Wamemuingiza cha jiji halafu wanejitenga naye!

Wamemuingiza cha jiji halafu wanejitenga naye!

WaTz mnajifanya mnajua kuandika mnajificha nyuma ya keyboards zenu... Uhalisia WaTz ni maandazi tu 🤣😅 tokeni barabarani muonyeshe hisia zenu... Ndiyo maana hata viongozi wa darasa la 7B wanawaburuza watakavyo kwasabab hamjitambui
ogopa mtu anayejificha kweney key board kuliko anayejitokeza. jifunze kwa libya. hofu kwa wananchi ni mbaya, waache watu waongee ili ujione mapungufu yako. ukiziba watu midomo siku uzalendo ukiwashinda huwa wanafanya vitu vibaya, na ninyi kama viongozi yapasa kuzuia hayo kwa kujibu hoja na kuacha kufanya mambo kama vile nchi hii ni kampuni. madukuduku ya wananchi mnatakiwa kutoka na kuyajibu, ndio maisha yanaendelea.
 
Hapana, walisahau uwepo wa shani ya Mungu. Ilipaswa akate tepe za majengo kwa miaka 10, akimalize akacheze na wajukuu akisikiliza taarab za kina Issa Matona.

Ghafla Mungu akakumbusha uwepo wake ikabidi tairi ya baiskeli iendeshe tractor.
Sasa hapo tatizo lipo kwenye kanuni na taratibu za tairi LA baiskeri kuendesha tractor, baada ya,driver kuanguka mazima.
 
Ukitema nchale! Ukimeza nchale! Labda umumunye..!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana Jr tuliingia cha kike. Hili la kuchagua makamu ''msindikizaji'' watu walishalipigia kelele siku nyingi lakini haikuwahi kutokea kwa rais kufariki na makamu kuchukuwa automatically ndiyo maana ilionekane ni kama kitu impossible. Sasa tunavuna tulichopanda. BTW umenikumbusha msemo tuliokuwa tunautumia sana hapa JF zamani i.e. kumkoma nyani giladi... Msaada kwa yeyote anayejua hivi ''kumkoma nyani giladi'' ndiyo kufanya nini? I mean nyani anafanywa nini?
 
Niliwahi kuingizwa cha kike!
Nikachomekewa demu, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia kuumbuliwa na aibu ya mwaka! Kuwafuata walioniiletalea msala wakanikimbia!

Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4.. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana! Haufai haufai haufai.. Vipi hiyo mingine 31 ya siri?
Inasemaje?
Itavuja lini?
Itasambazwa lini?
Masharti yake ni yapi?
Nknk
Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32.. Labda kwenye eneo husika
Miundo mbinu reli
Miundo mbinu airports
Miundombinu barabara
Miundombinu mawasiliano
Kilimo
Ufugaji
Maliasili madini
Maliasili misitu
Maliasili mbuga
Maliasili utalii
Maliasili maeneo ya kihistoria
Kodi
Utawala
Siasa
Elimu
Imani
Mingine siifahamu

Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga
Likikosea njia
Likifanya ajali
Likivunja sheria
Lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!
Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali wameshika kwenye mpini!

Kumkoma nyani jiladi..!
Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi ama la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi zinasema wahusika wakuu katika mchezo huu ni bitozo, msonga, Karamagi na Rostam. Hao ndio wamejibatiza jina la Dubai
 
Tetesi zinasema wahusika wakuu katikachezobhuu
Haya wadau semeni hii Salisla ndo ile “project company” ya IGA? Naona Bunge limeridhia washaingia kazini
Kurasini eti new Operator
Cc @MsigwaGerson upo? Au uko bize na teuzi?
Njoo tufafanulie ni kweli?
#TutaelewanaTu
20230614_195116.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana Jr tuliingia cha kike. Hili la kuchagua makamu ''msindikizaji'' watu walishalipigia kelele siku nyingi lakini haikuwahi kutokea kwa rais kufariki na makamu kuchukuwa automatically ndiyo maana ilionekane ni kama kitu impossible. Sasa tunavuna tulichopanda. BTW umenikumbusha msemo tuliokuwa tunautumia sana hapa JF zamani i.e. kumkoma nyani giladi... Msaada kwa yeyote anayejua hivi ''kumkoma nyani giladi'' ndiyo kufanya nini? I mean nyani anafanywa nini?
kumkoma nyani giladi'' ndiyo kufanya nini? I mean nyani anafanywa nini?
Ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ogopa mtu anayejificha kweney key board kuliko anayejitokeza. jifunze kwa libya. hofu kwa wananchi ni mbaya, waache watu waongee ili ujione mapungufu yako. ukiziba watu midomo siku uzalendo ukiwashinda huwa wanafanya vitu vibaya, na ninyi kama viongozi yapasa kuzuia hayo kwa kujibu hoja na kuacha kufanya mambo kama vile nchi hii ni kampuni. madukuduku ya wananchi mnatakiwa kutoka na kuyajibu, ndio maisha yanaendelea.
Kuna watu hawastahili wala hawana hadhi ya kujibiwa maana upuuzi wao ni wa kiwango cha juu mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeniuma sana hii ishu...huyu mama anatupeleka wapii!? Aisee.

Alale pema peponi Magufuli! Ingawa nilikuwa natofautiana nae kwa mambo mengi...kimtazamo

Ila kwa hili...avishwe nishani ya uzalendo uliotukuka huko aliko..

Akiamka leo....magu....anakufa tena!!! Kwa kuyaona haya yanayoendelea
 
Imeniuma sana hii ishu...huyu mama anatupeleka wapii!? Aisee.

Alale pema peponi Magufuli! Ingawa nilikuwa natofautiana nae kwa mambo mengi...

Ila kwa hili...avishwe nishani ya uzalendo uliotukuka huko aliko..

Akiamka leo....magu....anakufa tena!!! Kwa kuyaona haya yanayoendelea
Alale pema peponi Magufuli! Ingawa nilikuwa natofautiana nae kwa mambo mengi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza ukawa kiongozi lakini ukaongozwa na watu ambao sio viongozi na wakawa na nguvu ya maamuzi kuliko kiongozi . Chawa ni wazuri pale wanapokuwa chawa mtu. Ukiingiwa na chawa wazima hutawahitaji Tena kamwe. Tuendelee kuwashingilia chawa mfu
 
Imeniuma sana hii ishu...huyu mama anatupeleka wapii!? Aisee.

Alale pema peponi Magufuli! Ingawa nilikuwa natofautiana nae kwa mambo mengi...

Ila kwa hili...avishwe nishani ya uzalendo uliotukuka huko aliko..

Akiamka leo....magu....anakufa tena!!! Kwa kuyaona haya yanayoendelea
Mkuu umesema ukweli japo kwa kiasi. Hata mimi Magufuli nilikuwa simkubali kabisa kabisa lakini kwake jambo kama hili lisingetokea. Ila kwenye uongozi nia nzuri bila mikakati ni sawa na bure. Kosa kubwa sana alilofanya Magufuli ni kutokuweza kuona kosa la kubaka uchaguzi wa wabunge mwaka 2020 na kudhani wapinzani ni maadui bila kuona ukweli uliokuwa wazi kwamba maadui zake walikuwa wana CCM waliokuwa wananyemelea hizi rasilimali. Unadhani bunge lingekuwa na wapinzani wengi ujinga kama huu ungeweza kufanyika kwa usiri namna hii?
 
jambo pekee magu alikosea ni kukumbatia pimbi kama kina sabaya na kina makonda, na kutesa wapinzani akiamini upinzani ukiondoka atafanya kazi kwa raha. alifanya pia madudu ya kujenga ile airport ya mobutu chato ambayo wanaishi bundi sasaivi, na watu wanalia mahoteli wamefungwa kwasababu hamna mtu tena. ila pamoja na makosa yote haya, alikuwa na uchungu na nchi, na jambo kama hili lisingetokea katika maisha yake. inawezekana tunamhitaji magu mwingine 2025.

ukweli ni kwamba, mafisadi walipata hasara sana miaka 5 aliyotawala, na walikuwa wanaomba Mungu kila siku afe. sasaivi ndio wanarudi kwa kasi watakula hii nchi haitabaki. anaibuka mmoja baada ya mwingine.
 
Yote haya ni uduni wa elimu. Pale unapounga unga certificates kadhaa halafu upewe vitu vinavyohitaji elimu ya kweli lazima uvurunde.
Ni sawa na kudanganya kwenye CV kuwa unajua kifaransa ilhali hujui, akija mfaransa lazima uishie kusema bonjour mwanzo mwisho.

Na jamaa wana akili, wamemvika kilemba cha ukoka kwa kumtunuku udaktari wa heshima ili na yeye ajione wamo huku nyuma wenye elimu, udaktari wa kweli, ujanja na akili zao wanakula kiulaini.

Hii ni ithibati kuwa sio kila anaeonekana anakushangalia huwa anakushangalia, wengine huwa wanakuzomea. Huu ni mwanzo wa kuzomewa kwake huku akiwa anadhani anashangiliwa, akija kuamka na mawe yatakuwa yanarushwa pamoja na kuzomewa huko.
Ungejijua maskini ya Mungu!!!!!!
 
Ungejijua maskini ya Mungu!!!!!!
Sawa tajiri wa shetani.

Umejitwika utetezi kwenye huu uzi una kazi ya kujibu kila comment inayokinzana na utashi wako wa kutaka kila mtu asifie kinafiki hata visivyostahiki sifa.

Unajipa adha ya nafsi bure. Jifunze kukubali kuwa si kila mtu ana mtazamo sawa na wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom