Waliompiga picha na kuzisambaza binti anayehusishwa na chupa ya soda wanafaa kuchukuliwa hatua

Yupi Bora Yule aliyejiingiza chupa bure na yule aliyejiingiza chupa kwa kuahidiwa pesa?
Hakuna cha kuwalaumu hao jamaa waliomtapeli wala nini kama na wao wenyewe wameamua wamtapeli wewe ni nani mpaka uwakataze? Ni lifestyle yao wamejichagulia na pengine isingekuwa upumbavu na tamaa za binti basi yasingemkuta haya
 
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.

Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.

Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.

Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?
Hayo mambo kipindi cha awamu ya 5 ndio yalianza, na watu walipiga sana kelele lakini walionekana hawana maana tena bora hata huyo ni picha lakini yule RPC, wa dodoma, mroto yeye alikuwa anawaonyesha kabisa kwenye taarifa ya habari!!japo kwa sasa naona kama limeisha baada ya igp kulikemea.
 
Yupi Bora Yule aliyejiingiza chupa bure na yule aliyejiingiza chupa kwa kuahidiwa pesa?
Hakuna bora hapo wote ni wangese tu..vagina imeumbwa kuingizwa penis tu na sio kingine hakuna uhalalishaji wa kuingiza chupa uwe umehaidiwa pesa au bure..
 
Kwa maoni yako upo SAHIHI.
Mimi yuo angekuwa mtoto wa kiume ndo ningemlaumu

Yes hizi tabia sio za kuzitetea na kufumbia macho maana tutalea kizazi ambacho watoto wetu wa kiume watakosa kabisa wake sahihi wa kuishi nao na ndoa zitakuwa hazina amani imagine unamuoa mtu then bila chupa haridhiki na hapohapo ni mwepesi kurubuniwa na pesa my God!!
 
Kwa me ambaye sijui chochote ,hebu eleza kuwa ilikuwa hivi na hivi,kwamba alijipiga picha akiwa kaingiza chupa sehemu fulan na kusambaza na alipokamatwa na polisi na hao polisi walifanyia hivi na kusambaza ,dadavua basi
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.

Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.

Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.

Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?
 
Kuna mtu alimdanganya atampa milioni 3.baada ya hapo aliporekodi akamtumia Yule jamaa.yule jamaa hakumpa hyo hela akawatumia hyo video marafiki zake huku bongo.wale marafiki zake wakamfuata huyo dada na kumwambia Wana video yake awape laki 6 wasivujishe akawapa alafu jamaa wanamuomba na MZIGO wakala na bado wakavujisha.
Hauoni Kama NI utapeli huo kafanyiwa?
hapa hamna kudanganywa wala nini yeye ni mjinga kama wajinga wengine na acha ajifunze kwa somo alolichagua, kiufupi mtu mzima ka yeye hawezi danganywaa maana mtu mzima anauwezo wa kuchanganua jambo. yeye ni malaya kama malaya wengine tuu wanaojiuza sehemu tunazozifahamu. mtu ushaona madhara ya picha za ngono za kina Ruty bado nawe unajirekodi na unaanza mwenyewe kusambaza video ilihati TCRA wenyewe wanasema usisambaze picha ka hizo pia futa.
Sasa kama yeye ndo amekuwa mtu wa kwanza kuituma picha yake ya ngono na yeye ndo mtu aliejipiga hiyo picha utamchukulia ni mtu wa namna ganiii? kiufupi yeye ni malata kama malaya wengine
 
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.

Lakini jambo la pili huyu mtoto ni mhanga wa ukatili unaofanywa na wanaume na watu wenye fedha, badala tutafute waliomrubuni tunakwenda kumdhalilisha na kumwaribia future yake. Hii siyo kazi ya Serikali. Mhanga wa matukio ya kialifu analindwa Duniani kote, udhalilishaji wa mtuhumiwa ni kinyume kabisa na Haki za binadamu.

Tulitegemea Jeshi liwe mfano wa kukemea picha zisizofaa wao ndio wanasambaza. Matokeo yake watoto wengi ambao wajapevuka kama alivyo mtuhumiwa wanaweza kutafuta umaarufu kwa kufanya matendo haya nakutegemea dola isambaze taarifa zao wafahamike Duniani.

Sijawahi kuona polisi Zanzibar wakipiga picha watu wanaotuhumiwa kuishi kinyume na maadili na kuzisambaza, aaskari bara mnafundishwa wapi ukatili na ya policing?Wapi nafasi ya dawati la jinsia?
kitendo kibaya nikipi mkuu ukilinganisha ? picha kavaa nguo na video aliye uchii?
sametime tuache unafki yan alichokifanya tunaona ka si kosa ila picha alizovaa nguo ndo kosa zaidi acha ule unafki wa kula ngurue ni kosa kubwa ila kuzini si kosa.
 
Back
Top Bottom