Swtybeib
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 208
- 197
Kama kuwa na kichwa chepesi ndio hivi basi kazi ipo.
...kushabikia upande mmoja muache koz mm wewe na yule hatujui source ya hayo yt! so stop it..kchwa kiwe chepes kizto haikuhusu..pita hivii
Kama kuwa na kichwa chepesi ndio hivi basi kazi ipo.
Nakushukuru mkuu kwa uelewa wako mwepesi, Nina hasira sana kwa sasa na siko vizuri kichwani, nitakapotulia nitafanya kuchambua upya situation nzima na kuona cha kufanya
Ni kweli Nina hasira sana, ni kwa sababu jambo kubwa linatutokea ambalo lilikua ndani ya uwezo kulizuia lisitokee
Mtu unamwambia ule ni moto anaamua kwenda kuweka mguu hapo hapo,
Mwisho wanakuja watu kukulaum ww uliemtahadharisha asipite kwenye moto
Otherwise nashukuru kwa uelewa, infact napona haraka kwa comment za namna hii kuliko wale wanaokimbilia kusema nilitaman mirathi, wengine Nina wivu, wengine Nina gubu, yaani nilitamani kuipiga sim chin kwa hasira
Nimekaa zaidi ya saa mbili kuandika ile post Jana, nikijaribu kwa kadri ya uwezo wangu kuwa mkweli, kueleza kwa uwazi kabisa
Nimefikia hatua ya kueleza kwamba mke wangu ni mwaminifu na sijawahi kumshika kwa uzinzi pamoja na kumwekea morden surveillance ya 24 hrs
Sasa ningelisema hili kweli mkuu kama ningekua biased kwenye post hiyo?
Kosa langu ni kujitenga na hiyo kesi, na hii ni kwa sababu ya ghadhabu niliyonayo moyoni
Binafsi nimeomba likizo kazini kwa ajili ya hili Nina uchungu mno
Ni kweli Nina hasira sana, ni kwa sababu jambo kubwa linatutokea ambalo lilikua ndani ya uwezo kulizuia lisitokee
Mtu unamwambia ule ni moto anaamua kwenda kuweka mguu hapo hapo,
Mwisho wanakuja watu kukulaum ww uliemtahadharisha asipite kwenye moto
Otherwise nashukuru kwa uelewa, infact napona haraka kwa comment za namna hii kuliko wale wanaokimbilia kusema nilitaman mirathi, wengine Nina wivu, wengine Nina gubu, yaani nilitamani kuipiga sim chin kwa hasira
Nimekaa zaidi ya saa mbili kuandika ile post Jana, nikijaribu kwa kadri ya uwezo wangu kuwa mkweli, kueleza kwa uwazi kabisa
Nimefikia hatua ya kueleza kwamba mke wangu ni mwaminifu na sijawahi kumshika kwa uzinzi pamoja na kumwekea morden surveillance ya 24 hrs
Sasa ningelisema hili kweli mkuu kama ningekua biased kwenye post hiyo?
Kosa langu ni kujitenga na hiyo kesi, na hii ni kwa sababu ya ghadhabu niliyonayo moyoni
Binafsi nimeomba likizo kazini kwa ajili ya hili Nina uchungu mno
NANDERA naona umekuja kwa kasi ya ajabu. It is what it is!!! Mke kaliwa kiboga kwa upumbavu wake mwenyewe, let her pay the price. Na hilo ni kovu she'll never forget, sometimes you women like to tussle against men, forgetting that you're always on the loosing end...hamna namna nyingine, keshatiwa kovu la maisha, it will take her forever to recover!! But her mom is always on her side..!
it is what it is but we see it differently, and we're all right. you too have scars, every one has. so, time is going to heal her wound, and she'll come out stronger and wiser.
Nilidhani alikuwa anakubania tendo....kila la kheri...
Ila kwa ufupi utajuta...
Naomba uje tena humu JF na ID hii hii utupe feedback ya mwenendo wa mke aliyem replace mkeo...
Mke hajawai kukuchiti....anakuridhisha 6X6..
Umwache kisa amekunyima urithi toka kwa babake..(kwa yeyote aliyesoma hii story kwa jicho la tatu hili ndo limekutia hasira)
Hizo mali si atawapa watoto wenu (maana kwao mambo swafi hawawezi kuzizima akifa kwani ndiko zilikotoka)
Dah mimi ndo maana huwa nawakataza wanawake, mahusiano na wanaume
Point sana hii na ni wachache wameona. Wife inaonekana mpiganaji go getter halaf mwanaume lofa flani hivi. Sio mtu wa maendeleo angalia janga limemkuta mama wa watoto wake ambaye hajamfanyia baya LOLOTE LILE zaidi ya eti hio dharau wakati ni haki adharaulike halafu ona reaction yake. Kweli ni mwanaume huyo. Nakuhakikishia utakuja mpigia magoti huyo mama watoto wako. Mark my words.
My observations.
- Nisingetegemea ungewaza jambo lengine mbali na ulilowaza kutokana na maelezo uliyotoa. It's natural. wise people keep quite and avoid making decisions when they are angry. Mkwere anaita upepo. ukipita ndio unafanya maamuzi.
- Ndoa yako iko kwenye life support, kila uamuzi utakaochukua sasa hivi utakuwa na impact kwenye maisha yako sasa na baadae pamoja na watoto wako.
- Umeelezea kuwa mabadiliko ya mke yamekuja baada ya kupata mirathi, hili ni jambo jema, kwani umeshafahamu chanzo.
- Phase ya vurugu za mke kutokana na mirathi bahati mbaya zimeishia yeye kupata janga lililomapata.
- Kitakachotokea hapa,kwa maana ya phase gani mke atafuata baada ya hili janga ni aina gani ya reaction itatoka kutoka kwako.
- Kama utaamua kumuacha basi atajutia kwa muda mfupi na kusahau.., atarudia kule kwenye kiburi chake cha mirathi
- Kama utaacha kufanya uamuzi wa kumuacha.., hata kwa kumuweka kwenye incubation period, basi utapata mke bora zaidi ya yule wa post inheritance period, kwani atajua nani mbaya wake na nani mwema kwake. Sio rahisi kwa mtoto kukubali kuwa mzazi anaweza kuwa chanzo cha yeye kupata tatizo, lakini kama usiri aliofundishwa na mzazi umemfikisha kwenye janga alilopata, hii itamsaidia kwenye kuchuja ushauri wa mzazi.utampa sauti yake ya peke yake.
- Janga hili litarudisha mawasiliano na masikilizano kama mtakuwa tayari kusikilizana.Lakini hili litategemea sana point namba moja. Lini utafanya hayo maamuzi?ukifanya maamuzi sasa na baada ya miezi sita matokeo hayawezi kuwa sana.
- Umesema hupokei ushauri, lakini nina imani unasoma kilichoandikwa na labda kuna mawili matatu unaweza kuyaingiza kwenye process yako ya maamuzi. Tusamehe kwa kujiingiza kwenye yasiyotuhusu,labda kwa kuwa umeyaweka hapa.
- Hivyo nahitimisha kwa kukushauri ku-postpone Talaka yako hadi hasira zitakapoisha, hadi pale uamuzi wako utakapoacha kushinikishwa na picha za tukio zima. Katika kipindi hiki mke atakuwa na nafasi ya kuchagua njia ya kwenda,kurudi kuwa mke wa miaka minne nyuma kabla ya mirathi, au kuendelea kuwa mke wa miaka minne baada ya mirathi. Kama hana uchizi wowote, atarudi kuwa mke wa miaka minne kabla ya mirathi.Ukimuacha sasa hivi hutajua angekuwa mke wa aina gani baada ya hili tukio,si busara kufanya uamuzi based on incomplete set of information, kwa lugha kavu tunaita kukurupuka.Kuhusu yeye kubadilika msamehe kwa kweli, kwani, Money and Power corrupts most except those with the strongest of hearts. Umeshajua mkeo ni sampuli ya weka mbali na hivyo vitu, kazi kwako sasa.
Kama umewahi kusoma kuhusu Game Theory, mara baada ya maumivu kupoa ni wakati wakurudi Library kujikumbusha kuhusu decision making and art of cooperative and non-cooperative game theory.
Ukimaliza, kusoma angalau decision yako itakuwa na premise ya kusimamia mbali na maumivu.
Kila lenye heri!
Hapo kuna sababu sio bure labda ni kisasiii
Unauliza maswali ambayo majibu yake yote yapo kwenye thread huo ni upuuz na wendawazim
Mnatujazia server tu
Pole Mkuu kwa maswali ya kipuuzi/wendawazimu!!
Je, Server ni ya daddy yako au!
We nnani unayetaka kunipangia maswali ya kuuliza..?!
Mambo ya pilipili ya shamba ..............!!
Acha kubishana na wanaume wewe ..ndiyo maana hamuolewi siku hizi maana kidogo tu mnadindisha chuchu kuanza kubishana