Msosi wa msibani mtamu!...What goes arround comes arround, Hii dhulma wanayowafanyia Watanzania ipo siku zitawarudi kwa nguvu kubwa ama zaidi...Kikwete atatuma rambi rambi ns kuhudhuria mazishi
aiseee....pumbavu moja utalisikia tattizo chadema....pumzikeni kwa amani
Kwa wale mnaofuatilia taarifa ya habari, kuna vijana waliokuwa wakizungumza wakiwa wamebanwa na malori baada ya kupata ajali na kuomba msaada kupitia vyombo vya habari.
Majeruhi wawili waliobanwa katika lori la mizigo katika ajali iliyotokea eneo la Maseyu barabara ya Morogoro - Chalinze wamefariki Dunia baada ya kuchelewa kuokolewa kwa zaidi ya masaa 16 kutokana na kukosekana kwa vifaa vya uokoaji.
Jambo la kusikitisha, pamoja na kwamba wamekaa hai kwa muda mrefu lakini vyombo sahihi vya kuwakwamua kutokana na kubanwa na malori vimekosekana hadi wakafa wanaona.
Mungu isaidie Tanzania, watu wanakufa baada ya kuwa hai kwa zaidi masaa 10.
Swali la kujiuliza, vipi kama Lori hilo lingekuwa limembana waziri au mkuu wa mkoa akiwa ndani ya gari lake?.
Bila kuoneana aibu, hapo serikali mmefanya uzembe! R.I.P my fellow poor

Fikiri kama ingekuwa bw nepi au chemba, dk 5 tu wangechomolewa. Ccm hoyeee.
Aandae chakula kwa waliopoteza Maisha!!R.I.P watz wenzangu
Inasikitisha sana...Inauma mno...
nimepata uchungu hasa.na ninayo kila sababu ya kuamini serikali ya ccm imeachwa na Mungu na hakuna hata aliyebaki mwenye busara na hekima
C' est le 'laissez a' affaire gvt'! who cares! kuna maeneo ninapoishi, karibu na mkuu wa wilaya/halmashauri lakini miundombinu ovyo ovyo. wanachukua chao mapema.
Hii ni mbaya sina maelezo ya kuisimulia nchii ni hatari kuishi kuliko somalia na syria Mungu atusaidie ila hii serikali ya CCM
yan kwa hayo masaa hata vifaa vingetoka dar vingewakuta wako hai..poleni wafiwa ila naimani watakuwa wamelala wakitegemea ufalme wa mbinguni siku moja kwa mateso waliyopata sidhani kama wameshindwa kumlilia Mungu naimani wametamka Mungu ndani ya masaa yote hayo kumi.
Mimi binafsi nafikiri umefika muda sisi Watanzania kuwa responsible na maisha yetu na mambo yanayotuhusu kwenye jamii zetu. Tunalalamika sana bila kupata suluhisho la Matatizo yanayotukabili katika maisha yetu ya kila siku.
Tumeweka ushabiki katika mambo ya Mipira...Big Brothers n.k na kusahahau mambo muhimu kwenye maisha yetu ya kila siku.
Asilimia 90 ya ajali zinazotokea na maafa hapa Tanzania zinatokana na UZEMBE uliopitiliza. Halafu sisi Watanzania tunabaki tukilalamika bila kuwa na mipango fasaha ya kutatua matatizo yetu.
Tusitegemee Serikali ikafanya kila kitu. Kwa sababu hao Viongozi/WanaSiasa wameshalewa na madaraka.
Tuacheni kulalamika Watanzania na tuchukue hatua madhubuti ili kujikomboa na haya MAJANGA.
Hii kazi ni yangu mimi...wewe na kila Mtanzania anayetaka mabadiliko na Maendeleo.
Tuache Ushabiki na lawama za kutupiana mipira. CHUKUA HATUA.
RIP MAREHEMU....POLENI SANA WAFIWA NA WATANZANIA WOTE MLIOGUSWA NA HILI JANGA.
BONGOLALAHii nchi ya ajabu sana,watu wamebanwa ndani ya ajali iringa baada ya malori kugongana,zaidi ya masaa 8,hakuna huduma ya kuwanasua,jana walikua wanaongea na kuomba msaada,leo tunaambiwa wamefariki.Hata dripu wangewekewa hapo hapo kwenye ajali wakati wanasubiri kunyofolewa.tanroads kazi kupima uzito tuu?kwa nini wasiwe na crane la kunyanyua magari kila baada ya umbali fulani?