Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,276
This is grossly overstated!
Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.
Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
Kuna mtu mmoja humu alikuja na habari zake za uzushi, kumuuliza kama alishaishi Marekani acha aanze kuporomosha matusi. Hahaaa... Kuna watu humu ni waongo na wazushi hatari!. Mimi nimeishi Marekani zaidi ya miongo miwili, sijawahi kusimamishwa wala kuhojiwa na Polisi!.