Wamekataa mahari ya binti yao, tufanyeje?

Wamekataa mahari ya binti yao, tufanyeje?

Kubali yaishe... tafuta njia zao za kuomba msamaha kimila, ufanye ivyo, yataisha.
 
Hapo binti ndiye ana nafasi ya kwanza kuwasihi wazazi wake lakini pia nanyi sasa mtume ujumbe wa kuomba radhi kwa yaliyotokea as long as mambo ya kuoana si kuleta uadui bali udugu!!

Bado suluhu ipo unless huyo binti hana mpango na wewe so atakubali kuondoka kwako bila kujitahidi kutaka suluhu.
huyu binti namshauri wala asirudiane nae... dalili za mvua ni mawingu
 
unaupungufu wa mawasiliano mkuu... mkuu kuna mambo najiuliza uhusiano wako na binti ukoje kiasi kwamba ashindwe kujua kuwa umefiwa? je ulikuwa huna namba hata ya mama mkwe mtarajiwa na kutoa taarifa mapema kuwa umefiwa na si kumtuma mtu manual? kilichokufanya wewe ushindwe kutoa taarifa ni nini?
hata mimi nina wasi wasi ya kuwa wewe na familia yako mnadharau sana tena s kidogo.... kumbuka siku ya mahari yawezekana walijiandaaa hata kwa chakula kidogo na kuita wanaukoo na marafiki huku wakiwasubiria na ninyi amkufika imagine hali waliyokuwa nao .... mkuu jiongeze katika maisha kitu TAARIFA ni muhimu sana ,... jiongeze unasimu jua namna ya kuitumia mkuu

kiukweli kabisa suala la mahali likuwa mikononi mwa wazazi wangu....
Pia na dhani hauja wahi kufiwa au kuona mtu aliye poteza fahamu aku kuchanga nyikiwa kutokana na kufiwa.
Yote mema chagga naamini lililo pangwa na mungu binaadamu hawezi li tambua...cm hizihizi ndo zina vunjaga ndoa nyingi.
 
Kama nilivyo kwambia,endelea kuwasikiliza hao mapimbi itakula kwako.

tafadhari ushauri wako ni tiba kwangu ..kwetu suala la kuzira mahali si suala la kawaida ni suala
nyeti enzi za utawala wa mwinyi makabila yana pigana kabisaa...naomba nieleweshe hata pm ungekuwa karibu ninge kutafuta unipe undani wa wabena ....maji shingono ndugu tafadhari.
 
kiukweli kabisa suala la mahali likuwa mikononi mwa wazazi wangu....
Pia na dhani hauja wahi kufiwa au kuona mtu aliye poteza fahamu aku kuchanga nyikiwa kutokana na kufiwa.
Yote mema chagga naamini lililo pangwa na mungu binaadamu hawezi li tambua...cm hizihizi ndo zina vunjaga ndoa nyingi.

wewe na huyo girl wako hamna mawasiliano? kwani yeye angeshindwa toa taarifa wakati wazazi wako wanalia... mkuu huna cha kujitetea wewe mwenyewe ulishindwa kutoa taarifa hata kupitia rafiki yako wa karibu,,,, something is sound silly bad very bad
 
kweli unampenda i hope huo ukoo na huyo msichana watalitambua hilo na kulizingatia, manake wanaume wa leo hii walivyo umletee mapozi ya hivyo mbona ndo kwanza atashukuru na kupata sababu ya kusepa. Ila nikikumbuka siku ya mahari yangu maandalizi yaliyofanyika alafu ingetokea upande wa mwanaume wasingetokea sijui ingekuaje, wana haki ya kukasirika
 
Kwa nini??

kwa means zote za mawasiliano zilizopo duniani umeshindwa fikisha ujumbe hapana sikubali kabisa na hoja ya jamaa something not okey. tell me the alll relative walikuwa wanajua kuwa wanaenda kutoa mahari do u think walikuwa wote wamezimia kwa ajili ya kilio wakasahau hilo hapana that family is careless... mbona walikumbuka kuomba ruhusa kazini na kuja kwenye msiba? mbona walikumbuka kuombea ruhusa wanafunzi kwa ajili ya msiba ?... mbona walikumbuka kutoa taarfa za msiba kwa ndugu na marafiki? kwa nini wasahau familia ambayo their about to be a family? think twice...ni kweli wanadharau anataka kutuambia huo msiba ulikuwa amuhsu binti no nono
 
uhusiano wenu umejaa utoto na ujinga tena dharau juu hata kama umetuma mtu kivipi usipate mrejesho kama kweli unajali? naanza kuona dharau za wazi mapema sana ndo maana hata aliyetumwa hakuchukulia uzito kabisa.....
 
kweli unampenda i hope huo ukoo na huyo msichana watalitambua hilo na kulizingatia, manake wanaume wa leo hii walivyo umletee mapozi ya hivyo mbona ndo kwanza atashukuru na kupata sababu ya kusepa. Ila nikikumbuka siku ya mahari yangu maandalizi yaliyofanyika alafu ingetokea upande wa mwanaume wasingetokea sijui ingekuaje, wana haki ya kukasirika
that great sweet heart... wnaona kwa kuwa tunaenda olewa ndo tuwe kama majinga
 
Wewe unatudanganya hapa bwana. Hiyo tarehe ya kwanza, huyo mchumba hakuwasiliana na wazazi wake? Na wakapika pilau wakangoja mahari haikutokea! Na hadi mnaenda mara ya pili binti hakuwasiliana na kwao?

kama unayosema ni ukweli, huyo binti yeye ndo hakutaki. Chapa lapa, anza upya na mwingine. Sio rizki!
 
Na wewe na mr leo mlikuwa hamuwasiliani progress? Manake nilitegemea ujue all the way kuwa wageni wamekata kona ipi etc
kweli unampenda i hope huo ukoo na huyo msichana watalitambua hilo na kulizingatia, manake wanaume wa leo hii walivyo umletee mapozi ya hivyo mbona ndo kwanza atashukuru na kupata sababu ya kusepa. Ila nikikumbuka siku ya mahari yangu maandalizi yaliyofanyika alafu ingetokea upande wa mwanaume wasingetokea sijui ingekuaje, wana haki ya kukasirika
 
tafadhari ushauri wako ni tiba kwangu ..kwetu suala la kuzira mahali si suala la kawaida ni suala
nyeti enzi za utawala wa mwinyi makabila yana pigana kabisaa...naomba nieleweshe hata pm ungekuwa karibu ninge kutafuta unipe undani wa wabena ....maji shingono ndugu tafadhari.

Nakushauli umwambie hyo mchumba wako aende yeye kama yeye akaongee na wazazi wake,nadhan watamsikiliza na utapewa jibu zuri, na utakuja kuniambia hapa.acha kupiga mimba itakugarim mkuu.mi kwetu IRINGA.na wewe ni mtani wangu.
 
piga mimba au binti azuge ana mimba yako utawaona watakavyoomba msamaha
 
unaupungufu wa mawasiliano mkuu... mkuu kuna mambo najiuliza uhusiano wako na binti ukoje kiasi kwamba ashindwe kujua kuwa umefiwa? je ulikuwa huna namba hata ya mama mkwe mtarajiwa na kutoa taarifa mapema kuwa umefiwa na si kumtuma mtu manual? kilichokufanya wewe ushindwe kutoa taarifa ni nini?
hata mimi nina wasi wasi ya kuwa wewe na familia yako mnadharau sana tena s kidogo.... kumbuka siku ya mahari yawezekana walijiandaaa hata kwa chakula kidogo na kuita wanaukoo na marafiki huku wakiwasubiria na ninyi amkufika imagine hali waliyokuwa nao .... mkuu jiongeze katika maisha kitu TAARIFA ni muhimu sana ,... jiongeze unasimu jua namna ya kuitumia mkuu

Umenisemea yangu ya moyoni bi dada...shkamoo kwanza!...Huyu jamaa na familia yake wajishushe kwanza, kisha waache dharau kwenye mambo ambayo morally wana benefit nayo, wakaombe radhi, na kukubali fine, kisha wa apply kwa mara ya pili...
 
Mkuu waachie binti yao wamuoe wenyewe! Ya nini kupasua kichwa,?

all ni all huyu mwanaume anamakosa. taarifa haikufika. ni bora hata huyu kijana angeieleka. hata kama mimi nikija kupata binti yangu uniambiae unaleta mahari tarehe 4 niite wazee niite ndugu usitokee bila taarifa alafu uje tarehe 30 na vipesa vyako laki 2. sichukui maana mahali ni suala la heshima sio malipo.
 
Back
Top Bottom