gwijimimi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 7,344
- 3,623
Sawa bhana , mkuu Bavaria ,,
The point I was tryng to make ni kwamba,, kwanini kama ana hasira asinge watafuta hao jamaa wabakaji direct, without hesitation ,, bt instead,, jianaume zima lina kaa
Ata kujishughulisha kumuuliza sababu mkewe hakuna..
Badala yake anakeshea bia ,,
So point kubwa hapo ni busara na kiukweli kama hao ndugu zake hawata tia dought kubwa na kumweka ndani ,,basi
Huyu mleta mada yawezekana kuna vitu vingine kaficha hajaelezea!!
By the way, icho ulicho sema ni kweli kabisa kutokana na mada jinsi ilivyoeleweka..
Hehehehe mnanichekesha sana atafute sababu za nn hasa?
Hv wapi hasa alivyokuambia anashindia bia?please Mr parfect stop being insane asinywe bia kisa?
Before unajua alikua hanywi?mwache agonge monde za kutosha as long as halewi akazingua n besides haumlipii so don't make the rules pia
Vaa viatu vya mwandishi mkeo awe anajaribu kukupanda kichwani anarudi midnight bila taarifa ndo uje ulete ulokole Mavi wako hapa
Last edited by a moderator: