Wamarekani wanatembea na silaha

Wamarekani wanatembea na silaha

bb596a2e8f834a8275f61664309e13c0.jpg

c6dbfc6b7616644b958dd2b2f85c4a17.jpg

(Above pictures) Wamarekani weupe wanatembea na silaha (wanaogopa kuvamiwa na Wamarekani weusi).
Watu watembea wamebeba hunting Rifles mpaka Supermarkets halafu tunaambiwa hali siyo mbaya hata kidogo.

Teh teh teh
 
Sio kufitinishwa tu, mzungu katumia jeshi lake kabisa kuifuruga Iraq, Libya na sasa Syria...

Nadhani unajua..
Upo sahihi maalim.
Swali linabaki pale pale huu mvurugano wenu ambao ulianzishwa na mzungu hauna mwisho?

Hivi hizo suicide vest mnaletewa/mnatengenezewa na Mzungu?

hiyo Shi'a vs Sunni is for how long.....?
Kwa nini msikae mkazungumza mkapatana mkaishi kwa amani katika nchi zenu kuliko hii ya kukimbilia utumwani ulaya na % fulani kugeuka chakula ya samaki Mediterranean??

Najua nipo off topic Mahmoud lakini ninachojaribu kusema ni kwamba wewe & co mnatakiwa muaze kuelimishana namna ya kuishi pamoja kwa Amani.
 
Huyo anaejiita Nyani Ngabu anajidai tu kutetea kwa kuwa labda anaishi huko kwa kutegemea kitchen soup za handouts.

Nani leo hii asiyejua mauaji ya ubaguzi wa rangi huko US? Labda ni punguani tu.

Someni kuhusu KKK, someni kuhusu akina Martin Luther King Jr. Someni kuhusu civil rights movement za US muelewe kuwa kuna tatizo kubwa kuliko mbavyojidai kulifanya dogo.

Someni hii!

List of massacres in the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Msikilize huyu binti anachokisema kisha umwambie hali siyo mbaya hata kidogo Marekani atakuelewa kweli.

Upo sahihi maalim.
Swali linabaki pale pale huu mvurugano wenu ambao ulianzishwa na mzungu hauna mwisho?

Hivi hizo suicide vest mnaletewa/mnatengenezewa na Mzungu?

hiyo Shi'a vs Sunni is for how long.....?
Kwa nini msikae mkazungumza mkapatana mkaishi kwa amani katika nchi zenu kuliko hii ya kukimbilia utumwani ulaya na % fulani kugeuka chakula ya samaki Mediterranean??

Najua nipo off topic Mahmoud lakini ninachojaribu kusema ni kwamba wewe & co mnatakiwa muaze kuelimishana namna ya kuishi pamoja kwa Amani.

Kasome kuhusu divide and rule labda utaelewa kuwa hata wewe hauko salama.

Huko Rwanda mauaji ya kimbari yalikuwa baina ya Shia na Sunni?

Huko Afrika Kusini juzi juzi ilikuwa baina ya Shia na Sunni?

Huko US hivi sasa ni baina ya Shia na Sunni.
 
Mkuu juzi tu hata wiki bado tuwaombeee?? huu utani sasa kwa nin kama ni waombaji tusiwaombee wengine wenye migogoro miaka nenda rudi ??? haki ya nani siwez iombea aman USA kwa ishu ya siku 5 wkt watu wanapotezana miaka sasa.
 
Huyo anaejiita Nyani Ngabu anajidai tu kutetea kwa kuwa labda anaishi huko kwa kutegemea kitchen soup za handouts.

Nani leo hii asiyejua mauaji ya ubaguzi wa rangi huko US? Labda ni punguani tu.

Someni kuhusu KKK, someni kuhusu akina Martin Luther King Jr. Someni kuhusu civil rights movement za US muelewe kuwa kuna tatizo kubwa kuliko mbavyojidai kulifanya dogo.

Someni hii!

List of massacres in the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
Atakuambia hao wote walikuwa wana chuki na wazungu wao ndiyo wakorofi.
 
Ni watu wangapi wameuawa hapo palipotokea mauaji tokea huyo mtu auwawe?

Sasa kama siyo kwenye majimbo yote hizi habari za kwamba Marekani sasa hivi hali ni mbaya zinatoka wapi?

Yaani vifo vya watu wawili ndo vifanye hali kuwa mbaya nchi nzima?

Kwendeni zenu huko.

Tofauti za kimtazamo zisitumike kupotosha mambo.

Ni kawaida ya binadamu kulalamika hata pasipo na sababu. Ona Waislamu wa Tanzania wanavyolialia kuonewa kila siku.

Nani anayewaonea?
Aaahahahha umekimbilia kwa Waislam tena!
 
Kasome kuhusu devide and rule labda utaelewa kuwa hata wewe hauko salama.

Huko Rwanda mauaji ya kimbari yalikuwa baina ya Shia na Sunni?

Huko Afrika Kusini juzi juzi ilikuwa baina ya Shia na Sunni?

Huko US hivi sasa ni baina ya Shia na Sunni.
Mauwaji ya Kimbari yalikoma 1994
Xenophobic attack RSA ulikuwa upepo mbaya uliopita kwa week 1au2
Police brutality USA on blacks ni media ambazo znafanya over coverage
Hata hii ya police watano kuuwawa na sniper ni kitu cha kawaida sana kwenye akili yangu tofauti na wale watu 200 + innocent died on eve of Idd el fitr Baghdad .

Swali linabaki pale pale Dada F. Foxy unawasaidiaje nduguzo kule mashariki ya kati ili wapate kujitambua/kujielewa ??
 
This is grossly overstated!

Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.

Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
Wacha kuleta udada wewe. Nani anahitaji ya kuwa nchi fulani ili apate kujua kinachofanyika huko?
Unaandika utumbo bila kufikiri. Na hii ndio shida ya kuzalishwa ovyo bila kufuata uzazi wa Mpango.
Hebu kampikie baba Nyani kule hapa kina mama mtachafua uzi tu.
 
Habari ndo hiyo. Hali siyo mbaya hata kidogo.
Kampikie mumeo wewe. Nani kakuuliza? Kiherehere ka gazeti la udaku!!
Ovyo sana we mtoto. Ndo maana una mashavu ka pochi. Yoote hio ni kwa sababu ya umbea tu. We umeshakuw ctn siku hizi au?
Mnfnssssssssss.
 
Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.

Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.

Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.

Kulikoni?

Mtu mweusi kama mimi ni kiumbe wa mwisho kabisa kuthaminiwa na jamii yoyote ile pmj na ya kwetu wenyewe, hivyo kama sisi hatujithamini kwa nini wengine wafanye hivyo?

Hapa Bongo Muislamu akipata hela lazima aoe mmanga na hii ni kuanzia viongozi wetu Mwinyi, Bilali n. k. mpaka akina Diamond na Zito Kabwe isipokuwa Sheni tu ndiyo kabakia na Mama yetu mweusi ukija kwa wanaojiita Wakristo hivyo hivyo akiona Mzungu anafikiri ni baba yake!
 
Sasa hvi nipo Dallas mitaa ya Birchbrook Dr kuna Black Amerca mmoja kampiga mzungu kisu cha tumbo kwenye mgahawa!! Jamaa anaesema Marekani hamna tatizo pengine labla hayupo Marekani hii yenye ubanguzi wa rangi yupo Marekani nyingine watu huku wanauwawa kimya kimya!
 
Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.

Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.

Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.

Kulikoni?
Tuanze na hali ya Zanzibar kwanza kabla hatujafika huko Marekani.
 
Sasa hvi nipo Dallas mitaa ya Birchbrook Dr kuna Black Amerca mmoja kampiga mzungu kisu cha tumbo kwenye mgahawa!! Jamaa anaesema Marekani hamna tatizo pengine labla hayupo Marekani hii yenye ubanguzi wa rangi yupo Marekani nyingine watu huku wanauwawa kimya kimya!
Hatua gani za ki usalama zimechukuliwa mpaka sasa?
 
Muda muafaka kwa viongozi wa Africa kuwatangazia Raia wake kuwa Marekani sio sehemu salama kwa wanaotaka kwenda Na walioko huko warudi haraka .

Kama vipi wafunge hata balozi zao kwa muda.hadi hali atakapotengamaa.!
Hivi unaijua marekani au unawachukia tu?the strongest nation the biggest economy and the world leader inatosha kukufanya ujue they set the rules and runs the show world wide.
 
Kama Marekani hali ni nzuri hawa wamarekani wanafanyeje hapa angalia hii video clip.

Hali sio mbaya marekani nadhani umeona inaitwa protest tena ni watu wa rangi zote jamii yote hapa kinachofanyika ni wananchi wanataka power kubwa walionayo polisi kuuwa hovyo washtakiwe basi?ni kweli polisi wamezidi but hujaona vita kwenye nchi
 
Hali ya US kwa sasa inasikitisha sana.

Wanauwana kwa ubaguzi wa rangi tu.

Cha kushangaza wale wanaojidai kulalamika na kulaani sana inapotokea habari ya ufataani kuhusu mfanyakazi wa ndani kutokutendewa haki Dubai au Riadh leo wapo kimya kuhusu mauaji huko US.

Kulikoni?
sehemu zote hizo ni uonevu...mtu akinyamaza kuhusu US haimaanishi hayo ya Dubai ni sahihi...
 
Back
Top Bottom