewe ambavyo hujawahi kuuona zaidi ya kuaminishwa tu kwa story za hearsay. Fikiria objectively umewahi kuona nini zaidi ya matango pori wanayoaminishana wajinga.
Watembelee watu ndio utaweza kutofautisha mazezeta na vichaaSamsa Logistics wana lori nyingi, nani mwenye hii kampuni maana wanagari nyingi pia, vile vile hata hawa wanyarwanda wanazidi kwa gari nyingi sana za mizigo. Lori zenye RL.....ni za kutosha.
Kwa Buses Kanda ya ziwa kwenda Dar Ally's ana fujo na road, bila kumsahau SATCO na happy nation.
Duniania hapa hapa kama wewe, sijawahi kuona ushirikina kama wewe ambavyo hujawahi kuuona zaidi ya kuaminishwa tu kwa story za hearsay. Fikiria objectively umewahi kuona nini zaidi ya matango pori wanayoaminishana wajinga.
Usiombe yakukute. Msiba usikie nyumba ya jiraniDuniania hapa hapa kama wewe, sijawahi kuona ushirikina kama wewe ambavyo hujawahi kuuona zaidi ya kuaminishwa tu kwa story za hearsay. Fikiria objectively umewahi kuona nini zaidi ya matango pori wanayoaminishana wajinga.
New force ndie Golden deerMaana wenye mabasi mengi Tz ni NewForce, Abood, Shabiby, Golden Deer
Usiombe yakukute. Msiba usikie nyumba ya jirani
Sawa mkuu, iko siku hutoamini lakini shukuru Mungu kama haya mambo hayajaingia kwenye maisha yako