Waliobadilisha Maisha yangu....

Asante kwa kututia moyo ambao bado tunahanja hanja na maisha na ambao labda tunashindwa kutambua fursa zinazoweza patikana jf

Wengi watakuja na confession kama hizi labda

Asante kwa kutambua uwepo wangu

 
Ngoja nikaitafute hii sred, imenitamanisha kuona walikukimbizaje na mapanga

As if hukuwepo Kongosho wakati wewe ndo ulikuwa na rato lile la uchagani kabisa kuhakikisha hakuna gugu la maumivu ya mapenzi linalobakia ndani yangu. Nakushukuru sana dada yangu nimejifunza mengi sana toka kwako.
 
Last edited by a moderator:

Mimi penda hii post sana AshaDii love you sana
 
Asante kwa kututia moyo ambao bado tunahanja hanja na maisha na ambao labda tunashindwa kutambua fursa zinazoweza patikana jf

Wengi watakuja na confession kama hizi labda

Asante kwa kutambua uwepo wangu

Sasa mbona jana hukuja kubadilisha maisha yangu? Ombi lako lilishughulikiwa.
 
Asante sana kwa kutambua uwepo wangu Tata
Kuonyesha kuwa natambua uwepo wako, nimeandaa kirunguri na kichuri leo, na baada ya kula tutacheza ritungu kidogo

Tohanchane Mwita

Oghambele bhuya mamokolo Kongosho. Nenkohanchere ghoko!!
 
Last edited by a moderator:
Kongosho, nakupenda kwa kuwa tunakosana then tunafikia muafaka, Bishanga kweli kafilisika hata nyayo zake hazionekani tena, chezea secretary wewe.

Asante kwa kututia moyo ambao bado tunahanja hanja na maisha na ambao labda tunashindwa kutambua fursa zinazoweza patikana jf

Wengi watakuja na confession kama hizi labda

Asante kwa kutambua uwepo wangu
 
Last edited by a moderator:
mkuu naomba nikiri kuwa wewe ni kichwa,
mkuu umebarikiwa.. nilikuwa napigwa ban mara kwa mara nikiona comments za hawa jamaa zangu upande wa pili kwa mganga wa kienyeji, ila mmenibadilisha tabia yangu hapa JF, nafuata mwenendo wenu wa kujibu hoja thou siwezi kuwafikia. be blessed sana kamanda.
(mambo yamekuwa mengi mwisho huu wa mwaka but hope tutakutana w/end moja kabla mwezi huu haujaisha.)
 
Heeee! we ndugu Mwita Maranya sijakusoma siku nyingi! By the way, hivi ule uchumba wetu kupitia kwa babu Asprin uliishia wapi? Maana sielewi kama babu alishanioza kwa mkurya au la!Lol!

Nipo mchumba. Kuna mtu alining'ata sikio kwamba tuko watatu kwenye waiting list bado unatufanyia utafiti kujua nani anakufaa kuwa mwenza wa maisha. Sasa nikaona nitulie kidogo kupisha utafiti. Kama ilikuwa ni kweli unijulishe ili nijue naanzia wapi.
Afu nimekumisije!? babu yako Asprin nae siku hizi hasomeki sijui amevurugwa na nani!?
 
Last edited by a moderator:
thank u so much
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana mkuu. Katika maisha kujifunza ni jambo la kheri kwakuwa linakufanya ukue kila kukicha.
Mimi nimekuwepo hapa JF kwa zaidi ya miaka minne na robo lakini sijawahi kupigwa ban ama kupewa onyo hata mara moja. Nimekuwa nikijitahidi sana kuhimili vishindo hata kama ninashambuliwa kiasi gani, ninajibu mapigo kwa "step" vinginevyo wazee wa kazi hawakuachi.
 
Oghambele bhuya mamokolo Kongosho. Nenkohanchere ghoko!!

Hapa nahitaji gogo transileta, bado learner ujue?

Kongosho, nakupenda kwa kuwa tunakosana then tunafikia muafaka, Bishanga kweli kafilisika hata nyayo zake hazionekani tena, chezea secretary wewe.

He he he, yaani huyo The secretary kanikwibia zombie moja, atanitambua tu

Hivi tuna nini mimi na wewe? Pamoja na kukubadilishia maisha yako mpaka sasa sijaona ukinimenshen.

Ukifanya masihara ntakurudishia maisha yako ya zamani!

Mi nakasirikaga sana.

Ha ha ha, wazee huwa hawamenshiane hadharani
Wao wanamesheana vyumbani, hujastukia hilo?:glasses-nerdy:
 
Last edited by a moderator:
Asprin unanitafuta? Unataka Da Kongosho aniondolee upako wake alionipatia hapa MMU?
Mie kunguru mwoga bwana nakimbiza bawa langu mie!

Kuna wa kutafuta lakini si wewe. Nikikutaka si nakupigia mluzi tu unakuja mwenyewe? Ila nisipokuwa makini huchelewi kunigomea manake siku hizi umekuwa mkaidi kama mke wa Mwai Kibaki.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwita Maranya thanks sana mkuu...sikujua kama ninaweza pia kuku-inspire..si unajua nyie wanasiasa bana....

Hahahaha... hata wanasiasa wana social life bana.
Mkuu unajua kwangu mimi MMU ni "stress free forum"
Nikiona nimekunywa sumu za kutosha kule kwenye siasa huwa nahamia ama kuchungulia MMU kuona kuna nini ili kupunguza ama kuondoa kabisa maumivu. Kwahiyo mkituona huku muwe mnatupokea kwa mikono miwili ili kwa pamoja tushauriane namna ya kujenga na familia zetu baada ya kujenga nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…