Siku 180 za “NoFAP” Challenge. Vitu vikubwa na mhimu nilivyojifunza

FORTUNE JR

Member
Mar 20, 2021
69
336
Wakuu, Habarini?
Mimi ni mdau zaidi wa kusoma Nyuzi hapa JF kuliko kuandika Nyuzi.
Lakini leo nimeona na mimi warau nivunje Ukimya, nipate kushuhudia jinsi Forum hii imenifungulia mlango mwingine wa Maisha

Wakuu ni hivi
NoFAP kwa kihaya ni "Certain days challenge of abstinence from porn, masturbation, and orgasms”
Kwa Tafsili nyepesi ni kitendo cha kujiweka mbali na kutoshiriki kabisa na Kujichua(Punyeto), kufanya Ngono, kuangalia Picha na video za Ngono.

Wakuu nimetumia neno ngono, Achana na yale Mapenzi ya wanandoa yaliyopewa kibari na Mungu mwenyewe.
Hapo nimetoa Faida kwa wasiojua maana halisi ya NoFAP challenge.

Binafsi leo nimefanya Hafla fupi ya kujipongeza baada ya kufikia Kilele cha Siku 180 cha NoFAP challenge. Nimealika Ndugu, Jamaa na Marafiki , Tushiriki Karamu hii.
Ingawa sijaweka wazi kwao maana halisi ya tukio hili, Nimewazuga tu nataka kudumisha umoja wetu.

Ni hivi, ili tukio kwangu lina maana kubwa sana, Baada ya kuburuzwa na Utumwa uliokithiri na uliokubuhu wa PUNYETO, Kwa Takribani miaka 12, kama yule Mwanamke aliyetokwa na Damu kwa miaka 12 kwenye biblia.
Zaidi ya yote si Punyeto tu bali Utumwa wa Tamaa za ngono , na kununua Dada Poa. Nimehudhuria sana Riverside na kila nikienda kwenye mkoa mpya lazima nipeleleze ili kujua machimbo ya Dadapoa.
Mimi ni nani? nisifanye Taflija Fupi ya kujipongeza na Kumshukuru Mungu kwa kuzaliwa Upya na kujifunza ku Control mwili wangu.

Wakuu Huwenda wewe unaesoma Nyuzi hii mda huu,
👉 upo kama nilivyokua Mimi.
👉Unateswa na izo addiction lakini sio kiwango nilichofikia mimi
👉Unazidi kusota na ushasota zaidi Yangu.
Na pengine Kuna mwingine hizo changamoto kwake hazipo na ni habari tu za kusadikika, Lakini naomba ambatana nami kuna mambo au hata jambo moja tu unawezang’amua likasaidia katika addiction yako nyingine tofauti na hii, Naamini kila mtu kuna Point shetani kamkamata anambuluza.

HALI YANGU YA MIAKA 12 NDANI PUNYETO
Nikiwa Form 2 , kwenye Shule moja ya Boarding Kuna Zile tabia za kumiliki simu kimagendo. Kuna jamaa angu alikua na smartphone, hivo majira ya usiku tulienda kwake kuangalia porno , uyo jamaa alikuanazo nyingi sana

Taswila za zile video za ngono zilitawa sana fikra Zangu na kupelekea kuleta Disire za ngono kila wakati. Lakini kwakipindi icho sijui hata punyeto ni nini.
Kuna jamaa mmoja tulikua tunaangalia nae Porno. Nilimsikia anasema “ Itabidi niache kuangalia Hizi video, puri itaniua mimi”. Nilivunga siku kadhaa, ila nilibaki kujiuliza binafsi puli ni nini?
Adi kuna siku ikabidi nimuulize, jamaa akanielekeza uo ushetani😒.

Na naomba ikumbukwe huyu mwamba aliyenifunza hii kitu, Alifariki Mwakajana kwa Kujinyonga kwa skendo za kusalitiwa na pisi yake moja alikua anaipenda kweli kweli. Na za chini zaidi inasemekana mwana alisalitiwa kwa kuwa na show mbovu.

Mnaweza kuona jinsi gani shetani anatumia upenyo mdogo kuathiri mambo makubwa zaidi😒.
Anyway niludi kwangu.
Siku moja tumetoka kuangalia porno kwenye Room ya mshikaji, nikaingia bafuni kuoga. Yale mapicha bado yako nayaona kwenye fahamu zangu za akili, na yule jamaa ambaye sasa ni marehemu ashanipa maelekezo kuhusiana na Puli.
Ndani ya Nafsi yangu nasukumwa na sauti ikinambia jaribu na wewe.
Hio ndo ilikua siku ya kwanza kupiga Punyeto( Faken Day, Faken Day, I say It was Faken Day 😣😖😣). Utumwa wa Punyeto na lust ndo ulipofunguliwa milango.
kikawa ni kitendo endelevu karibu kila siku, Kukaa 1 week bila Porno na Punyeto ilikuwa ni mtihani nisio uweza kabisa.

Apa naomba niwapeleke kidogo kwenye Vitabu vya Dini. Hususani kwa ndugu zangu Wakristo, biblia katika kitabu cha Mathayo 6:22 inasema

“Macho yenu ni Taa ya mwili, hivo macho yenu Yakitawaliwa na Nuru basi mwili mzima huwa na Nuru bali Macho yenu yakitawaliwa na Giza basi mwili mzima unakua na Giza”

Hivo kwakua Macho yangu yaliona vitu vya Giza , mwili mzima uliendeshwa kigiza

Naweza kuelewa sasa baada ya kusoma machapisho, Videos za mafunzo na maandiko mbalimbali inadaiwa kwamba Ki tafiti, Asilimia 87 adi 94 ya wanaume kati ya miaka 16 ad 35 Wanapiga punyeto.

Ni ivi wakuu, Unapoangalia Porno popote pale kuna pepo linaitwa Asmodeus lina ku arrest. Na mbaya zaidi umejipeleka mwenyewe “by your willingness” hivyo kutoka huwa sio vyepesi . Yani wewe ndo umeenda kwenye ufalme wa giza na umetekwa.

Anyway naomba nisema Vitu vikubwa ambavyo nimeona na kujifunza katika miaka 12 ambavyo vilinipelekea niingie kwenye NoFAP na kutamani kabisa kutoka kwenye huo utumwa
1. 100% naamini, Mimi wa leo, ni tofauti na Mimi ambae nisingewahi Thubutu kuingia kwenye huu utumwa. ( Kimaisha).
👉Baada ya Punyeto Automatic kuna uchovu unaupata. Umepanga kuamka saa 11 Alfajili lakini unajikuta unaamka saa 2 Asubuhi.

👉 Kuna Focus fulani unapoteza ukiwa mnyetukaji. Unapatwa na uvivu wa mwili hadi uvivu wa kushughulisha akili yako.
👉 Nilijikuta nakua Mtu wa kujitenga sana na watu. Yani sitaki kukaa kwenye kundi ( I just need my own space). kabla nilikua mchangamfu sana
👉Nilipoteza Confidence. Kadiri navyozidi kukua hata Kujiamini kukapungua, Hata kufikisha hisia zangu kwa Mwanamke ikawa changamoto.
👉 kujihukumu( Gilts inside me).

N.B. Hivyo vyote naamini vilinibadilisha sana. Nilishuka kitaalamu pia juu ya kushindwa kufanya vitu kwa wakati.

Wakuu ili kufanya mambo yasiwe Mengi, ili tufike lengo, kuna issue nyingine nyingi zilizonisibu,
👉kulegea kwa Uume na kushindwa kumfikisha Mwanamke kileleni pindi nikiwa nae kwenye Tendo.
Kuna pisi Yangu Nikiwa chuo mwaka wa 2 , alikuwa bikra na nilidumu nae kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6, sikuweza kumtoa bikra hadi tunaachana, kwasababu nilikua na Uume regevu sana. 😒
Kifupi nikawa mtu wa Dada poa kwasababu, Mwoga kutongoza na pisi nyingine nikitoka nae basi ujue, katoa green lights zote yaani nimepata pasi ndani ya boksi na kipa kahama golini.
👉. Kitaalama na kisayansi wengi wanalipinga. Ila amini kwamba Punyeto inadumaza Maumbile, inapunguza Size ya Uume. ( kuna Ka Research nimepiga, ningekuja na Facts sema Mambo ni mengi na mda mchache)

NoFAP CHALLENGE

Hili zoezi nimefanya mara nyingi sana, na mara nyingi nimeshindwa. Yani wiki 1 au 2 narudi tena chamani. Nilishawahi jitahidi kipindi Furani 21 days Challenge, lakini nililudi tena Chamani.

Wakuu ni ivi niwarejeshe mwanzo , nilisema kwenye kuangalia Porno kuna pepo linaitwa Asmodeus. Na Labda nikufikilishe kitu. Pornographers wanajua kitu wanafanya, ile huwa ni Ibada ya kishetani na kipepo. Ni ngumu sana mtu kuji expose akifanya ngono mbele ya Haraiki, kifupi Pornographers wengi wapo possessed na Falme za kishetani.

kwaio pindi unapokua unaangalia unafanya Ibada usiyoijua na ndo maana sometimes hata watu wadini wamekwama kwenye hili jangwa, hata wajiombee vipi bado watakaa kwa mda furani lakini wataludi because you are dealing with power/Spirit wich is very Serious. Na wewe ndo ulijipeleka kwenye falme ya Giza

Wakuu kuna baadhi ya nyuzi , nilishawahi kuzipitia humu watu wakiomba msaada kujinasua katika hii issue. Na moja ya mapendekezo ya wengi ni;
👉Mazoezi
👉Jichanganye
👉Ji keep busy
👉Tafuta Mwanamke atakaekua karibu na wewe akukidhia haja zako pindi unapohitaji au oa.

Challenges zangu za mwanzo nyingi zilifeli sijawahi toboa 21days and above kwa Misingi hiyo.
Kuwa na mwanamke karibu au kuoa huenda ikasaidia lakini naamini Kuna watu wako kwenye ndoa na bado wako chamani. Mwanaume analihitaji tendo zaidi kuliko Mwanamke.
Kuna Dingi mmoja, mtu wa heshima ana watoto na mke, siku moja kaomba nim downloadie App ya ku download videos kwenye simu yake. Ile nafungua browser tu naandika video Aseeeee hizo history 🙌🙌🙌

Wakuu ninachojaribu kusema. Hii issue huwa ni very serious, Lazima ujue mzizi wa Tatizo.

Binafsi kuzivuka 180 days niliamini bila Mungu siwezi. Mwanzoni nilipata shida kiasi. Nilitenga siku 2 kwa wiki kama siku za mfungo na siku zilizobaki niliongeza maombi kuliko nilivyoomba siku za nyuma.

Hili sio tu nililifanya kwaajili ya kujitoa kwenye addiction yangu, bali pia nilitumia pia katika kujenga Mahusiano yangu na Mungu.

Kila Jumanne na Jumamosi zilikua ni siku zangu za kuunyima mwili maji na Chakula. Na niliweka nadhiri moyoni mwangu kama Kupitia Mungu 180 days challenge lazima nitimize. Hivi vingine nilivifanya kama extra
👉Mazoezi Daily ( isipokua Jumanne na Jumamosi)
👉 Nili delete Social media zote. FB, X, Inster, TikTok. Nikabaki na Whatsup na JF
👉 kuna Ndugu yangu aliniletea Asali OG kutoka mkoani Njombe , kwenye lita 5, ukimimina haimwagiki , achana na Asali za mchongo zinamwagika kama maji.
Na pia maji ya Tangawizi na limao Daily, baada ya kutoka mazoezi.
👉Nilianza kuji keep busy na kazi. Ule mda niliokua napoteza na simu nikawa natumia kujifunza Ku design, michongo mizima ya Adobe mbalimbali.
Nikichoka nacheza game kidogo au Mziki kidogo 😋.
Nalala saa 4 kamili usiku. Naamka saa 11:40 Alfajili. Saa 11:40 ad 12:30 maombi. Then naenda kazini.
👉 Katika kipindi cha hii Challenge Mungu kanisaidia nimepata na Kazi 😋
👉 Improvements ni kubwa sana hata kwenye mwili, Daily nikiamka nakuta Uume umesimama kama msumari, Mishipa nje nje 🤭. Na sio kama na disire za ngono walaaa, Automatic tu
👉. Issue ya punyeto hivi sasa hainiingii akilini kabisa yani kabisaaaa ,
👉Nikikumbuka kama nilikua nanunua Dadapoa ndo napata kichefu chefu kabisa 😖😖. Yani nilikua sina kinyaa asee.
👉Sasaivi Confidence na kujiamini kumekuwa kwa kiasi kikubwa sana .
👉 Nimepata Mchumba Mzuri, Mcha Mungu, Usiku mda wa kulala ukifika ananipigia Simu Tunasoma neno ,Tunasali pamoja tunalala, hanipi stress, Mshauri, Msaidizi, Anavaa kwa Adabu😋😋

Wakuu nashindwa kueleza kiurefu na upana vile NoFAP challenge, imenifungulia maisha mapya . Mungu mkubwa sana ndugu zangu kuliko Mnavyofikiri.
 
Best thing on internet today.. keep it up Amigo
 
Zuzu wewe
 
Hio mileage ya 180 bado sana inabidi isome 10 Million days labda ndio uanze kujipongeza ila kuacha punyenga ni Jambo lingine hio baba huachi unapumzika TU kwa muda baada ya hapo show show anaekwambia ooh nimeacha kupiga base gitaa basi atakua amehamia gitaa la solo Ila kuacha kupiga gitaa hajaacha

Unanielewa vizuri Bodea?
 
Screenshot_20240311-003804.png
 
Wakuu, Habarini?
Mimi ni mdau zaidi wa kusoma Nyuzi hapa JF kuliko kuandika Nyuzi.
Lakini leo nimeona na mimi warau nivunje Ukimya, nipate kushuhudia jinsi Forum hii imenifungulia mlango mwingine wa Maisha

Wakuu ni hivi
NoFAP kwa kihaya ni "Certain days challenge of abstinence from porn, masturbation, and orgasms”
Kwa Tafsili nyepesi ni kitendo cha kujiweka mbali na kutoshiriki kabisa na Kujichua(Punyeto), kufanya Ngono, kuangalia Picha na video za Ngono.

Wakuu nimetumia neno ngono, Achana na yale Mapenzi ya wanandoa yaliyopewa kibari na Mungu mwenyewe.
Hapo nimetoa Faida kwa wasiojua maana halisi ya NoFAP challenge.

Binafsi leo nimefanya Hafla fupi ya kujipongeza baada ya kufikia Kilele cha Siku 180 cha NoFAP challenge. Nimealika Ndugu, Jamaa na Marafiki , Tushiriki Karamu hii.
Ingawa sijaweka wazi kwao maana halisi ya tukio hili, Nimewazuga tu nataka kudumisha umoja wetu.

Ni hivi, ili tukio kwangu lina maana kubwa sana, Baada ya kuburuzwa na Utumwa uliokithiri na uliokubuhu wa PUNYETO, Kwa Takribani miaka 12, kama yule Mwanamke aliyetokwa na Damu kwa miaka 12 kwenye biblia.
Zaidi ya yote si Punyeto tu bali Utumwa wa Tamaa za ngono , na kununua Dada Poa. Nimehudhuria sana Riverside na kila nikienda kwenye mkoa mpya lazima nipeleleze ili kujua machimbo ya Dadapoa.
Mimi ni nani? nisifanye Taflija Fupi ya kujipongeza na Kumshukuru Mungu kwa kuzaliwa Upya na kujifunza ku Control mwili wangu.

Wakuu Huwenda wewe unaesoma Nyuzi hii mda huu,
upo kama nilivyokua Mimi.
Unateswa na izo addiction lakini sio kiwango nilichofikia mimi
Unazidi kusota na ushasota zaidi Yangu.
Na pengine Kuna mwingine hizo changamoto kwake hazipo na ni habari tu za kusadikika, Lakini naomba ambatana nami kuna mambo au hata jambo moja tu unawezang’amua likasaidia katika addiction yako nyingine tofauti na hii, Naamini kila mtu kuna Point shetani kamkamata anambuluza.

HALI YANGU YA MIAKA 12 NDANI PUNYETO
Nikiwa Form 2 , kwenye Shule moja ya Boarding Kuna Zile tabia za kumiliki simu kimagendo. Kuna jamaa angu alikua na smartphone, hivo majira ya usiku tulienda kwake kuangalia porno , uyo jamaa alikuanazo nyingi sana

Taswila za zile video za ngono zilitawa sana fikra Zangu na kupelekea kuleta Disire za ngono kila wakati. Lakini kwakipindi icho sijui hata punyeto ni nini.
Kuna jamaa mmoja tulikua tunaangalia nae Porno. Nilimsikia anasema “ Itabidi niache kuangalia Hizi video, puri itaniua mimi”. Nilivunga siku kadhaa, ila nilibaki kujiuliza binafsi puli ni nini?
Adi kuna siku ikabidi nimuulize, jamaa akanielekeza uo ushetani.

Na naomba ikumbukwe huyu mwamba aliyenifunza hii kitu, Alifariki Mwakajana kwa Kujinyonga kwa skendo za kusalitiwa na pisi yake moja alikua anaipenda kweli kweli. Na za chini zaidi inasemekana mwana alisalitiwa kwa kuwa na show mbovu.

Mnaweza kuona jinsi gani shetani anatumia upenyo mdogo kuathiri mambo makubwa zaidi.
Anyway niludi kwangu.
Siku moja tumetoka kuangalia porno kwenye Room ya mshikaji, nikaingia bafuni kuoga. Yale mapicha bado yako nayaona kwenye fahamu zangu za akili, na yule jamaa ambaye sasa ni marehemu ashanipa maelekezo kuhusiana na Puli.
Ndani ya Nafsi yangu nasukumwa na sauti ikinambia jaribu na wewe.
Hio ndo ilikua siku ya kwanza kupiga Punyeto( Faken Day, Faken Day, I say It was Faken Day ). Utumwa wa Punyeto na lust ndo ulipofunguliwa milango.
kikawa ni kitendo endelevu karibu kila siku, Kukaa 1 week bila Porno na Punyeto ilikuwa ni mtihani nisio uweza kabisa.

Apa naomba niwapeleke kidogo kwenye Vitabu vya Dini. Hususani kwa ndugu zangu Wakristo, biblia katika kitabu cha Mathayo 6:22 inasema

“Macho yenu ni Taa ya mwili, hivo macho yenu Yakitawaliwa na Nuru basi mwili mzima huwa na Nuru bali Macho yenu yakitawaliwa na Giza basi mwili mzima unakua na Giza”

Hivo kwakua Macho yangu yaliona vitu vya Giza , mwili mzima uliendeshwa kigiza

Naweza kuelewa sasa baada ya kusoma machapisho, Videos za mafunzo na maandiko mbalimbali inadaiwa kwamba Ki tafiti, Asilimia 87 adi 94 ya wanaume kati ya miaka 16 ad 35 Wanapiga punyeto.

Ni ivi wakuu, Unapoangalia Porno popote pale kuna pepo linaitwa Asmodeus lina ku arrest. Na mbaya zaidi umejipeleka mwenyewe “by your willingness” hivyo kutoka huwa sio vyepesi . Yani wewe ndo umeenda kwenye ufalme wa giza na umetekwa.

Anyway naomba nisema Vitu vikubwa ambavyo nimeona na kujifunza katika miaka 12 ambavyo vilinipelekea niingie kwenye NoFAP na kutamani kabisa kutoka kwenye huo utumwa
1. 100% naamini, Mimi wa leo, ni tofauti na Mimi ambae nisingewahi Thubutu kuingia kwenye huu utumwa. ( Kimaisha).
Baada ya Punyeto Automatic kuna uchovu unaupata. Umepanga kuamka saa 11 Alfajili lakini unajikuta unaamka saa 2 Asubuhi.

Kuna Focus fulani unapoteza ukiwa mnyetukaji. Unapatwa na uvivu wa mwili hadi uvivu wa kushughulisha akili yako.
Nilijikuta nakua Mtu wa kujitenga sana na watu. Yani sitaki kukaa kwenye kundi ( I just need my own space). kabla nilikua mchangamfu sana
Nilipoteza Confidence. Kadiri navyozidi kukua hata Kujiamini kukapungua, Hata kufikisha hisia zangu kwa Mwanamke ikawa changamoto.
kujihukumu( Gilts inside me).

N.B. Hivyo vyote naamini vilinibadilisha sana. Nilishuka kitaalamu pia juu ya kushindwa kufanya vitu kwa wakati.

Wakuu ili kufanya mambo yasiwe Mengi, ili tufike lengo, kuna issue nyingine nyingi zilizonisibu,
kulegea kwa Uume na kushindwa kumfikisha Mwanamke kileleni pindi nikiwa nae kwenye Tendo.
Kuna pisi Yangu Nikiwa chuo mwaka wa 2 , alikuwa bikra na nilidumu nae kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6, sikuweza kumtoa bikra hadi tunaachana, kwasababu nilikua na Uume regevu sana.
Kifupi nikawa mtu wa Dada poa kwasababu, Mwoga kutongoza na pisi nyingine nikitoka nae basi ujue, katoa green lights zote yaani nimepata pasi ndani ya boksi na kipa kahama golini.
. Kitaalama na kisayansi wengi wanalipinga. Ila amini kwamba Punyeto inadumaza Maumbile, inapunguza Size ya Uume. ( kuna Ka Research nimepiga, ningekuja na Facts sema Mambo ni mengi na mda mchache)

NoFAP CHALLENGE

Hili zoezi nimefanya mara nyingi sana, na mara nyingi nimeshindwa. Yani wiki 1 au 2 narudi tena chamani. Nilishawahi jitahidi kipindi Furani 21 days Challenge, lakini nililudi tena Chamani.

Wakuu ni ivi niwarejeshe mwanzo , nilisema kwenye kuangalia Porno kuna pepo linaitwa Asmodeus. Na Labda nikufikilishe kitu. Pornographers wanajua kitu wanafanya, ile huwa ni Ibada ya kishetani na kipepo. Ni ngumu sana mtu kuji expose akifanya ngono mbele ya Haraiki, kifupi Pornographers wengi wapo possessed na Falme za kishetani.

kwaio pindi unapokua unaangalia unafanya Ibada usiyoijua na ndo maana sometimes hata watu wadini wamekwama kwenye hili jangwa, hata wajiombee vipi bado watakaa kwa mda furani lakini wataludi because you are dealing with power/Spirit wich is very Serious. Na wewe ndo ulijipeleka kwenye falme ya Giza

Wakuu kuna baadhi ya nyuzi , nilishawahi kuzipitia humu watu wakiomba msaada kujinasua katika hii issue. Na moja ya mapendekezo ya wengi ni;
Mazoezi
Jichanganye
Ji keep busy
Tafuta Mwanamke atakaekua karibu na wewe akukidhia haja zako pindi unapohitaji au oa.

Challenges zangu za mwanzo nyingi zilifeli sijawahi toboa 21days and above kwa Misingi hiyo.
Kuwa na mwanamke karibu au kuoa huenda ikasaidia lakini naamini Kuna watu wako kwenye ndoa na bado wako chamani. Mwanaume analihitaji tendo zaidi kuliko Mwanamke.
Kuna Dingi mmoja, mtu wa heshima ana watoto na mke, siku moja kaomba nim downloadie App ya ku download videos kwenye simu yake. Ile nafungua browser tu naandika video Aseeeee hizo history

Wakuu ninachojaribu kusema. Hii issue huwa ni very serious, Lazima ujue mzizi wa Tatizo.

Binafsi kuzivuka 180 days niliamini bila Mungu siwezi. Mwanzoni nilipata shida kiasi. Nilitenga siku 2 kwa wiki kama siku za mfungo na siku zilizobaki niliongeza maombi kuliko nilivyoomba siku za nyuma.

Hili sio tu nililifanya kwaajili ya kujitoa kwenye addiction yangu, bali pia nilitumia pia katika kujenga Mahusiano yangu na Mungu.

Kila Jumanne na Jumamosi zilikua ni siku zangu za kuunyima mwili maji na Chakula. Na niliweka nadhiri moyoni mwangu kama Kupitia Mungu 180 days challenge lazima nitimize. Hivi vingine nilivifanya kama extra
Mazoezi Daily ( isipokua Jumanne na Jumamosi)
Nili delete Social media zote. FB, X, Inster, TikTok. Nikabaki na Whatsup na JF
kuna Ndugu yangu aliniletea Asali OG kutoka mkoani Njombe , kwenye lita 5, ukimimina haimwagiki , achana na Asali za mchongo zinamwagika kama maji.
Na pia maji ya Tangawizi na limao Daily, baada ya kutoka mazoezi.
Nilianza kuji keep busy na kazi. Ule mda niliokua napoteza na simu nikawa natumia kujifunza Ku design, michongo mizima ya Adobe mbalimbali.
Nikichoka nacheza game kidogo au Mziki kidogo .
Nalala saa 4 kamili usiku. Naamka saa 11:40 Alfajili. Saa 11:40 ad 12:30 maombi. Then naenda kazini.
Katika kipindi cha hii Challenge Mungu kanisaidia nimepata na Kazi
Improvements ni kubwa sana hata kwenye mwili, Daily nikiamka nakuta Uume umesimama kama msumari, Mishipa nje nje . Na sio kama na disire za ngono walaaa, Automatic tu
. Issue ya punyeto hivi sasa hainiingii akilini kabisa yani kabisaaaa ,
Nikikumbuka kama nilikua nanunua Dadapoa ndo napata kichefu chefu kabisa . Yani nilikua sina kinyaa asee.
Sasaivi Confidence na kujiamini kumekuwa kwa kiasi kikubwa sana .
Nimepata Mchumba Mzuri, Mcha Mungu, Usiku mda wa kulala ukifika ananipigia Simu Tunasoma neno ,Tunasali pamoja tunalala, hanipi stress, Mshauri, Msaidizi, Anavaa kwa Adabu

Wakuu nashindwa kueleza kiurefu na upana vile NoFAP challenge, imenifungulia maisha mapya . Mungu mkubwa sana ndugu zangu kuliko Mnavyofikiri.
Hivi mnawezaje kuwa single?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom