Wakuu salaam
Mm ni mwenyeji humu ndani ila tu kutokana uzito Wa habari hii niliona nije under cover kwa miaka 4 niliyokaa Jf kuna ambao tunajuana personally na ni wengi tu
Ndoa yangu sasa ina miaka 8, tuna watoto 3 na tumejenga nyumba mbili
Wiki mbili zilizopita mke wangu alibakwa na watu wawili waliokua wamejenga nae ukaribu kwa lengo la kumhadaha
Siku ya tukio alipigiwa simu na hao jamaa kwamba kuna shamba limepatikana bagamoyo hivyo wakaliangalie sikuwahi kujua kama anahitaji shamba ilikua ni jumapili asubuhi akaniacha home nimepumzika akaenda ili alione hilo shamba
Hatukuwasiliana tena hadi saa nne usiku nilipotaka kujua mwenzangu yuko wapi simu iliita tu bila kupokelewa, nilishtuka kwa kweli maana hana tabia ya kutonipokelea simu, baada ya muda ikawa haipatikani, nikaanza kumpigia kwa namba yake ya Tigo ambayo iliita tu bila kupokelewa, ilipofika saa sita usiku nikampigia mama yake mzazi nae anasema kwa siku hiyo hajafika pale nyumbani
Tukapeana jukumu la kuendelea kumtafuta hewani ingawa sio Mara ya kwanza kurudi home mida hiyo, wakati mwingine anakuja mida hiyo anadai anatoka kitchen party na kadi anakua nayo kweli, nikimuuliza kwa nn hakuomba ruhusa anajibu ""ningekuomba ungenikatalia""
Hivyo nikajipa moyo kuwa huenda ameenda kwenye kitchen party kama siku zingine nikaendelea kusubiri, hadi saa Nane usiku wapi hajaonekana, na bahati mbaya hakwenda na Gari lake siku hiyo lilikua na matatizo kwenye injini lilikua likisumbua wiki yote hiyo, nikaamua kwenda kwao usiku huo huo, nikamwambia hg kuwa mama akija sipo mnipigie ila mkae macho yenu yakiwa getini maana Leo hana Gari
Tukiwa kwao tayari ilikua saa Tisa usiku tukashauriana kwenda muhimbili baada ya kushauriwa na binam Wa wife aliepigiwa simu na mama Mkwe usiku huo
Kwa upande Wa majeruhi hakuwepo, nikapelekwa walipozipanga maiti zilizoingia usiku huo na ambazo hazijaenda mochwari sikufanikiwa, mama Mkwe aliogopa kuzitazama
Saa kumi na mbili asubuhi nikamrudisha mama Mkwe kwake nami nikaa hapo hadi saa tatu nilipoona simu ya wife ya Tigo ikiita nikapokea, ni sauti ya kike ya mtu mwingine mwanamke
Kumbe wale jamaa wawili walimwekea dawa za kulevya wife kwenye soda hivyo akazimika na kuchukua Chumba gesti na kumwingiza humo, asubuhi tukaenda na ngugu Wa wife na mama Mkwe baada ya kupokea hiyo simu ya binti Wa mapokezi ambae alitumia simu ya wife ya kitochi waliyomwachia kitandani na kunipigia baada ya kukuta jina ka hubby
Tulipofika tulienda kwenye Chumba hicho tulikuta wife anakoroma na kutoa udenda wenye damu kwa mbali, pembeni yake kulikua na kondomu zilizotumika na kinyesi kiasi, mama yake alianza kulia kwa sauti.
Kaka yake akampa kibano kikali receptionist aseme ukweli lakini binti Wa watu akasema hajui chochote kuna watu wawili waliingia wamembeba na kulipia, na wakatoka asubuhi na mapema
Najaribu kufupisha lakini naona maelezo yote ni ya msingi
Anyway, kwa kifupi ni kwamba alitibiwa, alikaa hospital siku tano akipewa dripu na dawa za kuondoa sumu mwilini,
Hadi hali yake ikawa sawa, kwa ushirikiano alioutoa kwa polisi, na kwa kutumia TCRA ambao wana wapelelezi wao wanaoshirikiana na CID madalali wale walikamatwa wote wawili, mhudumu Wa gesti akaunganishwa kwenye kesi hiyo ya ubakaji ingawa yy mashtaka yake yanasomeka tofauti na wenzie
Wamepandishwa kizimbani Mara moja na kesi yao kutajwa na imeahirishwa, wapo segerea, sijajua walishindwa masharti ya dhamana au nn kilitokea maana Mimi nilijitoa kwenye kesi hiyo nimewaacha ndugu waendelee nayo, Nina sababu
Tulikotoka na mwanamke huyu:-
Kiukweli Haya yaliyompata ni matokeo ya kunidharau na kutoniheshimu kama mumewe, amekua mtu Wa ratiba masaa 24/7 per week, anachoamua anakifanya bila consultation na Mimi, mfano:-
Aliamua kujiunga na masomo ya jioni baada ya kazi kama ifuatavyo.
