miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
msamaha hawautaki ...wanachotaka binti yao asiolewe na ukoo wenye dharau kama unavyo sema wewe.
basi wewe tafuta mwingine tupo wengi mtaani loh
msamaha hawautaki ...wanachotaka binti yao asiolewe na ukoo wenye dharau kama unavyo sema wewe.
hapa mpaka akubali kwenda kuomba msamaha na kutoa mahari au amwache binti atafute sampuli yake
basi wewe tafuta mwingine tupo wengi mtaani loh
Umtie mimba!!!unawajua WABENA wewee?au unawasikia?
Msamaha akaombe mara ngapi si ameshakataliwa!
woga na ganzi kwa wanawake vimesha anzakuweka makazi kichwani mwangu....
Yaani mie nafuata utaratibu wao wana tibu ..mbona wengine wana ishi na wake bila ya mahari wala nn..
Hivi huko Songea hakuna simu?
Ilitakiwa mpige simu mapema sana ukweni kwako Iringa, mara baada ya ninyi kufiwa na ndugu yenu wa karibu. Biashara ya kutuma mtu Iringa ndio hio inakukosesha mke.
Kwa haraka haraka naweza kusema ile hamasa kutoka wa upande wa mume haikuwepo kivile na walichukulia ni jambo la kawaida kutokana na uwepo wa muda mrefu katika mahusiano yenu ya kimapenzi maana miaka kumi na tano sio haba ni kama mke tu.
Kitu cha pili niuzembe, hasara zitokanazo na uzembe ni nyingi kuliko faida nandio matokeo yake yamekuwa haya tunayo yashuhudia hapa.Taarifa ilikuwa muhimu sana kwa hatua iliyokuwepo.
Inamaana ukoo wa huyu binti hauna hata wazee wenye busara ambao wanaweza kulichulia hili swala la msiba kwa uzito kiasi fulani?? Hapa panahitaji busara zitumike zaidi kuliko jaziba.
Chakufanya ni kujadiliana nahuyo mchumba wako lenu liwe moja, kimsingi hata nyie pia mnahaki yenu katika maamuzi juu ya swala hili, kwa wazazi huwa ni kama kufuata baraka, na kuwapelekea shukrani, maana baada ya hapo hakuna kinachoendelea zaidi ya wewe kuchukua mke na kaanzisha familia yako.
dont force marrage mkuu
real marrage ni mambo mengi sanaHiyo pia ni point ya kuzingatia. Hakuna kitu kibaya kama kuoa kwa kulazimisha. Siku ndoa ikibuma mtaenda wapi kwa usuluhishi endapo mmeoana bila ridhaa. Ikishindikana jua siyo riziki yako, tafuta kwingine Mungu kakuwekea
wanawake kibao aache tu
acha kumlisha maneno! yeyey kasema miezi 15 wewe umeitoa wapi miaka 15?
ndo kachugua na akavurunda ajipange upyaHao kibao ni wake???
Si ndo humo kamchangua mmoja kati ya hao wengi.
ndo kachugua na akavurunda ajipange upya
kwa means zote za mawasiliano zilizopo duniani umeshindwa fikisha ujumbe hapana sikubali kabisa na hoja ya jamaa something not okey. tell me the alll relative walikuwa wanajua kuwa wanaenda kutoa mahari do u think walikuwa wote wamezimia kwa ajili ya kilio wakasahau hilo hapana that family is careless... mbona walikumbuka kuomba ruhusa kazini na kuja kwenye msiba? mbona walikumbuka kuombea ruhusa wanafunzi kwa ajili ya msiba ?... mbona walikumbuka kutoa taarfa za msiba kwa ndugu na marafiki? kwa nini wasahau familia ambayo their about to be a family? think twice...ni kweli wanadharau anataka kutuambia huo msiba ulikuwa amuhsu binti no nono
yah ni kweli mambo ya ndoa yaendeleeeKimsingi dharau wanayo, hawana jinsi ya kukwepa hilo. Ina maana hata bwn muoaji mwenyewe hana mawasiliano na mchumbake amweleze kuwa kafiwa home??? Hapa kuna kitu, wenye mtoto wana haki ya kufura.
Ila wangerudisha roho nyuma, kama sababu ni hii tu, otherwise iwe kuna mengine yamejificha