ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
nimejitoaaaaaaaaaaaaaaa...bila sababu
:a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20::a s 20:
please dont let my ladyfurahia down bana....
si unaona amekuweka katika list
na wewe umeona,nilidhani ni mie tu!!!!!!!!!
umeshanipata best usijali kama uko serious na uko tayari ntakuja kufundisha kwaya yenu huko na hizo nyimbo mbona hujaweka mashairi yake hapa chini ili majaji wafanye kazi yao hapa weka maneno ya hizo nyimbo hasa mmojawapo ili majaji wafanye kazi yao ya kuupendekeza wimbo bora kwani wako wanaangalia mnavyojituma hapa best
mie najitoa sitaki kushiriki shindano..
na huu ndio wangu msimamo... ladyfurahia najua utalia...lkn vumilia...
kuelekea mwezi wa toba basi tuanze kuomba
najitoa maana najikubali..kwa hiki kipaji...
hapo bado cjapanda kwenye jukwaa..nyota ishang'aaa
naona wengine wapinza..wanabung'aaaaa
cc Heaven on earth
unakaribishwa best kushiriki hii kitu ila mwezi si unaanza tarehe 7
hahahahahaha..16 bars au 8 bars...?kwa mbaali naona kuna vina..
..tafadhali mie najitoa..kwa sababu zilizo ndani ya uwezo wangu...
Faraja Kitila naomba chukua nafasi ya Kipaji Halisi amejitangaza kujitoa sijui kwanini amekwazika mapema namna hii