Alijiunga na diploma ya IT ucc inayoanza saa 11 jioni hadi saa moja jioni, hapo hapo akajiunga na masters ya MBA inayoanza saa moja na kuisha SAA NNE usiku hadi kufika home ni saa tano na kitu
Nikamuuliza familia yako nani atai attend? Majukumu yako nani atayafanya? Akanijibu ndio hivyo nimeshajiunga
Hakuka na sababu ya kujiunga na IT angeanza na masters (prioritizing)
Wakuu, mambo yake yote ni siri hasemi mipango yake, anajifanya mtu Wa madili anadili na wanaume kuhusu biashara mbali mbali bila kunishirikisha ingawa ni muajiriwa
Mama yake ndio msiri wake mkubwa
Akienda kokote atoi taarifa hadi akifika huko ndo anasema "" hny nipo kwenye send off""
Nikajaribu kutafuta huenda ana mwanaume nje lakini kiukweli upepelezi na intelligence iliyotukuka ilithibitisha pasipo na shaka kuwa hajawahi Ku cheat
Simu zake zote niliwahi kuziweka under 24 hrs surveillance kupitia watu wangu wanaofanya kwenye mitando ya simu lakini mawasiliaño yote na wanaume ni ya kikazi na madili mbalimbali
Pia niliwahi Ku hack namba za simu na account za kijamii zote pia nilitoka bila bila
Lakini hata bedroom life ni nzuri tu, maana ukishindwa kumshika mke kwingineko Basi utamshika kwenye haki ya ndoa, mwanamke hawezi kutumikia wanaume wawili kusionekane kasoro
Lakini hata upande huo kwa kweli hakuna tatizo
Sababu niliyoigundua ni Mali alizoachiwa na marehemu baba yake ambazo wamepewa mirathi kama miaka minne iliyopita, wapo watatu, baba yao aliacha plot na nyumba nyingi kwenye prime areas hivyo mke wangu amepewa sehemu nyingi anazochukua kodi kubwa sana achilia mbali sehemu alizouza
Hivyo ni mkakati wake na mama yake anifiche vitu vingi ili nisije kumdhulumu anaona ni bora ashirikiane na mama yake kwenye mambo yake
Hati zangu anajua zilipo in case nimeanguka ghafla ila za kwake zote alizopewa plot zaidi ya 6 ambazo tayari amebadilisha tayari majina kuja ya kwake kazificha nisipopajua
Nimeshachoka, nashukuru mungu hili tatizo la kubakwa na kulawitiwa limetokea nimepata pa kumwachia, nasubiri awe vizuri psychologically nianze mchakato Wa talaka, naomba muelewe sikuja hapa kuomba ushauri Bali kuwapa funzo Wa akina Dada na wengine
Maana nilimwambia hivi. """ hizi mbio zote unazokwenda resi ipo siku watanipigia simu nikufuate mochwari au muhimbili"". Na kweli imetokea
Sina haja na pesa zake nina zangu nazopata kazini nilizofanyia maendeleo makubwa tu na miradi kadhaa
Wanashangaa kwa nn sijihusishi na hiyo kesi, ni kwa sababu nilimuonya mtoto kwao hakusikia na akanidharau
I tried to be a man and more than a man lakini ndo tunazidi kuvurugana
Maana kuna watakaokimbilia kudai "" act like a man"" humu Jf as walikua wanaona am not acting like one
Mungu akikupa mke Wa ovyo hata uki act like Tyson haitasaidia kitu
Sasa hivi wamerundikana hapo nyumbani Mara Leo wamletee pastor, kesho wamletee counselor, mm jioni naenda zangu kwenye bia narudi nipo vizuri nalala,
Juzi alikuja mshauri nasaha kuniambia ameniletea habari njema vipimo vimeonesha wife hana HIV so natakiwa nifurahi
Nikamjibu mwambie afurahi mwenye matokeo mwenyewe mm sitaendelea nae, sasa sijui amewaambia, maana mama Mkwe ananiangalia jicho kama vile anamwangalia shetani
Anyway nadhan nimepona rohoni kwa kuwaambia habari hii , sihitaji ushauri, Nina maamuzi tayari
Huenda victim mwenyewe akipata Mme mwingine atabadilika
Mke inaonekana anamdharau mume.Pole sana kiongozi...
