Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,158
inasikitisha sana,timu na mashine za kuokoa toka dar zinaweza fika pale ndani ya saa moja,sasa kama walikaa masaa 16,ni uzembe mkubwa huo.Hivi wanasheria ham wezi kushtaki kesi za namna hiyo kutetea wanyonge.
Nadhani kilichogomba haponi nani atalipia Crane,Tajiri Bahili,Serikali ya Kifisadi TANROADS wasiojali kuhusu kuwa na Cranes.