Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

hehehehe!!! kwani ni siri? waambie wajukuu wazibe maskio basi. haya wajina anasemaje????
Amenambia anasafiri kesho na atarudi baada ya siku nne hivi. Anaomba umsaidie majukumu yake atakapokuwa hayupo.
 
Amenambia anasafiri kesho na atarudi baada ya siku nne hivi. Anaomba umsaidie majukumu yake atakapokuwa hayupo.

Nilijua tu kwamba hadithi itaishia hapo....

Umeamua kuunganisha, kutoka kanisani hadi kwenye foleni ya J3?

Babu DC!!
 
hahahaha!!!! haya babu. usku mwema. ngoja nilale sasa.
Hilo ndilo jibu nalopaswa kumpa wajina? Khaa!

Nilijua tu kwamba hadithi itaishia hapo....

Umeamua kuunganisha, kutoka kanisani hadi kwenye foleni ya J3?

Babu DC!!
Hahahaha.... afu we babu, hivi ndivyo unavyomjibu Kuhani Mkuu?

Hivi hata Yesu si alimwomba mama Msamaria ampe maji pale kisimani?
 
Hakika leo wokovu umefika nyumbani kwako, Kaizer

Enenda kwa amani, usitende tena dhambi.

"na utukufu wake Bwana utaonekana na wote wenye mwili watauona pamoja, kwa kuwa Bwana Mungu ameyasema haya".

Kumbuka "kila bonde litajazwa na palipopotola patasawaziswa"
 
Last edited by a moderator:
Wenye afya hawamwitaji daktari, wanaomwitaji ni walio wagonjwa.
Sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.

CC: Zion Daughter

Basi yule mjakazi akamuuliza Petro na wewe si umetoka Galilaya?Nilikuona ukiwa na mtu huyu ....Petro akamjibu simjui mtu huyu..mara jogoo akawika...
Afu wewe siku hizi unakoelekea??!! yangu masikio...
 
"na utukufu wake Bwana utaonekana na wote wenye mwili watauona pamoja, kwa kuwa Bwana Mungu ameyasema haya".

Kumbuka "kila bonde litajazwa na palipopotola patasawaziswa"
Watu na wakushukuru ee Mungu,
watu woooooooote na wakushukuru,
Waaaatu woooote na wakushukuruuuuu Bwaaanaaaa!
 
Basi yule mjakazi akamuuliza Petro na wewe si umetoka Galilaya?Nilikuona ukiwa na mtu huyu ....Petro akamjibu simjui mtu huyu..mara jogoo akawika...
Afu wewe siku hizi unakoelekea??!! yangu masikio...
Amiiin, amiiin nawaambia.......

Wote ulionipa, sijampoteza hata mmoja!!
 
Back
Top Bottom