Ni kweli, kama nyumba haina mawasiliano, maisha ya ndoa yanakuwa machungu sana. Ubabe baina ya wanandoa wala hausaidii bali hubomoa tu. Japo umesema hutaki ushauri, ingekuwa mimi ningetaka kujua sababu za hao madalali kumla mande mke wangu, ningewafanyia mbaya hilo halina ubishi...
Hakuna aliyeko perfect kiongozi, lakini wengine wanapaswa kupata hizi adhabu, kwangu she deserves every bit kwa sababu hakuona umuhimu wa mumewe hapo mwanzo, iweje leo mume arudishe feva kwake?
Kuna watu wanapenda kushindana na partners wao, mke akirudi saa2 usiku yeye atarudi sa4. Lakini kama kila ukimshauri mke hasikii, kwangu amevuna alichopanda. Na wengine liwe funzo kwao.
Samahani mkuu ila kama passage yote hyo umeshindwa kuelewa kwamba hyo ndoa ilishakufa miaka minne nyuma sidhan hata tukiandika insha utaelewaUsiseme hivyo coz haujui mungu anakupitisha katika majariby mangapi unaweza kushangaa akamuacha huyo akampata mwingine akawa balaa zaidi ya huyo
Soma vizuri alichokiandika kuwa kila kitu yupo vizurj tatizo tu anamaamuzi yake mwenyewe bila kumshirikisha mumewe
So hiyk ni challenge imempata atajifunza kitu.
Jiepushe kuwa na maisha ya kukurupuka huwa yanatucost sana sisi vijana.
Wewe umemuona tu huyo mwanamke what about their kids?
Unatoka tangu asubuhi bila kumtaarifu mumeo na watu ambao mumeo hawajui tena wanaume wawili. Wanaamua kwenda kunywa huko walikoenda hadi hao wahuni kumtilia madawa, ana simu kwenye begi lake lakini hakuona umuhimu wa kumtaarifu mumewe yuko wapi na akina nani au hata kumtaarifu mama yake yuko wapi na akina nani. Kamsababisha mumewe mpaka aingie mochwari kuangalia miili isiyomhusu zoezi ambalo si rahisi hata kidogo. Nakubaliana nawe kabisa amevuna alichopanda huyu, mume hapa hastahili kubebeshwa lawama zozote.
Red: una maana gani?Mkuu pole!
Mimi ni ke! Ila najaribu kutafakar sina hata pa kusemea! Mungu mwenyewe awanyie njia muonapo haipo tena!
