Wamemuingiza cha jiji halafu wanejitenga naye!

Niliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!

Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana, haufai haufai haufai, vipi hiyo mingine 31 ya siri? Inasemaje? Itavuja lini? Itasambazwa lini? Masharti yake ni yapi nk?

Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32, labda kwenye eneo husika; Miundo mbinu reli, Miundo mbinu airports, Miundombinu barabara, Miundombinu mawasiliano, Kilimo, Ufugaji, Maliasili madini, Maliasili misitu, Maliasili mbuga, Maliasili utalii, Maliasili maeneo ya kihistoria, Kodi, Utawala, Siasa, Elimu, Imani, Mingine siifahamu/

Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi, ;wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga; Likikosea njia, Likifanya ajali, Likivunja sheria, lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani, lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!

Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali, wameshika kwenye mpini.

Kumkoma nyani jiladi! Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sight Mirror ❌
Side Mirror ✅
 
WaTz mnajifanya mnajua kuandika mnajificha nyuma ya keyboards zenu... Uhalisia WaTz ni maandazi tu 🤣😅 tokeni barabarani muonyeshe hisia zenu... Ndiyo maana hata viongozi wa darasa la 7B wanawaburuza watakavyo kwasabab hamjitambui
Naomba tangulia pale njia panda ya mwenge mimi nitakukuta hapo nitakuunga mkono...
 
Hapana, walisahau uwepo wa shani ya Mungu. Ilipaswa akate tepe za majengo kwa miaka 10, akimalize akacheze na wajukuu akisikiliza taarab za kina Issa Matona.

Ghafla Mungu akakumbusha uwepo wake ikabidi tairi ya baiskeli iendeshe tractor.
MTU KAMA HUYU HATA NIKIKUTANA NAE LEO...BILA SHAKA NI MTU MZIMA MWENYE MAMBO YAKE HAPA MJINI...OFISI YAKE...NA PESA ZAKE...HIZI POINTS SI ZA KIJANA ALIYEMALIZA FORM 6 JUZI.
 
Thera izi no wei SHI kani woshi haselfu from olu dhizi mangungoz like mikataba,shida ni uzalendo na uwajibikaji hakuna ktk taifa hili,na watawala wako juu ya sheria!!!
 
Niliwahi kuingizwa cha kike, nikachomekewa mwanamke, nikaingia kichwa kichwa! Nikaambulia na aibu ya mwaka, kuwafuata walioniletea msala wakanikimbia!

Wamemchomekea akasaini mikataba thenashara mara tatu kasoro 4. Mmoja tu uliovuja umeshaleta taharuki kubwa sana, haufai haufai haufai, vipi hiyo mingine 31 ya siri? Inasemaje? Itavuja lini? Itasambazwa lini? Masharti yake ni yapi nk?

Kwa mtazamo wa haraka sana hiyo mingine 31 haina tofauti na huu wa 32, labda kwenye eneo husika; Miundo mbinu reli, Miundo mbinu airports, Miundombinu barabara, Miundombinu mawasiliano, Kilimo, Ufugaji, Maliasili madini, Maliasili misitu, Maliasili mbuga, Maliasili utalii, Maliasili maeneo ya kihistoria, Kodi, Utawala, Siasa, Elimu, Imani, Mingine siifahamu/

Master mind wa hii mipango wapo lakini hawajitokezi waziwazi, ;wanasukuma gari kwa nyuma mbele huwaoni ila unaona gari linasonga; Likikosea njia, Likifanya ajali, Likivunja sheria, lawama ni kwake kwakuwa ndio wamemuweka kwenye usukani, lakini hawezi kuwazoom hata kwenye sight mirror maana wako nyuma ama kwenye blind spot!

Wamemuingiza pabaya hawezi kuchomoa ama kuchomoka na hawezi kulazimisha la sivyo ama zake ama zao! Ameshika kwenye makali, wameshika kwenye mpini.

Kumkoma nyani jiladi! Muda pekee ndio utaokoa ama kuzamisha jahazi la kudra za mwenyezi Mungu mweza wa yote!

Sent using Jamii Forums mobile app
Au ndiyo maana Membe kaondoka ghafla? Kuepusha complications za uchaguzi?

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom