Wamekataa mahari ya binti yao, tufanyeje?

mindo dume mwenye msimamo sibaba iki..na vjembe vya kisenge..kamalibinti lao walikatalie tu ...wakuoa wapo wengi yaani sitetereki mpaka sasa hivi naendelea kula maisha na binti yao na wasipo angalia hiyo mahali wata ikosa kabisa......kwanza mahali ndo utumbo gani kama sio biashara haramu ya bina damu..kama ni vita na ubishi kwa mngoni mmegonga mwamba.

Hii comment yako ulivokuwa unaitoa ulikuwa sane mkuu?!!!
 
Söngea ulipotokea msiba ina maana hata huyo mchumba wako hakujua kuwa umefiwa awataarifu wazazi wake? Je wewe hukuwa na wazo la kutafuta namba zao kuwataarifu? Na kama kutoa taarifa kwa kutuma mtu ni heshima kwanini hamkumtuma mtu aende kwa ishu hiyo badala yake mkamwagiza mtu tuu ambaye alikuwa na safari zake, nazani ishu hamkuichukulia serious na wala siwalaumu hao wabena, tafuta mwafaka mkaombe msamaha kama ikishindikana basi mke sio liziki yako, uje uoe bombambili kuna watoto wazuri, wapo wengine mjimwema, majengo, lizaboni, mfaranyaki ndio kibao hadi matarawe, karibu uoe nyumbani bro.

hahahaa, kwani yeye hajui hatari ya watoto wa kingoni, ndiyo maana anakomaa na mmbena pamoja na kuwa ashalikoroga!
 
misifa ya niini? nyamafu mwenyewe..... tena ndo upewe mwenye matusi kama wewe..... unataka kuonewa huruma kubali umekosa fanya maamuzi na si kuleta ubabe na mfume dume hapa.....
Inatosha baasiii ameshaelewa alipokosea anatakiwa achukue hatua kama anamtaka binti,ila mimi kwa maoni yangu juu ya hili suala binti pamoja na jamaa hawakuwa serious hata kama suala liko chini ya wazazi lakini unatakiwa kujua nini kinaendelea maana kabla halijafika kwa wazazi lilianzia kwao,sasa kitendo cha jamaa kufiwa inamaana hata mkewe mtarajiwa hakujua? Baada ya kutuma ujumbe maana lazima mmpate mrejesho kama taarifa zimefika upande wa pili hakauna ambaye hana emejensi,je mlifikiria gharama walizotumia kuandaa hiyo tafrija maana kikawaida unapotoa mali ndo ndoa yenyewe mambo ya harusi ni mbwembwe tu ndiyo maana ndugu wote hualikwa,kama kweli ni waungwana inatakiwa mlipe hiyo fidia ni kwaajili ya hasara mliyowaingiza laiti kama taarifa zingefika mapema sidhani kama kungekuwa na faini,na dharau yenu imeonekana pale mlipogoma kulipa hiyo fidia ya hasara hapo hata kama binti atalazimisha kuolewa na wewe lakini wazazi watakuwa hawajatendewa haki hapo utakuwa umewaonea hebu waonnyeshe ni wa muhimu kwako kwakuwa uataka kuoa binti yao,ukithubutu ukampa mimba hapo ndiyo utakuwa umeharibu zaidi maana wataonekana si chochote na hiyo ndoa itakugharimu,kuwa mpole tuu kama unamtaka binti fanya wanavyotaka.
 
kweli kabisa
 
Tena kwa wanyalu....unaweza kushangaa mimba ikahamishiwa kwako mkuu! NATANIA TU!🙂[/QUOTE]

tobaaa
 
Back
Top Bottom