Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Narudia tena, Pole sana Mtendwa (mleta uzi huu), pole kwa mkeo anayeumwa kwa sasa, pole kwa familia yako na ya mkeo, pole kwa watoto wenu. Yaani nimejikuta naumia utadhani mimi ndiyo yamenitokea katika familia yangu. Daah! Mrejesho plz mleta mada, hapo siku za baadae hasira zikitulia. Natamani kukupa mistari ya kuisoma katika Biblia, ila kwa hasira ulizonazo, unaweza hata kutukana kimoyomoyo kitabu kitakatifu yakawa mengine tena, pia sijajua u-dini ipi. Ila viongozi wako wa dini uliyomo wanahusika sana, waone Plz!
Ahsante!
Ahsante!