Waliojitokeza kuwania tuzo ya uimbaji bora

Waliojitokeza kuwania tuzo ya uimbaji bora

sasa ndugu kumbe ni hilo tu tatizo dogo sana hilo basi nitakuweka kwenye mtunzi bora ushindanishwe kule au hapo napo nimekosea tena bestito?
sasa producer utamshindanishaje..na underground...
 
yaani shairi bomba sana ngoja nimwite jaji aanze kazi ya kuuchakachua huu wimbo wako haya njoo jaji mdogo Asprin ufanye kazi hapa
mie najitoa sitaki kushiriki shindano..
na huu ndio wangu msimamo... ladyfurahia najua utalia...lkn vumilia...
kuelekea mwezi wa toba basi tuanze kuomba
najitoa maana najikubali..kwa hiki kipaji...
hapo bado cjapanda kwenye jukwaa..nyota ishang'aaa
naona wengine wapinza..wanabung'aaaaa

cc Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:
kumbe ni vijimambo tu nilitaka kupitisha mkasi wa salama jabir hapa si unajua tena mwl akiwa katika munkar la kuwafundisha wanafunzi halafu mwanafunzi anaanza kuleta nyodo huwaga hambembelezi atachukua mpini mwingine halafu safari inaanza tena hupya
Bado yupo si unajua mbwembwe za washindani wetu tu!!!!!!
 
QUOTE=Heaven on earth;6702761]umenichanganya na hiyo avatar yako best[/QUOTE]

nimeanza kutubu mwenzio na namuomba Allah nsirudi kwenye maovu
 
sasa Bujibuji unaangalia bila kutoa songi lako hapa lifanyiwe kazi au washangaa nini tena?
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe ladyfurahia mbona simuoni my wife wangu mulisti? Hujui kuwa bila yeye sitaweza kuperform siku hiyo!?au unatafuta kunigombanisha nae...
 
Last edited by a moderator:
kumbe madoidoi
kumbe madikodiko
kumbe hujiamini
ungejua ungejua,
una wasiwasi kupita kiasi kinakuzingua
hili shairi limfikie Kipaji Halisi
 
Last edited by a moderator:
watu waanze kunipigia kura CCF 01. Hao majaji watakavyo nichagua watu watadhani nimewahonga coz nina uhakika wa kupata kura mia kwa mia. mi nasubiri siku ifike. mia
 
Back
Top Bottom