Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 585
- Thread starter
- #121
aisee kama hata hilo hujui bado hujakua, subiri ukue kue utapewa mke.
mbona huji amini?
Fafanua sio unatuongelea kiluga chako hapa..
aisee kama hata hilo hujui bado hujakua, subiri ukue kue utapewa mke.
unaupungufu wa mawasiliano mkuu... mkuu kuna mambo najiuliza uhusiano wako na binti ukoje kiasi kwamba ashindwe kujua kuwa umefiwa? je ulikuwa huna namba hata ya mama mkwe mtarajiwa na kutoa taarifa mapema kuwa umefiwa na si kumtuma mtu manual? kilichokufanya wewe ushindwe kutoa taarifa ni nini?
hata mimi nina wasi wasi ya kuwa wewe na familia yako mnadharau sana tena s kidogo.... kumbuka siku ya mahari yawezekana walijiandaaa hata kwa chakula kidogo na kuita wanaukoo na marafiki huku wakiwasubiria na ninyi amkufika imagine hali waliyokuwa nao .... mkuu jiongeze katika maisha kitu TAARIFA ni muhimu sana ,... jiongeze unasimu jua namna ya kuitumia mkuu
wewe na huyo girl wako hamna mawasiliano? kwani yeye angeshindwa toa taarifa wakati wazazi wako wanalia... mkuu huna cha kujitetea wewe mwenyewe ulishindwa kutoa taarifa hata kupitia rafiki yako wa karibu,,,, something is sound silly bad very bad
maneno haya ndo sababu yakunyimwa mke, mna dharau sana na familia yako, hata mimi nisingewapa binti yangu, nyambafu zenu, hapo kuna kiluga??mbona huji amini?
Fafanua sio unatuongelea kiluga chako hapa..
Miss chaga bola umempa makavu live, wewe hio habari nzima ukiisoma inaleta picha kabisa ni jinsi gani hamkuwatendea haki wakwe zenu, kweli watu wamejiandaa, wamejikusanya wewe na hao wazazi wako hamtokei tu harafu kesho mnakuja na sababu, hata ingekua wewe chukua simple example una kidate na dem wako then hatokei kesho unakutana nae anakwambia nilikua busy bila taarifa utajisikiaje huo ni uswahili na umefanya uswahili sehem ambayo ni ya muhimu na harafu mnaonekana hako kakiburi mnako next time mmeenda na huyo mshenga wenu bila taarifa braza please hauja watendea haki kabisa na wewe umeshindwa kumvalue huyo bint sasa wao wanakuonesha kwamba bint yao ana value than wewe unavyo m undervalue, hebu kubali mmefanya kosa wewe na lifamilia lako lote mkaombe msamaha. wabena ni kati ya makabila simple na wapole na wanaupendo sana ila ukiwadharau hilo bifu lake ni noma, nenda kaombe msamha beba bint, acha kujitetea kijingajinga hapa
kaeni pamoja bila kutoa mahali
big up mkuuuuu
maneno haya ndo sababu yakunyimwa mke, mna dharau sana na familia yako, hata mimi nisingewapa binti yangu, nyambafu zenu, hapo kuna kiluga??
Huyo mchumba wako ndio ana nafasi kubwa ya kutanzua mzozo huo. Yeye ndio anajua/anaweza kujua upande wake wanataka nini ili kulegeza msimamo au ni nani ndio key decision makers katika hiyo familia...Nikamuuliza aumuzi wake kaniambia,hayupo tayari kuwakosea wazazi wake hivyo tufanye kila tuliwezalo kupatanisha ama sivyo itifaki itazingatiwa...
usifanye hivyo mkuu,... ni heshima tu kwa wazazi mkuu... kama unampenda just do that ila kama humpendi let her gomindo dume mwenye msimamo sibaba iki..na vjembe vya kisenge..kamalibinti lao walikatalie tu ...wakuoa wapo wengi yaani sitetereki mpaka sasa hivi naendelea kula maisha na binti yao na wasipo angalia hiyo mahali wata ikosa kabisa......kwanza mahali ndo utumbo gani kama sio biashara haramu ya bina damu..kama ni vita na ubishi kwa mngoni mmegonga mwamba.
