Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,961
Kama walitutendea sisi wao pia watatendewa vivyo hivyo
Video ya taarifa ya habari ya ITV hiko hapa Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili wamebanwa na lori lililosheheni viazi. - YouTube
Deleted.
Siasa imekuathiri hadi kwenye mfumo wa ubongo wako. Hivi huwa hamuoni aibu kila kitu kuingiza siasa? Eti mtazamo wa kimagamba, huoni hata aibu. Mtu anakufa hapo badala ya kutoa msaada unasubiri serikali. Akifa unajifanya unapiga kelele. Ukiambiwa hujatoa msaada eti unasema ni mtazamo wa kimagamba upuuzi mtupu. Masaa 16 umebaki tu umekodoa mimacho yako unasubiri serikali.
Wa TZ tumezidi woga hata maandamano ya kulalamikia kitu hatufanyi, tunaachia wanachama wa vyama tu, kuendelea au mabadiliko yatakujaje?
Hivi jamani mkoa mzima walikosa kweli vifaa vya kuwaokoa...
Ccm na serikali yake hawana msaada kwa maskini wa nchi hii
Hata hujielewi,naona unaropoka kama kuku ambae amekatika kichwa kaa kushoto.
Ujinga ni janga kwelikweli. Haya wewe unayejielewa kaa kulia. Na siku mkeo au wanao wakibanwa na lori kaa masaa 16 hivyo hivyo ukisubiri serikali ije iokoe maisha yao.
msimu wa maembe ukifika vichaa wanakuwa wengi kwahiyo ukikutana na simba porini utakimbia kujioka au utasubiri mpaka askari game aje kukuokoa sasa hao wapigapicha walipatawapi vifaa vya kupigia picha wakashindwa kutafuta njia ya kuwasaidia hilo eneo linawatu au ndio msimuwao kama kicha mirembe amechorewa mlanga anasema anafunguo kilakitu tutasubiri serikali ata ukiingia chooni utasubiri serikali
Nashukuru umejitambua hapo kwenye red, kwaheri