Hawajawazuia wanaume kutoroka bali wanaume wa Ukraine wameamua wenyewe kwa hiari kubaki kuipigania nchi yao.Wengi wanawake! Hapo Hakuna kikubwa Cha ku gain. Hivi karibuni Ukraine imekuwa ikiwazuia wanaume kukimbia nchi yao, na kuwataka wabaki wapiganie nchi yao. Umeona imezuia wanawake? Hao Ni watu wakati wa amani, zaidi ya hapo no.
Dogo mgerasiYees, tatizo lao kubwa na wao pia ni "waswahili sana sema hawajijui tuu, na wakija bongo hawataki kujichanganya na wenyeji asilia wanaishia Masaki, Mbezi Beach nk.
Wengi wanaobaki hapa basi kule State wanakuwa na MsalaHongera yao .... Ila kwa system yetu bongo , watakaa miez kadhaa wakianza kusaga rumba wenyew wananyanyua mabegi wanasepa. Namfaham mmoja alikua mshkaj wangu miaka ya 2006, ali survive km miaka 2 akaona bora arud zake state.
Mkuu umenichekesha sn aisee , naona unawiwa kujua idadi yao kwnz kabla ya chochote.Ni wangapi?
Wameshindwa kuwaibia wazungu kwao wameamua kuja kwa uku kupitia kulea watt wadogo sioNdio uwekezaji wenyewe huo mkuu.
Wamefungua saluni pale mbezi beach na kituo cha kulea watoto wadogo.
Tanzania inapaa kimataifa.
Wanaoongozwa na DrakeNi wangapi?
Acha uogaWasijekuwa kama waisrael wakaanzisha operesheni panua mipaka
Tatizo kubwa linalowakwamisha ni nini ?60-75% ya hao wanawake wanapata shuda kuanzisha familia yenye mahusiano thabiti kule….
Huo ni ubaguzi . Wangekuwa wazungu weupe - wala usingezungumzia kwamba ni " choka mbaya" . Watu weusi tutabadilika lini- tuwakaribishe vizuri kama wawekezaji alafu tuone wanaleta nini? Kule marekani kama wewe ni mtu mweusi na unajipenda- ni vigumu sana kufurahishwa na maisha ya manyayaso kwa sababu tu ya rangi yako.Wengi wanaokuja huku ni wale "choka mbaya". Maisha yamewapiga huko ndo wanakimbilia huku. Hawana msaada wowote kiuchumi.
Sio ubaguzi ndugu. Ninaandika kutokana na uzoefu. Nimeshakutana nao kadhaa. Wengi niliokutana nao hata kulipia ada ya visa ya kuingia Tanzania ni changamoto kwao. Hivyo huo ndio ukweli. Wengi, lakini sio wote ni maskini, hawana uwezo wa kuwekeza.Huo ni ubaguzi . Wangekuwa wazungu weupe - wala usingezungumzia kwamba ni " choka mbaya" . Watu weusi tutabadilika lini- tuwakaribishe vizuri kama wawekezaji alafu tuone wanaleta nini? Kule marekani kama wewe ni mtu mweusi na unajipenda- ni vigumu sana kufurahishwa na maisha ya manyayaso kwa sababu tu ya rangi yako.
Wengi wanaokuja huku ni wale "choka mbaya". Maisha yamewapiga huko ndo wanakimbilia huku. Hawana msaada wowote kiuchumi.
Sioni hata binti mrembo hapo
Hawajakana uraia wa US so wakiona mambo mabaya wanarudi zao kiwanja.Mi nawapa pole kwa kuchukua uamzi wakingese kuja bara la msoto.
Mtoto akililia wembe........