Sijui sasa hivi CCM wanalengo la kutusahaulisha kuhusu kitu gani (mapendekezo ya rasimu ya katiba mpya au?). Maana tumezoea kila wakishikwa pabaya wanazusha jambo ku-draw attention za watu ili japo fulani haramu walifanikishe.
sitoshangaa na nape akatolea ufafanuzi hili jambo.