Wakuu salaam
Mm ni mwenyeji humu ndani ila tu kutokana uzito Wa habari hii niliona nije under cover kwa miaka 4 niliyokaa Jf kuna ambao tunajuana personally na ni wengi tu
Ndoa yangu sasa ina miaka 8, tuna watoto 3 na tumejenga nyumba mbili
Wiki mbili zilizopita mke wangu alibakwa na watu wawili waliokua wamejenga nae ukaribu kwa lengo la kumhadaha
Siku ya tukio alipigiwa simu na hao jamaa kwamba kuna shamba limepatikana bagamoyo hivyo wakaliangalie sikuwahi kujua kama anahitaji shamba ilikua ni jumapili asubuhi akaniacha home nimepumzika akaenda ili alione hilo shamba
Hatukuwasiliana tena hadi saa nne usiku nilipotaka kujua mwenzangu yuko wapi simu iliita tu bila kupokelewa, nilishtuka kwa kweli maana hana tabia ya kutonipokelea simu, baada ya muda ikawa haipatikani, nikaanza kumpigia kwa namba yake ya Tigo ambayo iliita tu bila kupokelewa, ilipofika saa sita usiku nikampigia mama yake mzazi nae anasema kwa siku hiyo hajafika pale nyumbani
Tukapeana jukumu la kuendelea kumtafuta hewani ingawa sio Mara ya kwanza kurudi home mida hiyo, wakati mwingine anakuja mida hiyo anadai anatoka kitchen party na kadi anakua nayo kweli, nikimuuliza kwa nn hakuomba ruhusa anajibu ""ningekuomba ungenikatalia""
Hivyo nikajipa moyo kuwa huenda ameenda kwenye kitchen party kama siku zingine nikaendelea kusubiri, hadi saa Nane usiku wapi hajaonekana, na bahati mbaya hakwenda na Gari lake siku hiyo lilikua na matatizo kwenye injini lilikua likisumbua wiki yote hiyo, nikaamua kwenda kwao usiku huo huo, nikamwambia hg kuwa mama akija sipo mnipigie ila mkae macho yenu yakiwa getini maana Leo hana Gari
Tukiwa kwao tayari ilikua saa Tisa usiku tukashauriana kwenda muhimbili baada ya kushauriwa na binam Wa wife aliepigiwa simu na mama Mkwe usiku huo
Kwa upande Wa majeruhi hakuwepo, nikapelekwa walipozipanga maiti zilizoingia usiku huo na ambazo hazijaenda mochwari sikufanikiwa, mama Mkwe aliogopa kuzitazama
Saa kumi na mbili asubuhi nikamrudisha mama Mkwe kwake nami nikaa hapo hadi saa tatu nilipoona simu ya wife ya Tigo ikiita nikapokea, ni sauti ya kike ya mtu mwingine mwanamke
Kumbe wale jamaa wawili walimwekea dawa za kulevya wife kwenye soda hivyo akazimika na kuchukua Chumba gesti na kumwingiza humo, asubuhi tukaenda na ngugu Wa wife na mama Mkwe baada ya kupokea hiyo simu ya binti Wa mapokezi ambae alitumia simu ya wife ya kitochi waliyomwachia kitandani na kunipigia baada ya kukuta jina ka hubby
Tulipofika tulienda kwenye Chumba hicho tulikuta wife anakoroma na kutoa udenda wenye damu kwa mbali, pembeni yake kulikua na kondomu zilizotumika na kinyesi kiasi, mama yake alianza kulia kwa sauti.
Kaka yake akampa kibano kikali receptionist aseme ukweli lakini binti Wa watu akasema hajui chochote kuna watu wawili waliingia wamembeba na kulipia, na wakatoka asubuhi na mapema
Najaribu kufupisha lakini naona maelezo yote ni ya msingi
Anyway, kwa kifupi ni kwamba alitibiwa, alikaa hospital siku tano akipewa dripu na dawa za kuondoa sumu mwilini,
Hadi hali yake ikawa sawa, kwa ushirikiano alioutoa kwa polisi, na kwa kutumia TCRA ambao wana wapelelezi wao wanaoshirikiana na CID madalali wale walikamatwa wote wawili, mhudumu Wa gesti akaunganishwa kwenye kesi hiyo ya ubakaji ingawa yy mashtaka yake yanasomeka tofauti na wenzie
Wamepandishwa kizimbani Mara moja na kesi yao kutajwa na imeahirishwa, wapo segerea, sijajua walishindwa masharti ya dhamana au nn kilitokea maana Mimi nilijitoa kwenye kesi hiyo nimewaacha ndugu waendelee nayo, Nina sababu
Tulikotoka na mwanamke huyu:-
Kiukweli Haya yaliyompata ni matokeo ya kunidharau na kutoniheshimu kama mumewe, amekua mtu Wa ratiba masaa 24/7 per week, anachoamua anakifanya bila consultation na Mimi, mfano:-
Aliamua kujiunga na masomo ya jioni baada ya kazi kama ifuatavyo.
Alijiunga na diploma ya IT ucc inayoanza saa 11 jioni hadi saa moja jioni, hapo hapo akajiunga na masters ya MBA inayoanza saa moja na kuisha SAA NNE usiku hadi kufika home ni saa tano na kitu
Nikamuuliza familia yako nani atai attend? Majukumu yako nani atayafanya? Akanijibu ndio hivyo nimeshajiunga
Hakuka na sababu ya kujiunga na IT angeanza na masters (prioritizing)
Wakuu, mambo yake yote ni siri hasemi mipango yake, anajifanya mtu Wa madili anadili na wanaume kuhusu biashara mbali mbali bila kunishirikisha ingawa ni muajiriwa
Mama yake ndio msiri wake mkubwa
Akienda kokote atoi taarifa hadi akifika huko ndo anasema "" hny nipo kwenye send off""
Nikajaribu kutafuta huenda ana mwanaume nje lakini kiukweli upepelezi na intelligence iliyotukuka ilithibitisha pasipo na shaka kuwa hajawahi Ku cheat
Simu zake zote niliwahi kuziweka under 24 hrs surveillance kupitia watu wangu wanaofanya kwenye mitando ya simu lakini mawasiliaño yote na wanaume ni ya kikazi na madili mbalimbali
Pia niliwahi Ku hack namba za simu na account za kijamii zote pia nilitoka bila bila
Lakini hata bedroom life ni nzuri tu, maana ukishindwa kumshika mke kwingineko Basi utamshika kwenye haki ya ndoa, mwanamke hawezi kutumikia wanaume wawili kusionekane kasoro
Lakini hata upande huo kwa kweli hakuna tatizo
Sababu niliyoigundua ni Mali alizoachiwa na marehemu baba yake ambazo wamepewa mirathi kama miaka minne iliyopita, wapo watatu, baba yao aliacha plot na nyumba nyingi kwenye prime areas hivyo mke wangu amepewa sehemu nyingi anazochukua kodi kubwa sana achilia mbali sehemu alizouza
Hivyo ni mkakati wake na mama yake anifiche vitu vingi ili nisije kumdhulumu anaona ni bora ashirikiane na mama yake kwenye mambo yake
Hati zangu anajua zilipo in case nimeanguka ghafla ila za kwake zote alizopewa plot zaidi ya 6 ambazo tayari amebadilisha tayari majina kuja ya kwake kazificha nisipopajua
Nimeshachoka, nashukuru mungu hili tatizo la kubakwa na kulawitiwa limetokea nimepata pa kumwachia, nasubiri awe vizuri psychologically nianze mchakato Wa talaka, naomba muelewe sikuja hapa kuomba ushauri Bali kuwapa funzo Wa akina Dada na wengine
Maana nilimwambia hivi. """ hizi mbio zote unazokwenda resi ipo siku watanipigia simu nikufuate mochwari au muhimbili"". Na kweli imetokea
Sina haja na pesa zake nina zangu nazopata kazini nilizofanyia maendeleo makubwa tu na miradi kadhaa
Wanashangaa kwa nn sijihusishi na hiyo kesi, ni kwa sababu nilimuonya mtoto kwao hakusikia na akanidharau
I tried to be a man and more than a man lakini ndo tunazidi kuvurugana
Maana kuna watakaokimbilia kudai "" act like a man"" humu Jf as walikua wanaona am not acting like one
Mungu akikupa mke Wa ovyo hata uki act like Tyson haitasaidia kitu
Sasa hivi wamerundikana hapo nyumbani Mara Leo wamletee pastor, kesho wamletee counselor, mm jioni naenda zangu kwenye bia narudi nipo vizuri nalala,
Juzi alikuja mshauri nasaha kuniambia ameniletea habari njema vipimo vimeonesha wife hana HIV so natakiwa nifurahi
Nikamjibu mwambie afurahi mwenye matokeo mwenyewe mm sitaendelea nae, sasa sijui amewaambia, maana mama Mkwe ananiangalia jicho kama vile anamwangalia shetani
Anyway nadhan nimepona rohoni kwa kuwaambia habari hii , sihitaji ushauri, Nina maamuzi tayari
Huenda victim mwenyewe akipata Mme mwingine atabadilika
Kuhukumu mtu that way wewe unapaswa kuwa 'perfect'
sidhani kama tungesikia ya mke tungesema huyu jamaa ni perfect
ndo maana nimesema 'mchukulie mkeo kama binti yako'
utaona utamhukumu tofauti.....lakini ukimchukulia kama 'mshindani mwenzio'
kila litakalomtokea utasema tu sawa sawa.....
Pole mkuu hupaswi kumuacha huyo mwanamke unachotakiwa kufanya ni kumsamehe na kuanza ukurasa mpya wa mapenzi yenu pili fikria kuhusu watoto wenu, nina hakika atakuwa kapata somo.