MankaM jamani hiyo ni link tu nimeitoa kwenye topics za zamani na sio mawazo yanguMmmhh kumbee
mindo dume mwenye msimamo sibaba iki..na vjembe vya kisenge..kamalibinti lao walikatalie tu ...wakuoa wapo wengi yaani sitetereki mpaka sasa hivi naendelea kula maisha na binti yao na wasipo angalia hiyo mahali wata ikosa kabisa......kwanza mahali ndo utumbo gani kama sio biashara haramu ya bina damu..kama ni vita na ubishi kwa mngoni mmegonga mwamba.
fuatilia comments zake zote kwenye thread hii, bwanamdogo ana dharau, ngoja litokee la kumtokea huyo bint ndo atajuta na kuthamini Baraka za wazazihata mimi nimeanza kuiona DHARAU yako
inawezekana hao wazazi wa binti wako sahihi
JIREKEBISHE
fuatilia comments zake zote kwenye thread hii, bwanamdogo ana dharau, ngoja litokee la kumtokea huyo bint ndo atajuta na kuthamini Baraka za wazazi
Habari wana jf?
Nina mchumba wangu kwa takribani,miezi kumi na tano sasa.
Wote tumeajiriwa katika wizara flani nchini.
Yeye kwao Iringa na mimi kwetu Songea,kipindi chote cha mahusiano yetu hatujawahi kwenda kwa wazazi wa pande zote mbili,isipokuwa taarifa zilipelekwa upande wa mwanamke na waliopeleka taarifa ni wazazi wangu wakitokea songea,taarifa ilipokelewa vizuri na wazazi wa mwanamke.
Mahali ilijadiliwa na kukubaliwa na pande zote mbili na tarehe ya kupeleka mahali ilipangwa na wazazi wa mwanamke na kuafikiwa na wazazi wangu.
Tazizo limekuja baada ya tarehe ya mahali kupangwa ambayo ilikuwa tarehe 13/03/2014.Tarehe hiyo ilikuja na matatizo nyumbani tulifiwa na ndugu wa damu hivyo wakatuma mtu akahairishe ,tatizo mtu aliyetumwa bahati mbaya akafika Iringa na kusahau kupitisha taarifa ukweni ,maana yeye ni mtu wa huko iringa.
Tarehe iliyopendekezwa kupeleka mahari baada ya kuhairishwa ni tarehe 3 April mwaka huu.
Kweli tarehe hiyo ilizingatiwa kwa upande wa wazazi wangu waka fika mpaka Iringa na mshenga akiwa mkuu wa msafara,bahati mbaya ukweni hawa kupata taarifa hivyo wakang'aka kupokea ile mahali ambayo kilikuwa kiasi flani cha pesa wakidai kuwa kimila tumewadharau sana na tumejiamulia tu.
Wakaitana wanaukoo na kushauriana wasiipokee licha ya kuwaomba msamaha na kuwaeleza yaliyotusibu wamekataa katakata wanadai KAMA KUOLEWA BINTI YAO ATAOLEWA TUU.
Yaani wamekataa katakata na hawataki kuona nyayo zetu pale.
Juzi mchumba wangu akanishauri tuchukue likizo ya dharura twende kwao.Tukafanya hivyo baada ya kwenda wanaukoo waliitana na kututamkia kuwa kuanzia siku hiyo hatuna mamlaka ya kuishi pamoja na kunambia hivi
Nanukuu, "wewe kijana hauna nafasi ya kuishi na binti yetu tena ,ukoo wenu mmejaa dharau na kiburi,binti yetu ataolewa tu sehemu stahiki".
Kiukweli baada ya kutamkiwa hivyo niliwaeleza wazazi wangu wakaniambia kama ipo ipo tu.
Niliaga nikaondoka lakini walimzuia binti yao kuondoka siku hiyo,yeye aliondoka siku iliyofuata,alipowasili hapa Mwanza alinieleza kuwa wazazi wake wanamsihi aachane na mimi endapo atataka kuendelea kuwa miongoni mwa wanafamilia yao.
Nikamuuliza aumuzi wake kaniambia,hayupo tayari kuwakosea wazazi wake hivyo tufanye kila tuliwezalo kupatanisha ama sivyo itifaki itazingatiwa.
NAOMBENI WASAA WENU JAMANI NIFANYEJE HAPO?
Kuna jamaa mmoja alinambia hapo wanataka fidia nusu mahari kulingana na mila zao Wabena na sie hali ngumu.
Au wana mpango wa kuninyima mke?
Ni habari ya ukweli kabisa.
kiukweli kabisa suala la mahali likuwa mikononi mwa wazazi wangu....
Pia na dhani hauja wahi kufiwa au kuona mtu aliye poteza fahamu aku kuchanga nyikiwa kutokana na kufiwa.
Yote mema chagga naamini lililo pangwa na mungu binaadamu hawezi li tambua...cm hizihizi ndo zina vunjaga ndoa nyingi.