Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,358
Chako hicho kinatwa kiherehere, kwani ukisubiri ukajua atakuja nalo, ungevunjika guu, tuwaache polisi wafanye kazi yao, sisi tutakuwa na usemi tukishapata habaro kamili. au kuna unalolijua na unataka kutupotezea dira. ama umetumwa na wanaohusikana huo ujangili na uuaji wa ndugu zetu, ili utatie wasiwasi na mashaka na kuiharibu kesi.
Kutumika bila kujijua ni jambo baya na hatari kwa mtu mwenye akili ambaye unaona kijani kisha unaita njano!!