Walioingiza mabomu Arusha wakamatwa!

Walioingiza mabomu Arusha wakamatwa!

Kuna uhusiano wowote tukio lililotokea zenj hivi karibuni? Hii timing inatia mashaka sana.

Tangu "waliposhindwa" kujua aliyeemuua Mwangosi na aliyemteka na kisha kumtesa Dr Ulimboka, sijapata kuwaamini tena polisi wetu.

Hapo umenena mkuu maana Dr alitekwa na watu anaowafahamu matokeo yake hatujaöna lolote na Dr Ulimboka ni mtu mdogo sana katika timbwili hili lazima akae kimya maana akipasua jipu tu na yeye ndio mwisho wa maisha yake
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Taarifa zilizosomwa sasa hivi TBC ni kwamba wale wote waliolipua mabomu katika kanisa la Olasiti na mkutano wa CHADEMA na kuua watu na wengine wengi kujeruhiwa wote wamesha kamatwa na wako polisi kwa mahojiano zaidi.

Sasa ngoja tusubiri kama watapatikana na hatia au laa au itakuwa sinema kama ya kamanda Kova na mateso ya Dr Ulimboka.
Serikali ya kuzima hoja kwa matukio kuna issue ya Ndugai kuna issue ya Padri kumwagiwa tindikali Zanzibar, sasa mnahamishwa toka Dodoma na Zanzibar, mnapigwa changa la macho Arusha msahau hoja zilizoko mezani.
Kazi ya IGP leo imaletwa kwenu na mwanasiasa anaegombania mabango ya barabarani! Kila siku nasema siielewi serikali ya Ccm wala sitaki kuielewa
 
Pumba za mulugo
attachment.php
 
Ni asiye kuwa na akili timamu ndiye anaweza kupoteza muda kusikiliza huyu bogas...tumewachoka!
 
Taarifa zilizosomwa sasa hivi TBC ni kwamba wale wote waliolipua mabomu katika kanisa la Olasiti na mkutano wa CHADEMA na kuua watu na wengine wengi kujeruhiwa wote wamesha kamatwa na wako polisi kwa mahojiano zaidi.

Sasa ngoja tusubiri kama watapatikana na hatia au laa au itakuwa sinema kama ya kamanda Kova na mateso ya Dr Ulimboka.

Wamekamatwa wote wapi mbona aliyekimbilia USA hawamjamkamata ambaye ni mwingulu.
 
Serikali ya kuzima hoja kwa matukio kuna issue ya Ndugai kuna issue ya Padri kumwagiwa tindikali Zanzibar, sasa mnahamishwa toka Dodoma na Zanzibar, mnapigwa changa la macho Arusha msahau hoja zilizoko mezani.
Kazi ya IGP leo imaletwa kwenu na mwanasiasa anaegombania mabango ya barabarani! Kila siku nasema siielewi serikali ya Ccm wala sitaki kuielewa

Duh! Kama kuna ka ukweli fulani mkuu maana sisiemu kwa mazingaombwe wanatisha
 
Lakini tuwape hongera vyombo husika kama vimeweza kuwakamata wahusika.

polisi wa ccm wanaweza kujikamata wenyewe?mnataka kutuondoa kwenye skandali ya balozi wa kuchonga wa china kupanda kwenye mkutano wa majizi ya ccm,hasahau mtu hapa..
 
hofu yangu CCM isije ika plant watu wakaja kusema wameagizwa viongozi wa cdm ili kuiangamiza CDM! some one can be bought with millions so we must be keen and prepare for any that can happen saikologicaly

Umesema kweli kwa sababu najiuliza kwanini asikamatwe aliyerusha bomu bali Mulongo sasa anakuja na story ya kukamatwa na kuhojiwa watu walioingiza mabomu hayo,...tena anaongezea eti uchunguzi wa kufahamu walitumwa na nani bado unaendelea...why not waliorusha mabomu? aliyerusha na akaonekana kwenye kideo cha Mbowe watu wanamfahamu , ushahidi upo na wangeanzia hapo basi..

Ua ua iliyokuwa inaendelea ikiongozwa na kijikundi fulani (Nchemba project) ilikuwa na lengo la kuijengea mazingira ya kufutwa kwa CDM, lakini mungu akasaidia mission ikadoda ktk ya bahari na kuzama, sasa wanajaribu kuja na hii kingi ya kulazimisha

CDM kuweni makini kwani yaelekea Chagonja na watu wake safari hii wanakuja kifiesta fiesta vile
 
Duh! Kama kuna ka ukweli fulani mkuu maana sisiemu kwa mazingaombwe wanatisha
Yaani Ccm hii nchi imeashinda loong time! Wamebaki kuongoza kwa kupiga ramli tu, issue kubwa kama hii ni ya kuzungumzwa na mkuu wa mkoa ambae hajui hata chembe ya intelligency? Tunatakiwa kuwa macho na haya majanga
 
Serikali ya kuzima hoja kwa matukio kuna issue ya Ndugai kuna issue ya Padri kumwagiwa tindikali Zanzibar, sasa mnahamishwa toka Dodoma na Zanzibar, mnapigwa changa la macho Arusha msahau hoja zilizoko mezani.
Kazi ya IGP leo imaletwa kwenu na mwanasiasa anaegombania mabango ya barabarani! Kila siku nasema siielewi serikali ya Ccm wala sitaki kuielewa
Unaweza kuwa swa kwa asilimia kubwa maana hapa naangali nakala ya daily news juu kuundwa kwa tume/kamati ya uchunguzi, sina uhakika kama jina la RC au cheo chake kimo. dn.jpg
 
Unaweza kuwa swa kwa asilimia kubwa maana hapa naangali nakala ya daily news juu kuundwa kwa tume/kamati ya uchunguzi, sina uhakika kama jina la RC au cheo chake kimo.View attachment 112405
Umeonae? Tena wafika Arusha badala ya kufanya kazi waliyo tumwa IGP Chagonja katumia masaa manne kupiga watu wa Arusha mabomu ya machozi, na kukamata Kina Mbowe na wabunge wengine wa Chadema ati walifanya mkutano usio na kibali,! Kodi zetu ndivyo zinavyotumiwa kwa propaganda bila kuwa na mrejesho. Go to hell Ccm
 
Usanii mtupu iweje iliye bomu akamatwe alafu uanze kumtafua aliye mtuma
 
Back
Top Bottom