lakini hunipi amani vile unamzungumzia mke wako!
Sijui lakini nahisi humpendi tena,humuoni wa thamani,hujali kama anaumia,
in a way najisikia vibaya sana kwa ajili yake!
Wote katika maisha tunakosea na tunakosewa,la msingi ni jinsi tunavojifunza na kusimama baada ya makosa yale!
Naamini ndoa yako ukiamua bado ina nafasi ya kuwa ndoa bora na imara ni vile tu umeikatia tamaa
sikuhukumu bali nahisi ipo shida kubwa zaidi ya ile unayoitazama nje dhidi ya mkeo!
ssostito wangu wa moyoni, njoo PM nikupe mkasa ulionikuta! mi mwenyewe Asprin nam-luv sanaaaaaaaaaaa! kwi kwi kwi kwi! mtu na dadake, cheko langu mie!
Duh!
Kumbe kuna majiniasi humu!
ushawahi kuniona mie nimewataja hao watu???? YUPO HAPO!! ila naamini baada ya muda tutakuwa mabesteeeeeeee! nicas na we kwa choko choko??
Ha ha ha, najua hapo kwenye kuwa completed, tena waweza ogopa hapa inzi na machozi yakatoka
Mmmh, mateka ni sawa na Shirika la Uma
Anatajwa hadi nimekufa ganzi, nihamie kwa paw? ama nihamie kwa shemeji kaka yako?
Arusha hoyeeeee. Chuga mpo juu sana. Kila kona. Hata kwenye chama letu la ukweli ngome ni A city.. Tutameet Tanga. Sawa Preta?
thubutu kukutwa na bwana pepsi!!! njoo PM!hahahahaha. Funguka basi
can you count me in??????
nakuaminia bestito!!can you count me in??????
thubutu kukutwa na bwana pepsi!!! njoo PM!
nakuaminia bestito!!
Kama una ubavu wa kuwa mke mwwenza na mie karibu. Adhabu zangu ni za kisiasa za cold war ile ya kina nyerere na gaddafi. Ukija tu, kipya kinyemi, unatupikia, unatufulia na kutufanyia usafi. Na nnavyojua kudeka kwa makusudi,nikiona nzi tu utaniletea lunch on bed manake nalia kama msiba!b
Ila kwa ushauri wa haraka ungeenda kwa kaka shemeji. Kitchen party ntakupa lawn mow manake mmh.
Huyo matekaa kweli ni SU ena ile yenye malori ya mtuu!