Hivi kwanini Mulongo Magesa anaweka politiki kwenye jambo sensitive namna hii?
Ni yaleyale ya jamaa wa Kanda Maalum ya Dar kujitokeza na mabunduki kwenye Tv kila siku, wakati hata kesi haijafanyiwa uchunguzi.
Huyu Mulongo ana tuhuma za tenda ya taa za barabarani iliyoibuliwa na Mkurugenzi waJiji mama Sipora Liana, na juzi alitwa Dodoma kujieleza. Nadhani amepanic na ametunga jambo litakalo'dilute aibu kubwa anayoipata kwa ishu hii.
Jeshi la polisi nalo kwanini linaivua nguo taaluma yake kwa kuruhusu wasanii waongelee mambo sensitive namna hii?