Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,897
- 33,709
Ndugu yangu kwa hapa umeenda mbali, hata kam mkeo kakukosea ni vyema ukawa naye bega kwa bega kwa kipindi hiki ambacho ana matatizo ya kiafya. Wewe mwenyewe umekiri kuwa tofauti na dharau na usiri hana tatizo lingine, hana mchepuko na haki yako ya ndoa anakupa. Hata kama umepanga kumtacha jitahidi kumsaidia hadi apone.
dharau na usiri ni tatizo kubwa sana ktk ndo,anayekudharau anaweza kukufanyia chochote sababu anajua udhaifu wako,na msiri pia anaweza akakuua kabisa maana hujui anacho kiwaza.