Wamemuingiza cha jiji halafu wanejitenga naye!

Yale mambo aliyosema JK labda yaharibike sana nadhani ndio yamechaharibika sasa akae tu pembeni alinde heshima kidogo aliyokua anapewa
 
Mshana Jr tuliingia cha kike. Hili la kuchagua makamu ''msindikizaji'' watu walishalipigia kelele siku nyingi lakini haikuwahi kutokea kwa rais kufariki na makamu kuchukuwa automatically ndiyo maana ilionekane ni kama kitu impossible. Sasa tunavuna tulichopanda. BTW umenikumbusha msemo tuliokuwa tunautumia sana hapa JF zamani i.e. kumkoma nyani giladi... Msaada kwa yeyote anayejua hivi ''kumkoma nyani giladi'' ndiyo kufanya nini? I mean nyani anafanywa nini?
Ukitaka kumuua nyani.........
 
Nimegundua haters wa mama hamna akili, mambumbumbu mliojaa wivu na husda......lakini pia WASHAMBA a.k.a WAPORIPORI. Hamna hoja mmebaki kupiga ramli chonganishi tu.
Pimbi.jpg
 
Daaaaah.

Pumzikakwa amankamanda JOHN POMBE
Hawa wapuuzi kina Mshana Jr kila siku walikuwa wanakesha humu kumpinga, kebehi na kumtukana Magufuli kwenye kila maamuzi aliyokuwa anayachukua hasa yenye maslah na Taifa hili.
Mwisho wa siku walifurahi kwa kunywa na mbuzi choma baada yakufanikisha kifo chake.
Wakaja na mapambio ya anaupiga mwingi. Ukiwapinga kidogo wanakuita 'sukuma gang"JF ni hadhina kumbukumbu zote za matusi namasimango kwa wazalendo wa kweli zipo humu.
Mimi nasema ' acha turudi tu utumwani kwa waarabu, sababu hatueleweki tunataka nini. Mtoto akililia wembe mpe.
Hakuna kitakacho salia.
Mnapozungumzia mkataba mmoja tu wa bandari, je hiyo mingine mmeiona?
Mnajua Kuna mkataba mwingine wa hovyo waujenzi wa barabara wenye thamani ya trilion 3.5 wenye mazingira ya upigaji wa kutisha?
Sisi ni kenge tu, acha tuuzwe tu hamna namna.
 
WaTz mnajifanya mnajua kuandika mnajificha nyuma ya keyboards zenu... Uhalisia WaTz ni maandazi tu tokeni barabarani muonyeshe hisia zenu... Ndiyo maana hata viongozi wa darasa la 7B wanawaburuza watakavyo kwasabab hamjitambui
Kwani wewe mrundi!? Toka na weeewe
 
jambo pekee magu alikosea ni kukumbatia pimbi kama kina sabaya na kina makonda, na kutesa wapinzani akiamini upinzani ukiondoka atafanya kazi kwa raha. alifanya pia madudu ya kujenga ile airport ya mobutu chato ambayo wanaishi bundi sasaivi, na watu wanalia mahoteli wamefungwa kwasababu hamna mtu tena. ila pamoja na makosa yote haya, alikuwa na uchungu na nchi, na jambo kama hili lisingetokea katika maisha yake. inawezekana tunamhitaji magu mwingine 2025.

ukweli ni kwamba, mafisadi walipata hasara sana miaka 5 aliyotawala, na walikuwa wanaomba Mungu kila siku afe. sasaivi ndio wanarudi kwa kasi watakula hii nchi haitabaki. anaibuka mmoja baada ya mwingine.
Hakuongeza mshahara Kwa miaka 5 , hakuajiri Kwa miaka mitano,alipendelea vyombo vya ulinzi tuuu !! Hakika hakufaa
 
Tanganyika inataka kumwuzia raslimali za nchi msela mmoja wa wa nchi ya UAE bila ridhaa ya Raisi wa UAE.

Raisi wa Tanganyika kasaini mkataba kuhusu kuuza mali za Tanganyika.
Watu wana uliza mbona Raisi wa UAE hana habari ?

Maana Ilitakiwa Raisi wa UAE ndio asaini kwa upande wa Uarabuni ili kubalance uzito wa mkataba.

Kama kule kasaini Mkurugenzi wa kitengo fulani cha idara fulani, basi na huku angesaini Mkurugenzi wa kitengo fulani cha bandari.

Watanganyika tunaomba kuuliza kwanini Raisi UAE hajasaini huu mkataba ?

Maswali mengine yanakuja.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!

Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana, haufai haufai haufai, vipi hiyo mingine 31 ya siri? Inasemaje? Itavuja lini? Itasambazwa lini? Masharti yake ni yapi nk?

Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32, labda kwenye eneo husika; Miundo mbinu reli, Miundo mbinu airports, Miundombinu barabara, Miundombinu mawasiliano, Kilimo, Ufugaji, Maliasili madini, Maliasili misitu, Maliasili mbuga, Maliasili utalii, Maliasili maeneo ya kihistoria, Kodi, Utawala, Siasa, Elimu, Imani, Mingine siifahamu/

Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi, ;wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga; Likikosea njia, Likifanya ajali, Likivunja sheria, lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani, lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!

Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali, wameshika kwenye mpini.

Kumkoma nyani jiladi! Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana akili
 
Mshana ni tunu ya Taifa.
 
Sijawahi kukudharau una ponti sana kwenye unachoandika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom