hunahaja ya kukasirikia kitu ambacho huwezi kubadilisha unapoteza muda na unajiumiza mwenyewe,sasa rafiki zako wakiuliza kwanini umeachana na mkeo unajibu nini?watoto wakakua na kuuliza?utajiscrew mwenyewe huna haja,msubiri apone akwambie ukweli kilichomkuta we ni mwanaume kua na koromeo,kawasikilize na hao wabakaji usikie,inawezekana kawazurulisha kila mahali hanunui shamba wala hawalipi kitu anawapotezea muda tu.kunatabia ya wanawake wenye hela kujiona bora kuliko mtu yoyote sio wote wanaweza vumilia hilo,sithibitishi uovu waliomtendea ila kama wewe usipotetea hadhi yako nani akutetee?chukua hatua