ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habari zenu marafiki
Wafuatao ndio waliojitokeza kuwania tuzo ya mwimbaji bora wa CHITCHAT 2013-2014
watakaoshindanishwa ni : Bujibuji, ( Namba yake ya ushiriki ni CCF01) figganigga, (No. CCF 02), Ruttashobolwa, (No. CCF 03) Mamndenyi (No. CCF 04) Donn (CCF05) Bakulutu (CCF 06) KakaKiiza (CCF 07) Bishanga (CCF 08) Chimbuvu (kasema atakuja toka huko Mw ila namba yake ya ushiriki ni (CCF 09) Kipaji Halisi (sijui kama alikuwa ananitania huyu, NO yake ni CCF 10), amu (CCF 11) MKALIwakitaa (CCF12) kaiser (kasema atakuwa safarini ila kama atawahi atakuwepo ila namba yake ya ushiriki ni No. CCF13), Mwita Maranya, (haeleweki huyu kama ataimba No yake ni CCF14), stevoh (No yake ni CCF15) Passion Lady (sijui yukko dar sina hakika naye kwani kaniambia nimpange kwenye list NO yake ni CCF16), NA GRAfan II (sina taarifa naye sana ila namba yake ya ushiriki ni (CCF17). Madame B, (ajanijibu hivyo nimeshindwa kumpa namba yake ya ushiriki kama yuko tayari basi aniPM) Wapenzi wangu hiyo ndo list niliyokuwa nayo ya watakaoshiriki Furaha Music Award ya CC - 2013
WALIMU WATAKAOWANOA NA KUANGALIA VIGEZO VYA UIMBAJI
ladyfurahia (Mwalimu kiongozi) Mentor (atakuwa mwalimu msaidizi) pia atakuwa na kazi ya kuhesabu kura zao
kuna watu wawili nao ni Paloma na Asprin wao wana kazi yao ngumu sana siitaji hapa mtaiona siku hiyo.
Mwita Maranya atakuwa mlinzi wa kura hizo.
Hawa watakuwa watazamaji wa Shindano hili siku ya jmosi ijayo ya tarehe 06/7/2013
amu, cacico, Heaven on earth, gfsonwin, Asprin, watu8, ndio walisema watakuja kuangalia shindano hilo wao hawatashindana. Na wengine wanakaribishwa kuwepo kwenye Tamasha hilo ambalo sambamba litaendana na
GET TOGETHER PARTY YA WANA CC WOTE. pale pale LEO TUPO HAPA PUB
Kama kuna wengine mko dar es salaam mnataka kushiriki shindano hilo pale LEO TUPO HAPA PUB
Jiandikissheni kwa kunPM ili mpate namba zenu za ushiriki wa shindani hilo nafasi bado zipo wahi
sasa bila ajizi kutuma hiyo sms yako kwa walimu niliowataja hapo.
Mgeni Rasmi atakuwa Invisible au @Moderate wa Chitchat
Ni hayo best wangu
Nyote mnakaribishwa sana pls muwepo jamani
copy: Nicas Mtei, Arushaone, Filipo, Erickb52, Mr. Rocky, Passion Lady, Lady doctor, Bishanga, kokutuna, Mwali, charminglady, Smile, Lady Unbreakable, MziziMkavu, Zitto, Jiwe Linaloishi, Excellent, Pascal Mayalla, madame X, na wengineo wengi ambao wako mikoani na Tanzania kwa ujumla
kwani tukitoka hapa Dar tutanzaa mikoani kumsaka mwimbaji bora wa chitcha. kaeni mkao wa kujiandaa huko.

Last edited by a moderator: