Wamemuingiza cha jiji halafu wanejitenga naye!

Niliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!

Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana, haufai haufai haufai, vipi hiyo mingine 31 ya siri? Inasemaje? Itavuja lini? Itasambazwa lini? Masharti yake ni yapi nk?

Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32, labda kwenye eneo husika; Miundo mbinu reli, Miundo mbinu airports, Miundombinu barabara, Miundombinu mawasiliano, Kilimo, Ufugaji, Maliasili madini, Maliasili misitu, Maliasili mbuga, Maliasili utalii, Maliasili maeneo ya kihistoria, Kodi, Utawala, Siasa, Elimu, Imani, Mingine siifahamu/

Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi, ;wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga; Likikosea njia, Likifanya ajali, Likivunja sheria, lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani, lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!

Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali, wameshika kwenye mpini.

Kumkoma nyani jiladi! Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Rimoti Iko msoga
 
Inawezekana na yeyealikuwa anapewa maagizo na washika pembe!

Hii nchi Ina wenyewe mkuu.. Mimi pia bwana Yule nikimuona korofi..lakini kwa baadae Sana nikaja kugundua Yule aliwekwa kusafisha Ile kampuni piga ua mradi iendelee kushika tenda..maana aliyempa kijiti aliharibu mno.. ..!
 
Maandamano ni juma tano ni trh 19 au hamjaona huko twitter nasikia kumbekucha huko insta ka mange kamepost.
 
Niliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!

Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana, haufai haufai haufai, vipi hiyo mingine 31 ya siri? Inasemaje? Itavuja lini? Itasambazwa lini? Masharti yake ni yapi nk?

Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32, labda kwenye eneo husika; Miundo mbinu reli, Miundo mbinu airports, Miundombinu barabara, Miundombinu mawasiliano, Kilimo, Ufugaji, Maliasili madini, Maliasili misitu, Maliasili mbuga, Maliasili utalii, Maliasili maeneo ya kihistoria, Kodi, Utawala, Siasa, Elimu, Imani, Mingine siifahamu/

Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi, ;wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga; Likikosea njia, Likifanya ajali, Likivunja sheria, lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani, lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!

Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali, wameshika kwenye mpini.

Kumkoma nyani jiladi! Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeweka mawazo yangu.

Kuna wakati namhurumia lakini nikikumbuka tulishapiga mayowe sana huko nyuma namna gari linavyoenda hakujali.

Yaani imefika mahala tulio na macho ya rohoni tunang'ata meno kusema LAIT ANGELIJUA!

Tik Tok Tuk Tak Tek
 
Niliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!

Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana, haufai haufai haufai, vipi hiyo mingine 31 ya siri? Inasemaje? Itavuja lini? Itasambazwa lini? Masharti yake ni yapi nk?

Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32, labda kwenye eneo husika; Miundo mbinu reli, Miundo mbinu airports, Miundombinu barabara, Miundombinu mawasiliano, Kilimo, Ufugaji, Maliasili madini, Maliasili misitu, Maliasili mbuga, Maliasili utalii, Maliasili maeneo ya kihistoria, Kodi, Utawala, Siasa, Elimu, Imani, Mingine siifahamu/

Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi, ;wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga; Likikosea njia, Likifanya ajali, Likivunja sheria, lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani, lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!

Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali, wameshika kwenye mpini.

Kumkoma nyani jiladi! Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!

Sent using Jamii Forums mobile app Humo humkosi king maker toka chuo kikuu Cha Tehran.Mzee wa Taifa gas.
 
Huu uzi upelekwe Jamii intelligence....

Unyama mwingi
 
Maandamano ni juma tano ni trh 19 au hamjaona huko twitter nasikia kumbekucha huko insta ka mange kamepost.
Mange hana moral authority!!! Sana anafanya sabotage ya maana halisi ya haki kutendeka!! Na hafanyi hivyo kwa makosa yawezekana ni pre-planned events
 
Huyu mama hakua na sifa ya kua kiongozi hata wa nyumba 10 achilia udiwani eti gafla ni kiongozi mkubwa wa nchi.

Inawezekana Tanzania huko mbinguni ni kituo cha vichekesho/commedy.
Katiba yetu safi kama ya Marekani. Usitubeze!
 
kiukweli, unahitaji kuwa na imani yenye kiasi cha kubomoa milima, kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa kiongozi bora. si kwa africa hii.
Kwa afirika kiongozi aliwahi kupatika Mandela kaunda ghadaff walio salia wote bora hata ya joisi banda wa malawi
 
Niliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!

Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana, haufai haufai haufai, vipi hiyo mingine 31 ya siri? Inasemaje? Itavuja lini? Itasambazwa lini? Masharti yake ni yapi nk?

Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32, labda kwenye eneo husika; Miundo mbinu reli, Miundo mbinu airports, Miundombinu barabara, Miundombinu mawasiliano, Kilimo, Ufugaji, Maliasili madini, Maliasili misitu, Maliasili mbuga, Maliasili utalii, Maliasili maeneo ya kihistoria, Kodi, Utawala, Siasa, Elimu, Imani, Mingine siifahamu/

Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi, ;wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga; Likikosea njia, Likifanya ajali, Likivunja sheria, lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani, lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!

Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali, wameshika kwenye mpini.

Kumkoma nyani jiladi! Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha.. !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom