Wamarekani wanatembea na silaha

Wamarekani wanatembea na silaha

Hakuna kitu kibaya kama damu ya mtu, Wazungu wamemuua Saddam kwa kisingizio cha silaha za maangamizi hakuwa nazo, wamemuua Gadaffi bila kosa, matokeo yake wakasababisha kuibuka kwa ISIS, sasa wana haha..Wamesababisha vita Sirya hakukaliki wakimbizi wanakimbilia kwao sasa, wanahaha tena, hawawataki.sasa wanataka waende wapi wakati wao ndo wamesababisha vita kwao, sasa hivi wameanza kuua watu weusi, sasa wanategemea wakimuua ndugu yako wewe uchekelee au ushangilie, walijua kabisa nini kitatokea kwao sasa wanalalamika nn, haiwezekani ww umuue mtu bila sababu halafu, familia yake na marafiki zake wakuangalie tuu, eti wa kwanza, eti wa pili hee...hata kama ni uvumilivu una mwisho wake jamani, wale sio wanyama ni binadamu wana nyongo..sasa wakichukua hatua oooo kwa hiyo walitakaje ? watu watulie tuu na kuuwawa kama kuku ama...watavuna walichopanda, huwezi kupanda mahindi ukavuna choroko, ukipanda Mauti utavuna mauti tuu hakuna jinsi..
 
Unajadili ya Marekani au unafanya comparison .
Saddam ni Rais wa Marekani.
Tafanya comparison gani wakati Marekani hali ni nzuri hamna tatizo lolote hamna mauaji ni tukio la kawaida.
 
Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.

Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.

Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.

Kulikoni?
Mwisho wa Marekani si mzuri, just the matter of time.
 
bb596a2e8f834a8275f61664309e13c0.jpg


c6dbfc6b7616644b958dd2b2f85c4a17.jpg


(Above pictures) Wamarekani weupe wanatembea na silaha (wanaogopa kuvamiwa na Wamarekani weusi).
Wanakwenda kuwinda Kinanna au?
Huo mbunduki wote ukiwahiwa saa ngapi utaweza kuukock uje umshoot mtu
Akili nyingine bana zimeshahama kabisa, ule ubabe wao sasa wameurudisha nyumbani, na wauwane TU.
 
Mkuu umeishi Marekani muda wote huo na ujawahi kusimamishwa wala kuhojiwa kwa hiyo tufanye reference kutoka kwako na ripoti za huko Marekani tena kutoka vyuo vikuu ambazo sinasema madereva weusi ndiyo wanaongoza kupekuliwa tuachane nazo ni waongo?

Mkuu, mimi kama mimi; sijawahi kusimamishwa na Polisi. Tukio moja tu nililowahi nitokea ni pale nilipo park gari kwenye route ya snow emergency. Nilikuta nimebandikiwa ticket ya kwenda kulipa faini kwa ajili ya kosa hilo!. Na ni kosa la kawaida sana, haliingizwi kwenye record yako. Kwangu mimi, huwezi kunishawishi kwenda kuishi nchi nyingine yoyote hapa duniani zaidi ya Marekani na Tanzania nikakuelewa!. I love these two Countries!.
 
Mkuu, mimi kama mimi; sijawahi kusimamishwa na Polisi. Tukio moja tu nililowahi nitokea ni pale nilipo park gari kwenye rout ya snow emergency. Nilikuta nimebandikiwa ticket ya kwenda kulipa faini kwa ajili ya kosa hilo!. Na ni kosa la kawaida sana, haliingizwi kwenye record yako. Kwangu mimi, huwezi kunishawishi kwenda kuishi nchi nyingine yoyote hapa duniani zaidi ya Marekani na Tanzania nikakuelewa!. I love these two Countries!.
Yego,

Kwanza hamna sehemu yoyote niloyosema nakupamgia sehemu ya kuishi sina huwezo huo, hebu wasome Wamarekani wenyewe.

According to officials, African-American drivers pulled over by state police were five times more likely to be searched than white drivers, despite the fact that contraband was more likely to be found in the cars of white motorists, ABC News reports.

Per a study conducted by the Institute on Race and Justice at Boston’s Northeastern University, the percentage of traffic-stops resulting in searches was 5.1 for Blacks and 1.1 for whites. The study also revealed that contraband was found 80 percent of the time in searches involving white drivers, but only 68.5 percent of the time with Black drivers, the news site states.

States, including Vermont, began compiling traffic-stop data after a 1990’s racial profiling controversy involving New Jersey state troopers, the New York Times reports. The officers had targeted minority drivers for traffic-stops in hopes of catching drug runners...

Endelea na hii link.

Vermont Becomes 8th State to Confirm It Stops More Blacks Than Whites in Traffic Stops, 'Implicit Bias' to Blame - Atlanta Black Star
 
images-26.jpeg

images-7.jpeg

Hali siyo mbaya kabisa watu wanafanya shughuli zao kama kawaida.
images-8.jpeg
 
Kapigwa risasi barabarani mtu mweusi lakini hali ni swali kabisa siyo mauaji ni tukio la kawaida.
Hahaha, yaani watu kuuliwa sio mauji??!!

Which language are you talking about?
 
Back
Top Bottom