Umesema kweli kwa sababu najiuliza kwanini asikamatwe aliyerusha bomu bali Mulongo sasa anakuja na story ya kukamatwa na kuhojiwa watu walioingiza mabomu hayo,...tena anaongezea eti uchunguzi wa kufahamu walitumwa na nani bado unaendelea...why not waliorusha mabomu? aliyerusha na akaonekana kwenye kideo cha Mbowe watu wanamfahamu , ushahidi upo na wangeanzia hapo basi..
Ua ua iliyokuwa inaendelea ikiongozwa na kijikundi fulani (Nchemba project) ilikuwa na lengo la kuijengea mazingira ya kufutwa kwa CDM, lakini mungu akasaidia mission ikadoda ktk ya bahari na kuzama, sasa wanajaribu kuja na hii kingi ya kulazimisha
CDM kuweni makini kwani yaelekea Chagonja na watu wake safari hii wanakuja kifiesta fiesta vile