Walioingiza mabomu Arusha wakamatwa!

Walioingiza mabomu Arusha wakamatwa!

Kama bomu lilithibitishwa kuwa lilitengenezwa China,na kwa kuwa Balozi wa China ameonekana wazi kuwa bega kwa bega na CCM huku Nape akitolea ufafanuzi kuwa China na CCM ni marafiki toka enzi,je si ni dhahiri shahiri CCM ndio waliohusika na mabomu hayo!Nawasilisha

>Serikali ya ccm inanunua zana nyingi za kivita uchina na urusi... Hivyo lile bom lililipuliwa na polis wa ccm
 
Taarifa kutoka jijini Arusha zinasema kuwa jeshi la polisi limefanikiwa kuwakamata watu walioingiza na kulipua mabom ktk kanisa catholic olasiti na kwenye mkutano wa chadema ambapo watu kadhaa wakifariki na wengine kujeruhiwa vibaya Kwa mujibu wa mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Magesa Mulongo.

Mulongo amesema wako kwenye mahojiano ya mwisho na kila kitu kitakuwa hatharani muda si mrefu...


Breaking news (E.A.RADIO)

K wa wenye AKILI wanajua..........wana neutralize.........TINDIKALI.......Zanzibar..........hawa polisi wanajiona kwamba watu hawana akili............walikuwa wapi muda wote.........walijua watu watauliza saana.......wakaona wakija na hiyo taarifa...........watu wataona mnafanya kazi..........

TUNASHANGAA......mara baada ya Padre kumwagiwa TINDIKALI kesho yake walitangaza watu wamekamatwa.......kwanini hawakuwakamata kabla ya tukio


Kinacholiua HILI taifa............ni SIASA kuingizwa kwenye kila JAMBO...........MWANASHERIA MKUU WA SEREKALI ZANZIBAR......ALISHAMWAMBIA MKUU WA POLISI AWAKAMATE WALIOMUUA PADRE MUSHI NA SIE TUNA MWAMBIA.....TUNATAKA AWAKAMATE GENGE LA HAO WATU WANAOMWAGIA TINDIKALI WATU NA AACHE SIASA

 
Wanataka kutusahaulisha ya Padri aliyemwagiwa Tindikali Zanzibar.............Hakika sinema inaanza hili ni kuwanymazisha wahanga tu ila kama kawaida ni tabia ya kupandikiza mambo ili tusahau tulilonalo..................Kumbuka Babu wa loliondo alitokana na EPA, yakapita mengi...............mabomu Arusha watu wakaachiwa wakina lwakatale then wabunge wakarudishiwa ubunge wao ........kilichofuata hapo unakijua? fikiria
 
yaani haya majina ya Mulongo na Mulugo kufanana kiaina sio bure bure...yaani pumba tupu,,,asa huyo jamaa sijui anatafuta sifa au vipi???
Huyo mkuu wa mkoa angesubiri mahojiano yaishe kwanza ndo aje na hizo habari, sio kutuletea yale yale ya mtekaji wa Ulimboka. Politics at work!!
 
Ngoja tusubiri, tuone inaonekana MBOWE ametoa ushirikiano.
 
kabisa kwa akili ya nape inawezekana, wala hujakosea.......vipi rais akatae kuunda tume huru kuubaini ukweli kinyume

chake wale wanaotiliwa mashaka wanaachwa kujichungulia.....huwezi kuwa na kashifa kwa kujichungulia........ Siwewe

mwenyewe.....ila ukichunguliwa na watu tofauti hapo hamaki nk huwezekana.
mashoga wanachunguliana wao wenyewe, wanajitenya na kucheka. Polisi = ccm
 
>Hii nchi ni ya matukio na ccm wanabuni mbinu ya kufunika matukio kwa kuja na habari mpya! Msipokuwa makini mtaachwa solemba..!hiyo ndo CCM chama cha matukio
 
Hapo nadhani wananchi wajionee ni jinsi gani rais wao anavyowachagulia vituko. Hiki nacho kituko kingine.
 
Movie ya Kihindi streling kwenye maua!isije kuwa ile ya Ulimboka na Kova!
 
Wanataka kutusahaulisha ya Padri aliyemwagiwa Tindikali Zanzibar.............Hakika sinema inaanza hili ni kuwanymazisha wahanga tu ila kama kawaida ni tabia ya kupandikiza mambo ili tusahau tulilonalo..................Kumbuka Babu wa loliondo alitokana na EPA, yakapita mengi...............mabomu Arusha watu wakaachiwa wakina lwakatale then wabunge wakarudishiwa ubunge wao ........kilichofuata hapo unakijua? fikiria

Hakika hii ndiyo mbinu mpya ya ccm!
 
Kama bomu lilithibitishwa kuwa lilitengenezwa China,na kwa kuwa Balozi wa China ameonekana wazi kuwa bega kwa bega na CCM huku Nape akitolea ufafanuzi kuwa China na CCM ni marafiki toka enzi,je si ni dhahiri shahiri CCM ndio waliohusika na mabomu hayo!Nawasilisha

Akili yako ndiyo inaongozwa hivyo!
 
I have great doubts on the source of this information.Magesa Mulongo, the SO called RC SHOULD NOT BE TRUSTED BY ANY MEANS.
 
Tanzania nchi ya sinema, ikipoa hii wanatuletea nyingine. mbaya zaidi katika sinema zote haipo iliyowai kuisha kabisa.!!!
wanatuyumbisha kama mawimbi ya bahari.!!!
 
>WATU WALIOKAMATWA NI WALE WALIOINGIZA MABOM HAYO HAPA NCHINI..tbcfm!
 
Kwa habari za chinichini nilizopata ni kwamba wanataka wawafungulie hao watuhumiwa kesi, Mbowe aunganishwe kwa kukaidi kutoa video ili chadema ikose nguvu katika fukuto la katiba mpya lililotokea bungeni hivi karibuni.
 
...hivi mwigulu yuko wapi. Hivi vikao vya kuandaa taarifa za bongo movie amemuachia nani...?
 
Back
Top Bottom