Sisi hatulimitiani, tuko kwenye open relationship kwahiyo hilo swala dogo sana kwetu😅Hapo mnadanganyana tu huku kila mmoja wenu ana mpenzi wake mwingine,
Utakuta muda huu Seran kakumbatiwa na mubaba mwenye midevu kama Mpoki,halafu wewe upo kwemu huko Mwanjelwa ndani ndani unajiaminisha kua Seran ni wako wapekee.
Seran ni wangu pekee yangu just imagining juzi tu nilikua nae tumeinjoi sanaHapo mnadanganyana tu huku kila mmoja wenu ana mpenzi wake mwingine,
Utakuta muda huu Seran kakumbatiwa na mubaba mwenye midevu kama Mpoki,halafu wewe upo kwemu huko Mwanjelwa ndani ndani unajiaminisha kua Seran ni wako wapekee.
Naona unakula Ugali kwa picha ya Samaki.Seran ni wangu pekee yangu just imagining juzi tu nilikua nae tumeinjoi sana
Ujue sjawahi kupenda hivi mpaka nijiuliza umenipa nini da!😀Nakupenda sana babe💗
Nilimwambia ShesRise_1 anitafutie mwingine ila naona sijui kanisahau.Mwambie huyu kijana aliyeachika😆
hahana na tarehe 20 anakuja Tena nilipooNaona unakula Ugali kwa picha ya Samaki.
Inanikumbusha Yale mabango yaliyojaa Dar es Salaam kwenye nguzo za Umeme za waganga kutoka Rukwa, Bagamoo, Kigoma, Katavi na NigeriaHii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazoView attachment 3651008
Limbwata! 🤸🏽♂️Ujue sjawahi kupenda hivi mpaka nijiuliza umenipa nini da!😀
kumbe kaachika eh😀 basi ndio maana kila akiona tuko pamoja ananisagia kunguni.Mwambie huyu kijana aliyeachika😆
Ana makasiriko mzoee tu huyo babes😁kumbe kaachika eh😀 basi ndio maana kila akina tuko pamoja ananisagia kunguni.
mara aniite fundi cherehan 😂😂😂
AiseeHii jamii ni ya kutenga kabisa na wakristo, inachafua ukristo na kuonekane kama hamnazoView attachment 3651008
Kunya anye kuku, akinya bata ameharishaHao wengine wanahusiana vipi na mada?
naomba ulikoleze kisawasawa yani niwe kipofu,bubu na kiziwi 😀Limbwata! 🤸🏽♂️
Ngoja nifanye jambo sasa hivi uniote kabisa leo😆naomba ulikoleze kisawasawa yani niwe kipofu,bubu na kiziwi 😀