Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,897
- 33,709
Pole sana
hupaswi kuwa na jazba
mke ni dhamana yako kama ilivyo mwanao
waliombaka mkeo pia 'wamekutukana na wewe na kukuonyesha dharau kubwa'
hata kama utasema umuache mkeo...kama adhabu yake vipi hao walio mbaka?
why usijue ukweli wote?
yaani watu waje wambake mkeo na kumlawiti na wwe unaona tu bora kumuacha mkeo ndo umemaliza?
na hao jamaa wakihonga mahakama watatoka nje free kabisa?
mimi ningekuwa wewe ningeanza na hao watu..nijue ukweli na nihakikishe wanazikwa ndo narudi kumuadhibu wife
kaka nadhani umeenda direct kwenye sehemu ya huyo mama kubwakwa in short jamaa anacho jaribu kuelezwa ni kudharauriwa na mke wake na kutoshirikiana kama mume na mke.kulingana na maelezo ya jamaa hilo tukio la kubakwa limetokana na hizo sababu na ni kama jamaa alikuwa anatafuta njia ya kuachana nae ni kama ilikuwa haipo hvyo hilo tukio limempa mwanga.