Wamemuingiza cha jiji halafu wanejitenga naye!

Wamemuingiza cha jiji halafu wanejitenga naye!

Sawa tajiri wa shetani.

Umejitwika utetezi kwenye huu uzi una kazi ya kujibu kila comment inayokinzana na utashi wako wa kutaka kila mtu asifie kinafiki hata visivyostahiki sifa.

Unajipa adha ya nafsi bure. Jifunze kukubali kuwa si kila mtu ana mtazamo sawa na wako.
Nafikiri sentensi ya mwisho umejiandikia wewe mwenyewe na wenzako walio na kazi km yako......ya kupinga na kumtukana mama kwa sababu yao kuu wanayoificha katika kivuli cha mkataba wa bandari!
 
Nafikiri sentensi ya mwisho umejiandikia wewe mwenyewe na wenzako walio na kazi km yako......ya kupinga na kumtukana mama kwa sababu yao kuu wanayoificha katika kivuli cha mkataba wa bandari!
Uko sahihi kabisa. Umeridhika?
'mama yako' ni bora mithili ya 'malaika'.

Usiku mwema
 
Nafikiri Mh Rais angekuwa anapitia humu Jf na kusoma kila comment angeachana na huo mpango.
 
jambo pekee magu alikosea ni kukumbatia pimbi kama kina sabaya na kina makonda, na kutesa wapinzani akiamini upinzani ukiondoka atafanya kazi kwa raha. alifanya pia madudu ya kujenga ile airport ya mobutu chato ambayo wanaishi bundi sasaivi, na watu wanalia mahoteli wamefungwa kwasababu hamna mtu tena. ila pamoja na makosa yote haya, alikuwa na uchungu na nchi, na jambo kama hili lisingetokea katika maisha yake. inawezekana tunamhitaji magu mwingine 2025.

ukweli ni kwamba, mafisadi walipata hasara sana miaka 5 aliyotawala, na walikuwa wanaomba Mungu kila siku afe. sasaivi ndio wanarudi kwa kasi watakula hii nchi haitabaki. anaibuka mmoja baada ya mwingine.
Magufuli hawezi kurudi tena wala copy yake! watanzania hawajui nini wanachokitaka, ngoja wajanja wale nchi tu...
 
Mpare anatuaninisha kwamba tulichoona ni 'tip of the iceberg'
Iceberg lenyewe ni hiyo thelatha wahed (31)
 
Niliwahi kuingizwa cha kike!
Nikachomekewa demu, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia kuumbuliwa na aibu ya mwaka! Kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!

Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4.. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana! Haufai haufai haufai.. Vipi hiyo mingine 31 ya siri?
Inasemaje?
Itavuja lini?
Itasambazwa lini?
Masharti yake ni yapi?
Nknk
Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32.. Labda kwenye eneo husika
Miundo mbinu reli
Miundo mbinu airports
Miundombinu barabara
Miundombinu mawasiliano
Kilimo
Ufugaji
Maliasili madini
Maliasili misitu
Maliasili mbuga
Maliasili utalii
Maliasili maeneo ya kihistoria
Kodi
Utawala
Siasa
Elimu
Imani
Mingine siifahamu

Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga
Likikosea njia
Likifanya ajali
Likivunja sheria
Lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!
Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali wameshika kwenye mpini!

Kumkoma nyani jiladi..!
Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi ama la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndani kunafukuta,
Nje kunatokota,
Muda ni mwamuzi mzuri!
 
US.M: "Musiwaamini hao mamluki waongo". Tupeni huo ukweli Basi ili tuwa prove wrong hawa mnao waita mamluki waongo.
 
...Sasa ana Kazi na Kuteua na Kutengua, sijui Nchi itatulia lini na Kufanya Kazi...!
 
Maskini sijui kama anajua wamemtumia hizi lawama zitaangukia kwake milele ilhali wahusika wapo nyuma ya pazia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom