Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.

Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.

Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.

Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?
Ila mabint wa vyuo wamekua malaya sana
 
Ukikaona mliman pale samaki samaki unajua umeopoa kifaa kumbe chupa ya mirinda imedumbukia kisimani mwake

Hakuna kosa lisilosameheka katoto Bado kazuri halafu chupa haikuingia yote acheni porojo.mbona wale baikoko walikua wanakalia chupa za bia mmesahau? naombeni haka katoto Kama kakifukuzwa kwao
😋😋😋ni kweli bro chupa ilikua inashindwa kabisa kuingia, maana ake mtoto hajatumika sna huyu
 
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.

Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.

Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.

Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?
Mmeanza kumtetea ili aonekane hana hatia , kampeni hizi siziungi mkono. Vijana wengi maadili hawana na ujuaji ni mwingi.Sheria ichukue mkondo wake kama ili desturi yake.Sina shaka alikuwa na Nia ya kuisambaza kwani ni muda umefika ndo maana tumeiona.Wakati ndo hakimu wa kweli, alikusudia kwani pia anaonekana alijirekodi huku akiwa na furaha Tele
 
Kuna mtu anaitaka ......

Moton twende wote:
FB_IMG_1640711596229.jpg
 
Alafu utakuta akipata bwana baba ake anataka alipwe milioni saba za mahari!
Milioni Saba kwa mtu anayejitia chupa kund*ni yake hadharani? Je hizo ambazo hajasambaza zitakua namna gani?
Beatrice Kamugisha huwa naheshimu Sana maoni yako lkn sio katika hili ambalo mtu mzima above 18 anajifanya vitu unthinkable halafu anatumia watu wewe unamtetea.
Labda hujaona hizo clip zake ndio maana wamtetea.
Ukiziona utakua mwisho wako wa kunywa soda Kama Mimi.
 
WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA....

KIZAZI CHA NYOKA KAZI KWELIKWELI

MSITAFUTE HURUMA KWA JAMII KWA KUWA WAKATI ANARECORD HUO UPUUZI WAKE ALIKUWA ANAJUA KABISAA OUTCOME YAKE KUWA KUNA KUVUJA.... ALISHINDWA KUJUA KUWA SIKU HIZI TEKNOLOJIA MAMBO NJENJE UKITOA BOKO UNAAIBIKA KAMA HIVYO? AMEVUNA ALICHOPANDA...

Mara ngapi wanaambiwa acheni kujirecord kwa kurubuniwa kuwa mtapewa hela hawasikii? hili sio tukio la kwanza kutokea kama hivi na anafahamu kabisa tena ni msomi wa chuo kikuu... anyways sijui nataka kusemaje zaidi ila Mungu amsamehe..
 
Back
Top Bottom