Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
kongosho umeanza yaani Mwita Maranya hata nia hajaonyesha umeshaanza kumpeperusha haya na tuendelee na marathon yetu kwa Theboss uone. Mi mwenzio naweza kuhonga hata shamba shauri zako.
Kuna wale wanaingia katika kundi la tukutanao mara kwa mara, mara discussions (hasa private) yahusuyo mambo katika jamii yetu iwe social ama political issues, most katika hawa ni list of my JF buddies thou among a few kama BelindaJacob, EMT, Azimiojipya, PakaJimmy, jouneGwalu, Steve Dii, Eqlypz, sherifApraio, Kivumah, 3D. , Ndahani, SHERRIF ARPAIO, Madabwada, WomanOfSubstance, ..
Pamoja sana mamito Madame B. Maisha yenyewe mafupi haya kwanini tusifurahishane kwa kipindi hiki tulichonacho!?
Ubarikiwe sana mamito.
Thanks sana Mamndenyi pia nawashukuru wote kwa kuwa pamoja katika maisha haya...tunajifunza mengi na namna ya kuishi!
Thanks kwa wana JF wote
Special thanks kwa Amyner sweetlady Preta Mr Rocky Kipipi Remmy BAGAH @smilling Saint Mzee wa Rula Madame B charminglady Elizabeth Dominic
Sepacial Appreciation kwa Filipo AshaDii Roulette Mamndenyi Arushaone marejesho Ruttashobolwa Baba V St. Paka Mweusi Ruhazwe JR bila kumsahau kaka yangu Judgement popote ulipo.
Best zangu Asprin Bishanga Kaizer na wake zenu cacico gfsonwin snowhite TANMO mtu chake FP na Dena Amsi
Mwisho wanachit chat wote nawakubali sana!
Arushaone, Ritz, mohamed Shossi , zumbemkuu, mohamed Mtoi, Matola, zumbemkuu, Taz, daughter, consingliere, mitishamba, Apollo, Bishop Hiluka, Okya, Young Master, Purple, kilimasera, Ab-Titchaz, Meezy, Askari Kanzu, SMU vivian, charminglady, AMINATA 9, JAMmif Mkuu wa chuo, Tuko, bacha, director1, @C6, Mrembo by Nature, Twande, Maganga Mkweli, Leonard Robert, Raia Fulani, Lokissa, Golden Mpoleeee, Bujibuji, Memo neggirl, Gaijin, Erickb52, Yummy, Nazjaz, Madame B, MadameX, MKATA KIU, moto2012, MZIMU, Nicas Mtei, Zinduna, sakapal, Katavi, Boflo, JB WISER, Globu, SALOK, Albina, bucho, njiwa, Ritz, kokuTUNA, Straddler, sun wu, BE IN U (Nipo so disappointed you never came back). Judgement, @Merrita, Ambitious, Mkirua, Mphamvu, paulss, Gezus, NDINDA, Paxman, Matola, Amyner, The Priest Mpatanishi e.t.c?:becky: (Lol!
Mie waliobadilisha maisha yangu ni wana chit chat wote humu jamvini, aspecially pacha wangu Madame B.
Mmmmh haya bana.
Haya ni maamuzi sahihi sana toka kwa mwanamke mwenye sifa ya kuwa na busara.
Nimezidi kukupenda bure kwa uamuzi wa kutumia posta ili kuepusha msongamano ingawa sina uhakika na delivery itachukua muda gani.
Asante JF kwa kutupanulia wigo wa mapambano, vita vilivyopo mbele yetu kama taifa ni kubwa na ngumu na si kama nilivyofikiria nilipojiunga JF...sikujua humu nitawakuta watu kama Ritz, chama, zomba na wengineo ila nawapongeza wote ambao kweli wanakerwa na tunakoelekea na wanaona umuhimu wa dereva kupumzishwa. CCM inaingia kwenye rekodi ya Guiness book kama chama kilichokaa madarakani kwa miaka mingi huku bado ikijizatiti kung'ang'ania kwa njia zozote zile iwe ufisadi, ukandamizaji na hata mauaji ikibidi.
A luta continua!
Na hili ndilo neno la Mungu.
Kakague kule nimekugongea ka-LIKE ka heshima.
BTW hi ninekubadilishia maisha yako kwa wema au kwa mabaya?
Kama kwa wema, Karibu tena. Kama kwa ubaya, nitajirekebisha naomba unipe nafasi tena.
Waliokuwa na Direct impact kwangu kwa kupitia JF ni Maxence Melo, Roulette, Kaizer , King'asti.
Mimi kwakweli ni wengi wamebadilisha maisha yangu na kuwa na mchango mkubwa! Kuhusu upendo kwakweli chit-chat naona limekuwa jukwaa mfano la kuonesha upendo.
Kwakweli kwenye hayo majukwa ni wengi sana wamekuwa wakinivutia kila leo.
*Mtambuzi,aisee napenda story zake sana na huwa zina nifunza mengi,mungu akuongezee upeo.
Jamani kwenye haya majukwa nimmejipatia marafiki wengi na na nafurahia uwepo wao
*Madame B,namkubali sana huyu mdada kwakweli huyu ni zaidi ya rafiki kwangu, kwakweli ni kimkosa jamvini si sikii raha.
Mungu awabariki.